Do uyu jamaa mbona macho yake yako kwingine, hahah au ndio mambo ya cleavage?? hahah
Mie hapa naona wenye shida ni hao akina mama maana kama kuna wenye wivu sijui inakuaje. Itabidi tu usafiri nao gari moja ukiiba ka-kiss kwa mmoja na mwingine sijui ufanyeje hahahSamahani jamani kuuliza si ujinga, ukiwa na wake 2 kama hivi unasafiri nao kwenye gari moja?
Mie hapa naona wenye shida ni hao akina mama maana kama kuna wenye wivu sijui inakuaje. Itabidi tu usafiri nao gari moja ukiiba ka-kiss kwa mmoja na mwingine sijui ufanyeje hahah
tabu tupu nakwambia hahahDu wakuu, kama wanavyosema watu mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. lakini kitu cha wake wawili hakiingii akilini, hasa kwa msomi kama Dr Bilali, unless there are biological reasons for that. Lakini again ya ngoswe mwachie ngoswe.
kabakiza kupiga mluzi tu hapo hahahBilal amewaonyesha hadharani , na Kikwete anao wangapi?
Ndio jamaa amepata mvi kwa haraka!! Hizo mashine mbili si za kitoto, zimetulia. Duh... anafaidi!!! Ila aangalie na afya yake!!
anyway, Utamaduni wa kiafika unaruhusu, au vipi wajemani!!?? Anathamini utamaduni wa kiafrika halisi.
Na mikono mfukoni, weweee!!
hahah si unaona amekaribia upande gani zaidi hahah afu nasikia wanataka kupitisha na ya upande wa pili piaPicha nzuri sana, na hapa mimi ndo ninapoipendea hii imani ya wenzangu, wawili halali hadharani aka, no complain no drama no nothing.
Sasa Dakta wa Ukweli kuoa wake wawili ndio itaifanya Afrika isiendelee? jameni wacheni kijicho.Kazi ipo Africa kuendelea mhhh