Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

Mbunge wa kibamba
 

Attachments

  • 1445516741036.jpg
    1445516741036.jpg
    21.2 KB · Views: 669
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM

Dr Fenella na ushindi mnono

Kwa heri mnyika mnyika kauze nyanya

CCM ushindi mkubwa kwa wagombea wake

Mnyika ataipata fresh

Mama fenela anatosha kwa kibamba atosha

Aanh mnyika hana jipya kibamba hawez kubaki

Muwe mnaweka na akiba ya maneno. Come monday mtashindwa kuongea shauri yenu!!
 
Weeeee acha utani na uongo. Huyo mama Kibamba hata hajulikani. Alienda kanisani pale KKKT, anajitambulisha eti Nina shamba hapa Kibamba. Watu wakamshangaaa Kibamba unazungumzia shamba au nyumba yako.
 
Fenala fenela mh ....mi sisemi....naogopa dhambi....ila mama anajifilisi.....atahonga sana!!!! Imnyika ndio jembe lao!!! Kibamba washapata mbunge......
 
Jamani jamani jamani hebu acheni kumdanganya mama yetu, mama atamuheshimu zaidi mtu anayemwambia ukweli kwa sababu ni msomi, sasa nyie mnakula hela zake harafu mnamdanganya mweeee
 
hadi wazee, hata wamama hasa maeneo ya kimara , kibamba na kwingine kote kwenye shida ya maji hawataki kumsikia mnyika, kwa anayenibishia aende site akaulize
 
Yaani mmeona watu wa kibamba ni mazuzu wamchagua huyu mama wamuache mnyika?
 
Usimdanganye huyu Mama. Nani atampa kura huyu anayefungia magazeti kila siku?
 
Huyu kibibi anawapa utamu nn.?

Hata 20% ya kura Kibamba hapati...
Mnyika atapata kura zaidi ya 80%...

Huyu hovyo sana, sana...!!!

CCM out...!!
 
Katika haya mashindano mnyika kapangiwa kundi jepesi sana...halafu jumapili mnyika yuko uwanja wa nyumbani.hana majeruhi hata mmoja ushindi lazima
 
Back
Top Bottom