Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 49,937
- 40,340
- Thread starter
- #41
gentleman,Hahaha 🤣 yaani umeamua kumbananisha jamaa ili akiri yeye ni wa upande upi ??!
Lakini jibu lake litakuwa lile lile maarufu
Nosensi 🤣 !
hakuna haja ya kupeana moyo kipwagu na kipwaguzi jukwaani.
ni vizuri kuishi katika ukweli huo mtupu, dhidi ya hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