Mnaoshabikia HAMAS mfahamu walikamata hadi Waarabu mateka

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Huyu Bilal, dogo muarabu ambaye alikua mateka wa HAMAS, anaeleza jinsi walikamatwa mateka na namna walijaribu kujitetea kuwa wao ni waarabu, ila HAMAS hawakujali, walimkamata yeye na dadake Aisha na familia yote.

Kati ya familia yake, yeye tu na Aisha ndio wameachiwa, wengine wote bado mateka....hivyo mnaoshabikia HAMAS kisa mizuka ya kidini, mjue hao hilo halipo kwao na hawajali.

Bilal Ziyadne was taken captive by Hamas terrorists from Kibbutz Holit on October 7, 2023. (Courtesy)

Bilal Ziyadne, 18, who returned a week ago after more than 50 days of Hamas captivity, describes his time as a hostage in an interview with Channel 13 news.

“I told them we were Arabs. They said to us, even though we’re Arabs, they’re kidnapping us,” he recounts of October 7, when he, his sister, older brother, and father were kidnapped. He and his sister, Aisha, were the only ones from the Bedouin family from Rahat who have been released so far.

Times of Israel
 
Waislam duniani ndio washabiki wa hamas na baadhi ya wakiristo wanaojielewa . Wakiristo wa Jf wenye chuki na waislam na uislam ndio washabiki wa Isreal.
 
Waislam duniani ndio washabiki wa hamas na baadhi ya wakiristo wanaojielewa . Wakiristo wa Jf wenye chuki na waislam na uislam ndio washabiki wa Isreal

Sasa mnawashabikia ila wanaendelea kufa, mbona msiondoke muende kuwasaidia moja moja....
 
Shida Sio Uarabu Hata Muarabu Anaweza Kuwa Sio Muislam Pia, Tusikarira Maisha.Kama Hauko Upande Wa Haki Uislamu Haujal Kabila Hata Kama Ni Muislamu Usipofungamana Na Haki Unawekwa Kwenye Kundi La Wanafiki Hii Ndio Maana Ya Dini Ya Haki Hakuna Cha Kushangaza Kabisa.Sio Kama Nyinyi Mtu Akiwa Mkristo Akisapot Ushoga Kwa Vile Mkristo Mnamuhifadhi .Acha Chuki Na Uislamu Wayahud Hawaijui Dini Yako Mbona Waislamu Hatuna Chuki Na Nyinyi
 
Daaah! Kama naanza kuelewa hivi....kwa hiyo walichofanya Hamas October 7 kina uhusiano na uislamu sio? Hii ahadi ya kufanya ngono na mabikra Ina athari kubwa sana kwenye vichwa vyetu
Allah Ni Fundi Wa Kuadhibu Na Kustarehesha Nyinyi Nendeni Pepo Yenu Ya Kunywa Divai Na Kusifu,sasa Hyo Pepo Au Mapango Ya Amboni Si Bora Nibaki Duniani
 
Huyu muarabu itakua alikua anatumika na magaidi wa israhell pamoja namagaidi wa idf
Ila yaonesha kama itakua alitoa siri za idf ndio maana akaachiwa
Hamas hawakukamati bila ya sababu za msingi
Hamas kamatieni hapo hapo
 
Today may be the day Israel suffered the most losses, reports of at least 60 Israeli soldiers died and 100s wounded. Continues Israeli Helicopters evacuating Israeli deads and wounded from Gaza.
IMG_20231211_130658.jpg
 
Today may be the day Israel suffered the most losses, reports of at least 60 Israeli soldiers died and 100s wounded. Continues Israeli Helicopters evacuating Israeli deads and wounded from Gaza.View attachment 2839368
Wameoneshwa wanapakiana kwenye ndege kama kumbi kumbi
Hamas waliwaambia kama ghaza yatakua makaburi yao wakabisha
Acha waendelee kufa si wamejitakia kusudi
 
Daaah! Kama naanza kuelewa hivi....kwa hiyo walichofanya Hamas October 7 kina uhusiano na uislamu sio? Hii ahadi ya kufanya ngono na mabikra Ina athari kubwa sana kwenye vichwa vyetu
Wewe bikra yqko ulitolewa lini?
 
Huyu Bilal, dogo muarabu ambaye alikua mateka wa HAMAS, anaeleza jinsi walikamatwa mateka na namna walijaribu kujitetea kuwa wao ni waarabu, ila HAMAS hawakujali, walimkamata yeye na dadake Aisha na familia yote.

Kati ya familia yake, yeye tu na Aisha ndio wameachiwa, wengine wote bado mateka....hivyo mnaoshabikia HAMAS kisa mizuka ya kidini, mjue hao hilo halipo kwao na hawajali.

Bilal Ziyadne was taken captive by Hamas terrorists from Kibbutz Holit on October 7, 2023. (Courtesy)
Bilal Ziyadne was taken captive by Hamas terrorists from Kibbutz Holit on October 7, 2023. (Courtesy)

Bilal Ziyadne, 18, who returned a week ago after more than 50 days of Hamas captivity, describes his time as a hostage in an interview with Channel 13 news.

“I told them we were Arabs. They said to us, even though we’re Arabs, they’re kidnapping us,” he recounts of October 7, when he, his sister, older brother, and father were kidnapped. He and his sister, Aisha, were the only ones from the Bedouin family from Rahat who have been released so far.

Times of Israel
JF naomba sana mpeni ajira Mr Uharo kwa siku anaandika vyuzi 10😂
 
Dini ya kiislam ni upumbafu mtupu. Kanisa wanakuambia adui yao ni mkristo na Muyahudi.

Yaani dini ina maadui pumbafu kabisa.
 
Shida Sio Uarabu Hata Muarabu Anaweza Kuwa Sio Muislam Pia, Tusikarira Maisha.Kama Hauko Upande Wa Haki Uislamu Haujal Kabila Hata Kama Ni Muislamu Usipofungamana Na Haki Unawekwa Kwenye Kundi La Wanafiki Hii Ndio Maana Ya Dini Ya Haki Hakuna Cha Kushangaza Kabisa.Sio Kama Nyinyi Mtu Akiwa Mkristo Akisapot Ushoga Kwa Vile Mkristo Mnamuhifadhi .Acha Chuki Na Uislamu Wayahud Hawaijui Dini Yako Mbona Waislamu Hatuna Chuki Na Nyinyi
waislam hawana chuki na dini nyingine.? man be serious bac
 
Back
Top Bottom