Dr Bilal na wake zake Aisha na Zakia

Status
Not open for further replies.
Katika hali ya kawaida naogopa kujiuliza maswali ninayojiuliza sasa. Kwa umri wangu (ukilinganisha na umri wa Mzee Bilali) haya maswali ninayojiuliza yanaweza kutafsiriwa ni ukosefu wa heshima!! Lakini kwa sababu nimeshajiuliza labda niwashirikishe walimwengu mnisaidie kupata majibu aidha kutokana na uzoefu wenu au uelewa.

Je kwa wiki hizo mbili huko Serengeti Mzee Bilali alikuwa amechukua chumba kwa ajili ya kila mke wake au walichukua chumba kimoja ikawa wanayoita wazungu 'threesome' (kwa fikra hizi hapa ndipo ninapopata wasiwasi wa kuonekana mtovu wa adabu).....

Au, kama aliwachukulia kila mmoja chumba chake ina maana alikuwa anazunguka chumba hadi chumba au ilikuwaje?? Au ndio bi mkubwa anapewa nafasi ya kwanza??
 
Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe sawa mkuu?? Ama naweza tumia lugha ya kiyunani/kiebrania/kiyahudi nk kuwa ya kaizari mpe kaizari na ya mungu mpe mungu!! Finito!!!
 
nawapenda sana wamama wa zamani hawana makuu, ingekuwa ni sie wa dot com huko mbugani pangechimbika!
 
Uhuru gani mtu aspumue na wakeze. Kufuatilia personal issues ndio kunakowafanya waende zao nje ya nchi kupumzika. Kama kuna issue muhimu hapa labda ungejiuliza muda wote huo mkuu kazi zake zafanywa na nani?
 
Mimi niko kwenye gharama zaidi...kwa msafara wake na wake wote hao wawili ina maana amepewa presidential suite ambayo ni euro 15,000 kwa siku...full board.
Amekaa week 2 ina maana 15,000 x 14 utapata majibu mwenyewe akirudi dar utasikia anaumwa anaenda kupata matibabu au check up...

Huyu shababi alitaka kweli atumikie taifa au ilikuwa nnnguvu ya washikaji na vijiwe pale zbar?maana sioni effect na kwa nn alikuwa anakomaliaa urais wa zbar??

Kazi bado ipo maana alisahau mkasi wake dar angefungua hata visima mbugani huko...sioni anafanya kazi gani hasa zaidi kutia hasara taifa
 
Jamani hii ni familia yake halali na kabla ya kumpa u makamu wa rais tulijua hayo. Tusiingilie mambo yasiyo tuhusu. Ingekuwa ni nyumba zake ndogo kama jamaa zetu wengi wanavyofanya tena kwa hela za walipa kodi, tungeliweza kujiuliza inakuwaje tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom