Mwongo sana wewe hujui hata channel of communication ya hizo taasisi sasa nani wa kufyekwa na hizo taasisi kama sio Mh sana Jakaya Kikwete aliyeweka watu anaowafahamu yeye na wasio toka taasisi hizo taja nani toka taasisi hizo kati ya wajumbe 30 wa tume saa zingine fikiria kwanza
Wewe changu D mbona huwezi kusikiliza ombi langu?
Sijakuelewa, 30 wametoka taasisi zipi? hebu tufafanulie kidogo kuhusu hao 30 ni wa taasisi zipi.
Kuna vitu vingine kusaini ni sawa na kuweka "najisi" katika document ya serikali!
Raisi makini hasaini upuuzi kwani ana haki ya kusaini au kutosaini!
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Chako D toka lini? wasalimie hao chako A B C.
jk ni mdini sana!Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Dr.Kitima ni miongoni mwa watu ambao mara kwa mara huwa anaalikwa Star tv katika vipindi mbalimbali na niseme ukweli tu huwa navutiwa sana na michango na kauli zake kwenye vipindi anavyoalikwa na kwakweli siku zote huwa anakuwa "outspoken".Mara nyingi anakuwa ni mtu wa kuikosoa serikali bila woga wala hofu,naamini wale ambao huwa mnamfuatilia katika luninga mtakubaliana nami.
Lakini ninachoshangaa ni kwanini mpaka leo yuko kimya juu ya sakata hili la Kikwete na Tundu Lissu kuhusu uteuzi wa mjumbe wa TEC kwenye tume ya katiba.Dr.Kitima ndie alietajwa na mh.Lissu kuwa aliiambia kamati ya bunge ya katiba,sheria na utawala kuwa mtu alieteuliwa na Raisi kuingia katika tume hiyo hakupendekezwa na TEC.
Sasa Dr. unashindwa nini kusema hadharani juu ya hili?
Hata hivyo,inawezekana hawezi kuongea bila idhini ya TEC kuhusu jambo hii.
Itakuwa ni jambo la ajabu Taasisi ya kidini kushindwa kusema ukweli au kuficha ukweli.
Watanzania tuachane na Jk na Lissu na badala yake tuzikabe koo hizi Taasisi.Haiingii akilini kuwajadili Tundu Lissu na Kikwete bila kuhoji ukimya wa hizi Taasisi.
Kitu kingine cha kujiuliza ni mbona hawakuhoji uteuzi wa wajumbe hao mara baada ya majina ya wajumbe wa katiba mpya kutangazwa??!!
Dr.Kitima ni miongoni
mwa watu ambao mara kwa mara huwa anaalikwa Star tv katika vipindi
mbalimbali na niseme ukweli tu huwa navutiwa sana na michango na kauli
zake kwenye vipindi anavyoalikwa na kwakweli siku zote huwa anakuwa
"outspoken".Mara nyingi anakuwa ni mtu wa kuikosoa serikali bila woga
wala hofu,naamini wale ambao huwa mnamfuatilia katika luninga
mtakubaliana nami.
Lakini ninachoshangaa ni kwanini mpaka leo yuko kimya juu ya sakata
hili la Kikwete na Tundu Lissu kuhusu uteuzi wa mjumbe wa TEC kwenye
tume ya katiba.Dr.Kitima ndie alietajwa na mh.Lissu kuwa aliiambia
kamati ya bunge ya katiba,sheria na utawala kuwa mtu alieteuliwa na
Raisi kuingia katika tume hiyo hakupendekezwa na TEC.
Sasa Dr. unashindwa nini kusema hadharani juu ya hili?
Hata hivyo,inawezekana hawezi kuongea bila idhini ya TEC kuhusu jambo
hii.
Itakuwa ni jambo la ajabu Taasisi ya kidini kushindwa kusema ukweli au
kuficha ukweli.
Watanzania tuachane na Jk na Lissu na badala yake tuzikabe koo hizi
Taasisi.Haiingii akilini kuwajadili Tundu Lissu na Kikwete bila kuhoji
ukimya wa hizi Taasisi.
Kitu kingine cha kujiuliza ni mbona hawakuhoji uteuzi wa wajumbe hao
mara baada ya majina ya wajumbe wa katiba mpya kutangazwa??!!
Nimepita standi kuu ya arusha nikakuta kundi la watu wamejikusanya mbele ya duka la mangi mwanzoni sikujua kimewakusanya nikaamua nisogee kumbe walikuwa wanasikiliza redio na baadaye nikagundua kuwa mzungumzaji alikuwa Mh Antipus tundu lissu baada ya kumaliza kujibu maswali ya mtangazaji wa dw nikasikia watu wanapiga makofi......jamani tutajitahidi kubisha lakini huyu mtu sasa umaarufu wake hakuna anayeuzuia. Bravo Tundu Mungu yu pamoja nasi
Kamaliza kazi yake ya VC chuo kikuu SAUT Mwanza kapewa post mpya Morogoro.
Dr.Kitima ni miongoni mwa watu ambao mara kwa mara huwa anaalikwa Star tv katika vipindi mbalimbali na niseme ukweli tu huwa navutiwa sana na michango na kauli zake kwenye vipindi anavyoalikwa na kwakweli siku zote huwa anakuwa "outspoken".Mara nyingi anakuwa ni mtu wa kuikosoa serikali bila woga wala hofu,naamini wale ambao huwa mnamfuatilia katika luninga mtakubaliana nami.
Lakini ninachoshangaa ni kwanini mpaka leo yuko kimya juu ya sakata hili la Kikwete na Tundu Lissu kuhusu uteuzi wa mjumbe wa TEC kwenye tume ya katiba.Dr.Kitima ndie alietajwa na mh.Lissu kuwa aliiambia kamati ya bunge ya katiba,sheria na utawala kuwa mtu alieteuliwa na Raisi kuingia katika tume hiyo hakupendekezwa na TEC.
Sasa Dr. unashindwa nini kusema hadharani juu ya hili?
Hata hivyo,inawezekana hawezi kuongea bila idhini ya TEC kuhusu jambo hii.
Itakuwa ni jambo la ajabu Taasisi ya kidini kushindwa kusema ukweli au kuficha ukweli.
Watanzania tuachane na Jk na Lissu na badala yake tuzikabe koo hizi Taasisi.Haiingii akilini kuwajadili Tundu Lissu na Kikwete bila kuhoji ukimya wa hizi Taasisi.
Kitu kingine cha kujiuliza ni mbona hawakuhoji uteuzi wa wajumbe hao mara baada ya majina ya wajumbe wa katiba mpya kutangazwa??!!
Magaidi wenzako wamekamatwa huko mtwara na kitabu kitakatifu pamoja na dvd za mauwajiSijakuelewa, 30 wametoka taasisi zipi? hebu tufafanulie kidogo kuhusu hao 30 ni wa taasisi zipi.
Tundu muongo, mnafik, mzandik.
Good details inapendeza kuona watu wanakuja na facts sio wale wenzangu na mimi wanaokujaga hapa utafikiri nyumbani kwao aliingia nyoka wakaanza kumkimbia
salay slip uko vizuri nayasupport mawazo yako 100%
ni kweli mkuu.unajua maana ya NOTORIOUS
jk ni mdini sana!
Notorious ni Mwiguuuuuu wa CCM!