David webb
Senior Member
- Nov 20, 2011
- 159
- 84
mbona baadhi ya watumishi ambao wamepata viwanja magemani hamjayatoa? AHMAD MWATANDA-DEREVA MAJI na SALUM ALI MAULID-AFISA USHIRIKA najua hao ni wamafia na isitoshe mmoja ni mtt wa mwenyekiti wa MIDEF hii inaonyesha unatumwa na boss wako DAU pia mmeonyesha UBAGUZI....!!
Kama unayajua hayo kwann ulikaa kimya mpaka uone wenzako wanaonesha ufisadi wa BURJI , au ndo maji yashazidi unga.Nasikia jamaa kawafuata baadhi wa wabunge Dodoma ili wamuokoe. Angelikuwa kafanya cha maana asingekimbilia mjengoni kuomba msaada. kiufupi jamaa kakwama sana.