Kitila, najua unafanya PhD so imekugusa. Samahani kama nimekukashifu. Ila mimi nina imani zangu nini naita PhD. Lets agree to be different. Mimi niko opiniated na siogopi kuwa na mawazo tofauti na majority. Tatizo waTanzania tuna tabia ya kuogopa kuwa honest. Ukisema ukweli unaonekana unajisikia au unadharau. I dare to speak the truth as I see it bluntly. I will never ass-kiss. If as people we dared to be different, we wouldnt be in the mess we are in as a country or continent. Mimi sio kondoo, I follow the path I believe in. Waafrika hatuendelei kwasababu we dont dare, we follow kama kondoo. Zimbabwe mfano mzuri. Jamaa mmoja tu anakalisha njaa nchi nzima. Viongozi wa kiafrika wanamwogopa. Hata mtu mmoja wa kiZimbabwe anashindwa kujitoa muhanga. Kazi kusubiri wazungu watatue matatizo yetu. Wewe Mpendakwao ni hypocrite pia, wewe unasema nasujudia mzungu wakati nchi yako inategemea majority ya budget kutoka kwa wazungu. So wazungu are ok only when you need them eti? They can make you and break you (ask Mugabe and all african dictators).So next time ukiona mzungu mbusu, maana hela ya kodi zao inakutengenezea barabara kwenu au mradi wa maji.
Kwenye jukwaa la siasa mnawaponda wanasiasa wenye 'Dr.' za miezi kadhaa na vyeti vya online. You are being a hypocrite. Kama mwanasiasa, ana experience ya kufanya kazi fulani, akachukua experience yake hiyo na kuandika thesis ya chapchap na kupata PhD, in tofauti gani na mtu aliye-spend 3-4 years kuandika thesis ya kuhusu issue ya Tanzania? We kubali tutofautiane. Kuna thesis zingine kwakweli mi sioni muhimu wake. Mnavyowakandya wanasiasa 'vihiyo', pia mnakandya academic institutions.
Sasa, naomba uwasiliane na TZUK ushushe article zote hapa, unedited, nianze kuzichambua. And I mean all of them. If it takes a year. I will do it. Nina mambo mengine muhimu ya kufanya, so nikipuuzia kujibu ujue sina time na kitu ninacho-consider ni utumbo! Hii sio dharau, ni fact kwamba kuna vitu vingine naona utumbo, wengine wanaona matawi ya juu. Kuna vingine naweza ona matawi ya juu, mwingine akaona utumbo. Ni tofauti tu ambayo nakubali. If you can differentiate that, then dont force me to reason like the majority. I am who I am.
Kuhusu LSBU, ukweli kuna kozi zingine nzuri, na department fulani inaweza kuwa nzuri. Ila generally ni low ranked university. Thats a fact. Kusema fact sio dharau, ndo ukweli wenyewe. Bonyeza link uone funding inayopata na zinavyokwenda kwingine. Ndio maana unakuta waalimu wengi katika low ranked Unis hata hawajui kiingereza, maana wanarecruit cheap labour na multicultural. Thats a fact, sio dharau. Kuna top tier Unis, na kuna league inayokuwa formed ya Unis kama 20 hivi (red-brick Unis) ambayo LSBU haiwezi kuingia (Kitila, najua yako imo katika list ya hiyo League. Ila PhD yako sijui inahusu nini,na usimind nisipokubaliani na practicality ya PhD yako. Ni opinion yangu tu, sio dharau). Shule hizi low ranked ndio zinapata wanafunzi wengi wa international maana fees ziko chini for same course. Most of the time cheap is expensive. Thats a fact!!
LSBU iko low ranked, thats a fact. Link iko hapo juu. Mtu huyo anayesema ooh kufundisha chuo cha Ulaya achiement kubwa. yeah, maybe to you. Ila kuna waTanzania wapo katika departments kubwa zaidi and they act like they dont exist.
Anyways, nimepata e-mail hapa kuna Uni wanataka kuanzisha kozi fulani so wanahitaji maoni yangu. Let me crack on.
Over out!
Nzokanhyilu