kichunachangu
Member
- Oct 17, 2015
- 97
- 20
Hana mpinzani Huyo
Mnyika alikuwa akifanya kazi ya kuitoka nje ya bunge na kuenda kukaa kantini kuangalia na kufuatilia Bunge kupitia TV.[/QUOTE
]
Msifanye mzaha ,huyu mama amefanya kampeni ya kisayansi na si ya kimburula kwani inaelekea anazijua demographics za kibamba kuwa wakina mama ndio wengi kuliko wanaume na vijana hivyo concentration yake imekuwa kwenye makundi ya kinamama yaani vikoba na huko mnyika hafahamiki!! Sasa Mnyika akijapigwa bao msije mkaanza kusema kaabiwa; mama anafanya kampeni kisomi!!
Fene
Hana lake Kibamba ye ni mkazi wa wapi??

KUFANYA kampeni kupitia Vicoba NI gharama Sana ..kwani pale ukienda lazima uwe na pesa ya kuwaachia si pungufu ya milioni...
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
mleta Uzi katembelewa na nyosso
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Uliwahoji woteDr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM