Dr. Emmanuel John Nchimbi ni uncompromised statesman Tanzania

Dr. Emmanuel John Nchimbi ni uncompromised statesman Tanzania

Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.

Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
We ndiyo maana unadharaulika, tumia akili badala ya makalio. Tuambie ni kipi wapi Nchimbi akiwa nani kafanya jambo la maana. Unaiaibisha hiyo CCM yako, we mtu wa hovyo unafanya siasa za hovyo! Nchimbi hana rekodi yoyote ktk utumishi wake, anachoweza ni fitina ktk siasa za CCM, we kinachokusumbua ni ukatoliki. Wemmbulu ni zoba kweli, sijui kwanini mwanaume mzima huoni hata aibu? Huna kazi ya kufanya mpaka uamkie huo upuuzi?
 
Naunga mkono hoja, kwa asilimia 100% chini ya 100% na niliandika humu mara kadhaa kumhusu mtu huyu,
-
- https://www.jamiiforums.com/threads...30-twende-naye-kwa-utaratibu-ule-ule.2456741/

Nakuomba kwa nyie wenzetu mliobahatika kuwa karibu na watu wa ndani ya chama, washaurini waache zile .mambo zao kama walizomfanyia yule jamàa yangu wa 2015. jamaa alipania sana, lakini watu bila aibu huku wanamuangalia usoni, wakamchinjia baharini.

Waambieni huyu sio mtu mwepesi kihivyo, wakimletea figisu za kumchinjia baharini, this time around patachimbika kweli and if a worse comes to a worse, then utalazimika kutumika utaratibu ule ule...

P
Asante sana mwalimu P,
imenibidi nicheke kwanza.

reference zako daima huonyesha how focused are you na uko mbele sana ya muda katika kutathimini mambo kwa mbali sana kadiri yanavyokuja, na hapo unatoa ushauri,

umenikosha sana mwalimuP, na sina neno hata moja dhidi ya mapendekezo na ushauri wako kuhusu the statesman na haiba yake kwenye figisu 🤝
 
We ndiyo maana unadharaulika, tumia akili badala ya makalio. Tuambie ni kipi wapi Nchimbi akiwa nani kafanya jambo la maana. Unaiaibisha hiyo CCM yako, we mtu wa hovyo unafanya siasa za hovyo! Nchimbi hana rekodi yoyote ktk utumishi wake, anachoweza ni fitina ktk siasa za CCM, we kinachokusumbua ni ukatoliki. Wemmbulu ni zoba kweli, sijui kwanini mwanaume mzima huoni hata aibu? Huna kazi ya kufanya mpaka uamkie huo upuuzi?
ikiwa uko pointless,
just relax tu, huna haja ya kuweweseke wala kua na mihemko jukwaani,

Halafu,
ni muhimu ujifunze kuupokea ukweli bila mihemko wala makasiriko gentleman na itapendeza zaidi. You think 2030-2040 kuna anatakae mbabaisha Dr.Emmanuel John Nchimbi ndani na nje ya chama chake?:pedroP:

halafu,
kwani ukinidharau au kunitukana jukwaani inanipunguzia nini mimi kwa mfano gentleman? :pedroP:
 
Huyu amshukuru saana Samia,

Magu alimshamuweka kando, ilikuwa inasubiriwa muda wa kustaafu tu astaafu, maana watu walishamsahau.

Plus, hana makubwa aliyofanya. Si akiwa waziri, balozi, wala sasa akiwa makamo wa raisi, Hana jipya.zaidi ya kujipigia Debe kuwa next presidaa.

Changamoto ya kujipigia Debe, watu wenye pesa watamshika mkono kumsponsor, na akipata urais itabidi awalipe, hapo ndo kwenye shuguli, akiwalipa wapiomshika mkono itabidi awasahau watamzania kwanza ili awalipe waliomuweka madarakani
hujui historia gentleman,
huna haja ya kupotosha wadau wa Jf, zingatia maelezo ya msingi na uishi nayo bila kubabaika, kwasababu hakuna mbadala wa statesman Dr Emmanuel John Nchimbi ndani na nje ya chama chake come 2030-2040🐒
 
Vile anavyojitokeza, akitembea na kiweka mikono yake kiutukufu kwa nje ndio anazidi kujionesha yeye ni SHETANI KABISA kwa ndani.

Tapeli kabisa huyo.
hayo unayafuatilia wewe gentleman, mimi sifahamu kabisa,

binafsi nadeal na mambo ya kifalsafa pekee 🐒
 
ikiwa uko pointless,
just relax tu, huna haja ya kuweweseke wala kua na mihemko jukwaani,

Halafu,
ni muhimu ujifunze kuupokea ukweli bila mihemko wala makasiriko gentleman na itapendeza zaidi. You think 2030-2040 kuna anatakae mbabaisha Dr.Emmanuel John Nchimbi ndani na nje ya chama chake?:pedroP:

halafu,
kwani ukinidharau au kunitukana jukwaani inanipunguzia nini mimi kwa mfano gentleman? :pedroP:
BILA KUIBA KURA HAKUNA MATUMAINI KWA CHAMA CHA MAPINDUZi
 
Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.

Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo yake kwa 100%, huku nguvu kubwa zaidi akiipata kutoka ndani na nje ya chama chake tofauti na wengine.
God bless the statesman joney 2030-2040.

Una maoni gani?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Drama
 
Naona sasa Kizimkazi mshaanza kumtupa mkono.

Nashukuru sana kwa kuwa mwepesi wa kuelewa mawazo ya wana cdm dhidi ya bi Msumi
Hahaha 🤣 yaani umeamua kumbananisha jamaa ili akiri yeye ni wa upande upi ??!

Lakini jibu lake litakuwa lile lile maarufu
Nosensi 🤣 !
 
Back
Top Bottom