Dr. Batilda Salha Buriani unayafanya haya kwanini?

Yesu Kristu Maria Na Yosefu, kuna vitu vingine hata kama wewe ni viongozi you cannot be excused hii habari ya kuwa na wafanyakazi wa ndani kutoka nje ya nchi sio sawa. '

hawa Immigration wanajua kubughudhi wale wanaojitahidi kufuata process kwa mfano kwenye kampuni ninayofanya kazi wapo hapa asubuhi mchana jioni ati wanafuatilia wanaofanya kazi bila kibali na kila siku wakija wanaambulia patupu. lakiniwatakapojua kwamba haya yanaendelea hawatajigusa hata.

Vitu kama hiovi hata tume havihitaji kama ushahidi upo TAMWA hawawezi kuwasaidi hawa wasichana au nao wanawaogopa hawa viongozi
 
.....inayomruhusu kuingilia ndoa ya kiongozi mmoja mkubwa wa serikali yetu anayemkingia ubavu na aliyemuhamisha kule kwa Mama Simba?

Au anafikiri hatujui kuwa anajirusha na huyu kigogo? ...

She came across to me as someone msomi,aliyetulia na mwenye moral standards. The quote above came as a shock to me, but I think we all have our baggages. But objectively,Vipi utendaji wake wa kazi?
 
Yesu Kristu Maria Na Yosefu, kuna vitu vingine hata kama wewe ni viongozi you cannot be excused hii habari ya kuwa na wafanyakazi wa ndani kutoka nje ya nchi sio sawa. '

hawa Immigration wanajua kubughudhi wale wanaojitahidi kufuata process kwa mfano kwenye kampuni ninayofanya kazi wapo hapa asubuhi mchana jioni ati wanafuatilia wanaofanya kazi bila kibali na kila siku wakija wanaambulia patupu. lakiniwatakapojua kwamba haya yanaendelea hawatajigusa hata.
PTTp haya mbona ni mambo ya kawaida
....kuna wageni wengi tu wanafanya kazi za kushona nguo, saluni etc kwa wake za viongozi
Na wanajulikana hata na hao immigration and most of the watejas ni hao vingozi wenyewe...
 
She came across to me as someone msomi,aliyetulia na mwenye moral standards. The quote above came as a shock to me, but I think we all have our baggages. But objectively,Vipi utendaji wake wa kazi?[/QUOTE]

Hata mimi niko interested na hilo.

Kwa sababu inaonekana siku hizi suala la " Xriss Xross " marriages limekuwa la kawaida katika nyanja zote.
 
Tunashukuru kwa kukua kwa technologia ya habari, mambo mengi siku hizi hadharani mara tu yanapotokea,,, yaani Tanzania itabadilika muda si muda... na wengine mlioko hapa mnaoota Kuwa Viongozi hakikisheni hamuachi alama za mabaya tutawapiga mabomu... ya aina ya BM52
 
Eti "inayomruhusu kuingilia ndoa ya kiongozi mmoja mkubwa wa serikali yetu anayemkingia ubavu na aliyemuhamisha kule kwa Mama Simba?" ... Kumbeee!! ... Ndiyo maana siku ile Dr. Batilda anaapishwa akiwa na mtoto kulitokea minong'ono kuwa ni "mshikaji kwa mshikaji"! Hapo tena kuna wakutia neno juu ya vitendo hivyo vya kuwanyanyasa mabinti za watu. Mungu atawanusuru.
 
But objectively,Vipi utendaji wake wa kazi?

Mama Lao na Dorini,

Yule dada ni mchapakazi, kwa kweli haya mambo ya kijamii na kujamiiana huwaga yanakuwa btn watu walioko karibu... e.g. Waalimu kwa Waalimu, Madaktari kwa Mananesi/Madaktari/wagonjwa, walevi kwa mabaamedi, Wanakwaya kwa Wanakwaya... hivyo sio vibaya kwa Mawazi... kwa Mawazi...
 
Nimeguswa nakusikitika sana kuhusu shutma kwamba Mh.Waziri anamzuia mtumishi wake hakk yake namba 1 ya kumwabudu Bwana Mungu wake, yaani hapa nilipo machozi yananilengalenga wallah!

Yaani ningekua Osama ningejilipua hakyanani...!
 
Tatzio Jf nowdays ,limekuwa kama udaku..Mnaojua Mhe. Buriani anachukuliwa na nani,si mmtaje huyo kigogo?Jambo forums we dare to talk openly.
Baada ya kusema hayo naomba nichangie maada hii
Kwanza kanuni za maadaili ya utendaji kayika utumishi wa mumma toleo la Januari 2006ibara ya nane kifungu cha 3 nanukuuu 'Watumishi wa Umma wanapaswa kuepuka kumnyanyasa Mwananchi au mtumishi mwenzao kwa misingi ya jinsia,kabila,dini ,itikadi za kisiasa,utaifa,utamaduni,kuoa au kuolewa au Ulemavu.'
Kwa mantiki hiyo Dr. Buriania anakosa kuwa mtumishi au kiongozi wa Umma.ila sishangai viongozi wengi wa serikali hii wako hivi wote
 
Eti "inayomruhusu kuingilia ndoa ya kiongozi mmoja mkubwa wa serikali yetu anayemkingia ubavu na aliyemuhamisha kule kwa Mama Simba?" ... Kumbeee!! ... Ndiyo maana siku ile Dr. Batilda anaapishwa akiwa na mtoto kulitokea minong'ono kuwa ni "mshikaji kwa mshikaji"! Hapo tena kuna wakutia neno juu ya vitendo hivyo vya kuwanyanyasa mabinti za watu. Mungu atawanusuru.

Je ana bwana huyu mama?
 
Goshhh!Hii inajustify kuwa baraza zima ni la kishikaji basi.Nani amesalimika? mimi sioni..ni almost hakuna aliyebaki.Labda wanaJF mnielimishe hapo.
 
Eti "inayomruhusu kuingilia ndoa ya kiongozi mmoja mkubwa wa serikali yetu anayemkingia ubavu na aliyemuhamisha kule kwa Mama Simba?" ... Kumbeee!! ... Ndiyo maana siku ile Dr. Batilda anaapishwa akiwa na mtoto kulitokea minong'ono kuwa ni "mshikaji kwa mshikaji"! Hapo tena kuna wakutia neno juu ya vitendo hivyo vya kuwanyanyasa mabinti za watu. Mungu atawanusuru.

Buriani.jpg

Mkuu NTIRU sijakuelewa hapo nifafanulie kuhusu kuapishwa akiwa na mtoto au mahausigeli walikuwa wamekimbia wakamuachia mtoto? Kwani hana hata ndugu wa kumshika tu kwa muda wakati anakula kiapo?
 
Je ana bwana huyu mama?

Huyu mama sijui kama ameolewa, ila shujaa wa bunge anayejirusha naye najua kuwa ana mke, tena wa zaidi ya miaka 20!
 
Kifu! Pamoja na yeye kuwa na madudu hayo, hii inawezekana haina makweli bali majungu...historia itatueleza! huyo aliyeleta hii thread ya vibweka labda alinyimwa nafasi!
 
Back
Top Bottom