Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Kwani shetani akimuita mtu kuwa (huyo mtu) ni "muongo, mnafiki, mzandiki" kuna ubaya gani? Nitatishika Bwana Yesu akiniita maneno hayo, sio shetani aslaani!
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Dr.Kitima ni miongoni mwa watu ambao mara kwa mara huwa anaalikwa Star tv katika vipindi mbalimbali na niseme ukweli tu huwa navutiwa sana na michango na kauli zake kwenye vipindi anavyoalikwa na kwakweli siku zote huwa anakuwa "outspoken".Mara nyingi anakuwa ni mtu wa kuikosoa serikali bila woga wala hofu,naamini wale ambao huwa mnamfuatilia katika luninga mtakubaliana nami.
Lakini ninachoshangaa ni kwanini mpaka leo yuko kimya juu ya sakata hili la Kikwete na Tundu Lissu kuhusu uteuzi wa mjumbe wa TEC kwenye tume ya katiba.Dr.Kitima ndie alietajwa na mh.Lissu kuwa aliiambia kamati ya bunge ya katiba,sheria na utawala kuwa mtu alieteuliwa na Raisi kuingia katika tume hiyo hakupendekezwa na TEC.
Sasa Dr. unashindwa nini kusema hadharani juu ya hili?
Hata hivyo,inawezekana hawezi kuongea bila idhini ya TEC kuhusu jambo hii.
Itakuwa ni jambo la ajabu Taasisi ya kidini kushindwa kusema ukweli au kuficha ukweli.
Watanzania tuachane na Jk na Lissu na badala yake tuzikabe koo hizi Taasisi.Haiingii akilini kuwajadili Tundu Lissu na Kikwete bila kuhoji ukimya wa hizi Taasisi.
Kitu kingine cha kujiuliza ni mbona hawakuhoji uteuzi wa wajumbe hao mara baada ya majina ya wajumbe wa katiba mpya kutangazwa??!!
Vitu vingine haviitaji Ph D kujua ukweli. Kama Tindu aliongopa kuhusu Muswada, kwanini Mh JK anaurudisha tena Bungeni? Tuacheni ushabiki, ukweli always uibuka juuTundu muongo, mnafik, mzandik.
lisemwalo either linaukweli or uwongo no matter what lisu ni mwongo wa kupindukia, mie ni mwanangu wa kalibu sana ila hakishikilia kitu chake hakiachii kwa kuwa huwa anasema tz bado ni wadhaifu sana, wakijua umesoma ata uwadanganye wanakubali kilahisi.
Wewe changia mada kwa kujibu hoja na siyo kumtajataja mtu, nina mashaka na uelewa wako au la hujui unalolifanya ndo maana hoja zako siku zote ni majina ya watu tu na siyo maudhuhi.
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
FaizaBweha;umepungukiwa kiasi hicho hata fastjet akiachia ushuzi wewe unapiga vigelegele?
Vitu vingine haviitaji Ph D kujua ukweli. Kama Tindu aliongopa kuhusu Muswada, kwanini Mh JK anaurudisha tena Bungeni? Tuacheni ushabiki, ukweli always uibuka juu
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Vitu vingine haviitaji Ph D kujua ukweli. Kama Tindu aliongopa kuhusu Muswada, kwanini Mh JK anaurudisha tena Bungeni? Tuacheni ushabiki, ukweli always uibuka juu
Unaweza kaba koo taasisi kubwa za kidini zenye hadhi kubwa kama TEC na CCT? Pigana vita kote usisigee hizo taasisi kama CHADEMA inataka ipigwe chini nzima nzima uchaguzi 2015 pamoja na huyo Tundu Lisu isogeze vita zake kwenye hizo taasisi.Hizo taasisi ni moto wa kuotea mbali hasa kwa wanasiasa uchwara.
Huyo Padre katima na huyo mwingine wa CCT ni watu wadogo sana CCT na TEC hata kama waliiiona list ya wajumbe walioteuliwa katika hatua za awali haikuwa ndio fainal viongozi wa juu ambao ni maaskofu walikuwa na uwezo wa kuweka majina mengine tofauti na hilo la DR.katima na mwenzie yaliyopendekezwa bila kuwajibika kurudisha feedback kwa huyo Dr.KATIMA kwa kuwa kwa mfumo wao hawajibiki kwa junior.
Sasa kama huko mbele kwa mbele hakuona jina lake mtu wa kumwuuliza sio Tundu Lisu na hiyo kamati au Raisi .Na Chadema WAJIFUNZE Kuwasiliana na wakubwa wa taasisi za kidini kama raisi anavyofanya wakiiga staili hii ya tundu lissu ya kuwasiliana na kuchukulia serious hoja ya mtu mdogo wameisha.Raisi alichosema ni sahihi anajua alikopata majina.
Pole Tundu lISSU ULIYEPATA majina kwa DR.katima.
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Na tundu limefanyaje?
Sikiliza usiwe punguani, muswaada umejadiliwa bingeni, kama mnaona una matatizo ulitaka aurudishe wapi? Kwani ule wa kwanza mlipoebda kumuona Ikulu aliurudisha wapi?
Muswaada umepita unakwenda hatua ya kusainiwa, unasainiwa, unarudishwa bungeni, kama mnataka marekebisho nendeni mkajadili marekebisho bungeni. Hizo ndio kanuni, hakuna longo-longo hapo.
Nadhani hawa watani zangu huwajui. Kitima hajawi kushika namba 2 na kama sikosei alikuwa na 1 pointi 5,Wewe akili ya Lissu na Kitima unaona zipo sawa?hawa wote wapenda sifa na camera hwana kitu........
"Siyo tu kauli ya Mheshimiwa Tundu Lissu ni uzushi na uongo mtupu, bali pia ni ya unafiki, fitina na uzandiki wa hali ya juu."
"... (K)wa Mheshimiwa Tundu Lissu kudai kuwa mapendekezo ya TEC na CCT hayakuheshimiwa ni uongo wa mchana usiokuwa na kichwa wala miguu."
Nadhani hawa watani zangu huwajui. Kitima hajawi kushika namba 2 na kama sikosei alikuwa na 1 pointi 5,
si udaktari wa sheria wa kupewa kausotea ulaya na UDSM. Usijadili mtu kwa kuwa unachuki nae.
Sikiliza usiwe punguani, muswaada umejadiliwa bingeni, kama mnaona una matatizo ulitaka aurudishe wapi? Kwani ule wa kwanza mlipoebda kumuona Ikulu aliurudisha wapi?
Muswaada umepita unakwenda hatua ya kusainiwa, unasainiwa, unarudishwa bungeni, kama mnataka marekebisho nendeni mkajadili marekebisho bungeni. Hizo ndio kanuni, hakuna longo-longo hapo.