Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

Post zako zimekaa ki..nge..se na inavyo onyeshe wewe utakua ga sh..o,tunazungumzia issue ya Dr Dau na viwanja kule Mafia,watu wanakueleza ukweli kua Dr Dau ni mdini wewe unaleta story za CHADEMA,Kua na MAJITU ya type yako humu JF ni tatizo kubwa sana.
 
Acha uzushi wewe! Hata wewe unajiweka kwenye kundi la great thinker!,watu wanaelezea habari nyingine wewe unaleta ushabiki wa kichama hapa.Kwanza hata kumtetea mtu hujui ,dhahiri inaonyesha wewe ni mmoja wa watu wanaofaidika kutokana na udhalimu na ushe....nzi anaoufanya Dau.
 
MM mahakama zipi unazoongelea ambazo zinahistoria ya kutoa haki kwa wanyonge dhidi ya wenye fedha kama kina Dau?..Labda ubazungumzia mahakama zinazosilkiliza kesi ya watuhumiwa wa Richmond ama mahakama iiliyosikiliza kesi ya Zombe,Ditopile...sasa sijui ni mahakama zipi unazowashauri ndugu zetu waende..!
Nendeni mahakamani kama mnafikiri amefanya kitu kinyume cha sheria.
 
Nakuunga mkono MM.Kumetokea tatizo la nchi yetu na lipo kihistria, kuwa kiongozi anapowekwa kuongoza watanzania huwa wanageuza dhamana ile na kuona kuwa anawajibu/wajibika kuendeleza sehemu wanayotoka.Huwa wanasahau kuwa ni viongozi/watumishi wa watanzania wote.
 
Huyu jamaa waajabu. Kama anafikiri vizuri basi angesema basi hata hao watumishi wangebakia basi wale wamafia pekee wapige mzigo. Mtanzania yeyote naweza kuchkua kiwanja sehemu yeyote tanzania. Na sisi tuliotoka xxx na yyy na tunasaka viwanja hapa Dar angesemaje?
 

Si kazi rahisi wataweza bila wageni wenyewe kwao hawakupendi wanaenda kwao asubuhi na ndege ya kukodi wanarudi jioni je huu si UFISADI? Baba yao mzee kereko ukiiona utaanguka ndo wataweza kudai haki za wananchi? Kuh viwanja tatizo DAU kakosa watumishi wangapi wamejenga mafia mpk leo iwe neno? Sifa za DR Dau anapenda kutukuzwa,mbinafsi,mdini na ROHO mbaya......
 
MWIZI mwingine huyo. Anajulikana hata kwao BWENI

Hivi hata mafia kuna Bweni. Mimi naikumbuka ile ya Pangani karibu na funguni.

Ushauri kwa watanganyika. sasa mmefikia pahala pabaya sana. Kumbukeni kuna mifuko mingapi a jamii huko Tanganyika. Anzia NSSF, PSPF, NHIF , PPF e.t.c na kuna Regulator wa hizo Bodi zote za hifadhi ya jamii. Je kuna viongozi wangapi au watendaji wakuu wa hizo bodi ambao ni waislam? kwanini anaandamwa yeye kwa ajili ya dini yake? Kwa tunaomjua Dr Ramadhani Dau tokea akiwa Chuo kikuu, bandari na hata NSSF tunajua ni muadilifu kiasi gani na ni mtu makini sana katika utendaji wa kazi zake na ndio maana NSSF inazidi kukuwa siku hadi siku.

Sasa lazima mkubali kuwa naye ni sawa na Mtanzania na ana haki ya kuhoji chochote nje ya madaraka yake kikazi aliyopewa. sasa cha msingi ni kumjibu au kupata majibu ya hoja zake na sio kumkejeli.

 

Huku ndiko kubaya zaidi na hizo chuki zenu kidini ndio zinadidimiza hoja zenu.

Kwa bahati Dr Dau mimi ni mchumi mwenzangu na ingawa alinitangulia UDSM lakin nimefanya nae kazi mbalimbali za kitaaluma nikiwa wizara ya Fedha Muungano yeye akiwa UDSM. Na kwa bahati namfahamu vizuri sana Baba yake mzazi ambaye alifanya kazi sana Serikalini kama Bwana Shamba na takriban miaka mingi sana ya kazi zake alifanyia wilaya ya Rufiji.

Sasa naomba msimzulie mzee wa watu. kwani tunamjua vilivyo.

