Eng.Livingstone
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 880
- 227
Mbinu ya kulinda KURA kwa wana MABADILIKO ni kukaa kwenye foleni na kuwapisha wenye haraka, yaani hapo tutakuwa mita 10 tu. Tusiwe na haraka ya kupiga kura, tukae nao hadi mwisho,hii njia haina fujo na ina ustaarabu uliotukuka.
#Mungu_bariki_UKAWA
#Mungu_bariki_uchaguzi_2015
#Lowassa_the_SuperPower
#zuia_goal_la_mkono
#Mungu_bariki_UKAWA
#Mungu_bariki_uchaguzi_2015
#Lowassa_the_SuperPower
#zuia_goal_la_mkono