Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Hongera kwa ushindi
 
Mtoa mada alikuwa ameshakula hela ya Lumumba
 
Hivi huyo Dr. Fenela alifanikiwa kushinda ubunge, sijapata matokeo yao.
 
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM

Mwambieni ngoma ya watoto haikeshi
 
Kwa heri mnyika mnyika kauze nyanya

Dr Fenella na ushindi mnono

Mnyika ataipata fresh

Aanh mnyika hana jipya kibamba hawez kubaki

hadi wazee, hata wamama hasa maeneo ya kimara , kibamba na kwingine kote kwenye shida ya maji hawataki kumsikia mnyika, kwa anayenibishia aende site akaulize

Magufuli na Fenella ushindi mnono

Hivi Mnyika yupo?

Mnyika out

Dr FENELA kibamba ushindi ni wako

Huyu Dkt Fenella hana mpinzani kwani yule kijana wa ukawa hana jipya zaidi ya kukumbatia fisadi. Njaa mbaya

Kweli Kibamba hawataki kuckia habar ya mnyika mwaka huu analo.Dr.fenella ni shida Kibamba

Mnyika hafai hata ubalozi,nimuongo wakutupwa mbali.

Ushindi mnono kwa Fenela

Kampeni aliyofanya huyu mama siyo ya mchezo ; mtakujakushtuka na mnavuta shuka wakati kumekucha!! Mnyika hawamjui Kibamba kwani muda wote alipokuwa mbunge hakuwafanyia lolote hivyo wanasema wanataka mabadiliko!!!

Huyu mama yuko juu vijana watafurahia kumchagua

hakika mama mtendaji na wanakibamba wanalijua.

Teh teh tehteh Kimya Mnyika kawatia dole
 
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM

Nilikuwa napitia tu.Hongera kwa Dr.Fenella kwa kupata USHINDI mnono wa Ubunge wa Kibamba......ni kweli njia ilikuwa nyeupe sana sana....
 
Are you day dreaming! uchaguzi ushapita wa ubunge ni mpaka 2020, kule kuwa na wilaya mpya does not mean parliamentary election ila ni mayor wa wilaya mpya ya Ubungo, Kigamboni, Kinondoni na Temeke - I presume you have understood. Skuli ni muhimu.
 
Nilikuwa napitia tu.Hongera kwa Dr.Fenella kwa kupata USHINDI mnono wa Ubunge wa Kibamba......ni kweli njia ilikuwa nyeupe sana sana....
Mnyika anapaswa kuletewa wanaume sio hawa wanamama hawamuwezi. Walikuwa wanampa moyo tu.
 
Kaka Tunampenda sana Mbunge wetu,hata yule Vuvuzela alimkimbia aliona maji marafu huko.Hata mama aliambiwa ila pesa za Escrow zilikuwa zinamuwasha.
 
Back
Top Bottom