SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
Wewe akili ya Lissu na Kitima unaona zipo sawa?hawa wote wapenda sifa na camera hwana kitu........
Wanajua kuchambua mada mbalimbali na kuziweka bayana.....JK alimtaja zaidi ya mara tano (T LISSU), angekuwa ni mtu ambaye hayuko sawa JK angeangaika naye wa nn? hv nynyi maccm mkishindwa arguments mnakimbilia kumshambulia mtu? kama ndiyo hivyo endeleeni kujadili watu sisi tunaendelea kujadili mammbo mbalimbali ktk nchi hii mwisho Watz watapima.....