Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Huyu Dkt Fenella hana mpinzani kwani yule kijana wa ukawa hana jipya zaidi ya kukumbatia fisadi. Njaa mbayaDr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Hivi Mnyika yupo?
hadi wazee, hata wamama hasa maeneo ya kimara , kibamba na kwingine kote kwenye shida ya maji hawataki kumsikia mnyika, kwa anayenibishia aende site akaulize
Tuache matusi!!! Huyu mama namjua vizuri sana!!! Ni rafiki wangu wa karibu mnoo..kwanza kabisa ni dhahiri kuwa kwenye uchaguzi huu fenela yuko ICU..anahema kwa msaada wa mashine za oxygen..