 
Mh. NasDaz
1. Imani huja kwa kusikia. Mimi nipo PPF sio NSSF ndio maana hata wewe umeweza kuijua tone yangu, ya NSSF mengi nimeyasikia, ya PPF nina uhakika nayo na ushahidi upo.
2. Lengo langu lilikuwa kumjibu Bw. IFRS9, aliyesema mbona PPF haijadiliwi, kila wakati ni DAU?
3. Dau anayo yake na mimi naweza kuwa nimesikia machache na kunidhihirishia kuwa ana tatizo la udini. Majina ya aliowashusha kutoka Directors na kuwa Managers ni Bwana Sanga, alipelekwa Mwanza, sasa ni ni DG wa LAPF, Bw. Mwakatobe alipelekwa Arusha baadaye Moshi. Bw. Kiwanga huyu katupwa RUKWA kama meneja wa mkoa. Waliochukua nafasi zao kama kuna mkristo nifahamishwe. Japo sio vizuri kuujadili udini hapa JF, ukizidi nakufumbiwa macho utatuangamiza. PPF hatusemi udini haupo, mpaka sasa hivi hakuna mkurugenzi hata mmoja ambaye ni MUISLAM, ywezekana ni mkakati wa PPF kuwa VATICAN NDOGO

Ukitaka ushahidi zaidi wa PPF ninao, wa NSSF tumia huu kidogo changanya na wa kwako.



 


Utawatisha hao hao akina mwanakijiji na wengine hapa umegonga mwamba Mimi nitakuambia ukweli. Hivi Dau atakutumia mpaka lini wewe? anakulipa shilingi ngapi kuja humu kutetea ufisadi wake? mimi siogopi kitu na utatisha hao hao wengine. Ukweli tutausema na humu ndani siondoki.Tushajua mipango yenu ya kutaka kutuhadaa na taasisi yenu na mipango yenu ya kuendeleza udidni wa nssf mafia. Kwanza kwenu sio mafia nakushangaa unaendelkeza kimbelembele juu ya mafia. anza na kwenu ndio tutakuona wa maana sio kurukia mambo na upambe tuu. Unazungumza mambo ya vita, kwanza anza na mafisadi kwenu. Kwani huyo dau si anao ndugu na wanaweza kuja humu kumtetea ya nini kujipendekeza pendekeza tuu kwa mtu ambaye huna hata undugu nae? sana sana anakutumia tuu na wanaofaidika wengine. mimi nitakuambia ukweli ndugu zake wanakuona nuksi pamoja na huyo mbaraka ambaye huishi kumtetea humu. kachezee hao hao wengine hapa utakimbia mwenyewe. Pesa yenyewe huna unatumiwa tuuu wanaofaidika wengine. Pelekeni udini wenu huko na kama mna malalamiko nendeni mkashtaki mahakamani sio kuja humu kuchafua majina ya watu
 
mbona anawajengea shule hapo mafia na nyumba hamsini za walimu hamsemi???
wajf wengine acheni kuleta chuki zenu binafsi humu,

Vipi, anajenga kwa pesa za mfukoni mwake au za NSSF? Unaweza kuzani unamsaidia kumbe ndo unaharibu zaidi,
kama ni pesa za NSSF busara inaelekeza kwamba investments za namna hiyo zikafanyike kwenye maeneo ambayo
NSSF inapata pesa kwa wingi zaidi, sina hakika kama NSSF inaweza kuwa na wananchama Mafia, unless niwe
naiunderstate Mafia.
 
hili sina hakika nalo lakini nitafanya uchunguzi na kikosi changu
 

Mkuu, huyo No.13 ni Michael Mdemu au Michelle Mdemu? Nahisi umechanganya na Michael Ezekiel a.k.a Mchupi na ndie aliye bandari. Michelle ni mama mmoja anapenda sana kugongwa na mayanki.....huyu mama yupo halmashauri-Idara ya Elimu,. Au ni mume wa huyo mama?! Manake kwa kipindi kirefu pale hakuwa na mume, cjui mume wake alikuwa wapi!!
 

hivi Dau anawapa nini nyinyi?

yule SR kakimbia alitaka kutisha tisha watu humu hajarudi tena. Dhiki kitu kibaya sana jamani. Sasa kama mnautaka ubunge kwa nini msifuate taratibu bila kuwapakazia wenzenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…