Nakandamiza Kibara
Senior Member
- Jul 17, 2007
- 143
- 10
Mungu Wangu Eeeh!!! Unajua Nilipoanza Kusoma Hii Thread Nilitaka Kuidis...but As I Read Nimedevolop Interest Ya Kujua Zaidi ...kulikoni??????? ..,.hii Ni Aiubu Kwa Taifa ...kuwa Na Viongozi Aina Hii ...ndio Maana Wakienda Nje Wanatuaibisha Kama Yule Afisa Ubalozi Marekani .....
Tuhuma Kuwa Mama Ni Mdini ...kiasi Hicho Ni Tuhuma Mbaya Sana...natamani Huyu Dada Batilda Kama Kuna Mtu Anajua Email Yake Amtumie Hii Page ..kwa Tuhuma Nzito Kama Hizi ...hata Kama Hatapenda Kujibu Kwa Jina Halisi ..lazima Ataingia Kwa Nick Name....
Inatia Shaka Serikali Kuwa Na Mawaziri Wadini Namna Hii ..ndio Maana Hawachelewi Kutoa Amri Za Kiutata Kama Ile Aliyotoa Hawa Ghasia Jana!!!
unatamka wazi wazi kwamba Wakristo si watu na walio watu wa dini hiyo kwako they should stop practising it wakiwa watumishi wako ?
Whaaat? Now I see kwa nini Sophia Simba, alimfukuza huyu mama kule kina mama, eti mnasema huyu mama ana dini? Dini ipi hiyo inayomruhusu kuingilia ndoa ya kiongozi mmoja mkubwa wa serikali yetu anayemkingia ubavu na aliyemuhamisha kule kwa Mama Simba?
Au anafikiri hatujui kuwa anajirusha na huyu kigogo? Jamani semeni mengine lakini sio ya dini na huyo mama, nasikia kutapika maana hana dini!