Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM

Kweeeeli??
 
Kwa takwimu nilizosoma kwenye mitandao, Mnyika kapata kura 79,274 na Dr Mkangala kura 55,410. Aliye na updates atuwekee hapa!!

Asante Mama Mdogo kwa matokeo hayo nilikua nayo ila nilitaka mleta mada anijibu

Tatizo watu sio wapiga kura wa kibamba ila wanapenda sana kuwasemea
 
Last edited by a moderator:
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM

Dar yote iko Ukawa
 
Nani kachafua njia nyeupe ya huyu Dr. Uchwara wa msuko wa utii wa roda?
 
Kwa takwimu nilizosoma kwenye mitandao, Mnyika kapata kura 79,274 na Dr Mkangala kura 55,410. Aliye na updates atuwekee hapa!!

Hahahahaha fenera mkangara njia imekuwa ya miiba na taabu hata diwani kakosa

Naskia alikuwa anadai kamfundisha Mnyika hahahahaha aisee naichukia fisiemu sana yaani nikiona kijani na njano naisi matapishi
 
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM

He! Hiki kituko cha lini hiki?
 
Asante Mama Mdogo kwa matokeo hayo nilikua nayo ila nilitaka mleta mada anijibu

Tatizo watu sio wapiga kura wa kibamba ila wanapenda sana kuwasemea

Sasa Mh, Dk Mama naye aende mahakamani kama yule mwenzake wa Ubungo. Maana Mnyika anajua kuvuruga mtu kwa kura jamini acheni
 
Hivi mama Fenera ameshafika huko bungeni kama tulivyoaminishwa kuwa njia yake nyeupeeeee
 
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM

Hallooo Joso...
Alloo nakusikia ...

Arooooo aroo!!"
Naweza kujua mama Fenera njia yake imezibwa au bado anaenda bungeni!!!

Aroo! Arroo!! Unisikii??

Dip dip dip...Tafadhali ongeza Salio!!
 
Back
Top Bottom