FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
Ni hatari sana kwa mkuu wa nchi kujihusisha na mipasho!
Majungu tupu!
Toa ushahidi kumsaidi Jk
Umeyasoma aliyonukuliwa Mbowe leo? kama bado tafuta, yamo humuhumu JF.
Ni hatari sana kwa mkuu wa nchi kujihusisha na mipasho!
Majungu tupu!
Toa ushahidi kumsaidi Jk
Unataka kulingana kwa lugha yako chafu kama Josephine?Sikiliza usiwe punguani, muswaada umejadiliwa bungeni, kama mnaona una matatizo ulitaka aurudishe wapi? Kwani ule wa kwanza mlipoenda kumuona Ikulu aliurudisha wapi?
Muswaada umepita unakwenda hatua ya kusainiwa, unasainiwa, unarudishwa bungeni, kama mnataka marekebisho nendeni mkajadili marekebisho bungeni. Hizo ndio kanuni, hakuna longo-longo hapo.
Ka,ma unapima maendeleo kwa wingi wa magari una shida?//Acha uwongo wewe mimi nipo ndani ya system ya saut kitima ndio mtu aliekiboresha kufungua matawi mengi zaidi
Hebu fungukamkuu ustake tuanze kufungua juu ya kitima.naona mnataka kanisa liumbuke