Dr. Batilda Salha Buriani unayafanya haya kwanini?

Mimi nasema anaye pinga kwamba haya ni majungu means anajua the other side of the story na madai haya .Sasa paint it clean ama counter attack madai yangu badala ya Bi Salha . Kama huwezi kuja na version ya ambayo utadai ina ukweli basi kaa kimya hadi ajibu hizi Tuhuma .Na si tuhuma pekee ni ukweli maana nina mengi zaidi ya haya nangoja ajibu halafu niyamwage hapa . Majina pekee niliyo yataka Bi Salha anapataka kichaa maana wote wamekuwa watumishi wake hadi kabakiwa sasa na Mmalawi.
 
Kama kweli alijua wana shida na akawafanya watumwa basi ashurutiwe tu!

  • Kwanza, wamalawi kuingia nchini kinyemela sio jambo geni- Kwa hivyo sidhani kama aliletwa na hao marafiki wakijua fika kama huyo ni mzamiaji.
  • Pili, Huyo Judith kavunja sheria...ni jukumu lake kuona ana nyaraka za kuingia nchini na zakufanya kazi!- Kama huyo Mama alijua haya au walizungumza kufanya hivyo basi wote wamevunja sheria mbali mbali.
Hivyo basi kama huyo Waziri ametumia advantage ya Judith kotokuwa na nyaraka za kuwa nchini na kumnyima haya chini...
  • mkataba wa kueleweka
  • Uhuru wake wa kuabudu siku ya Jumapili
  • Masaa ya kazi ni kama yako ama yeye ni hadi utakapo lala ndipo naye awe wa mwisho kulala na wa kuanza kuamka...
Basi Waziri ashutumiwe na akemewe. Inatisha ukiona waziri ana mhamiaji kwake wakati tunajua Mwaziri saa nyingine wanakuwa na nyaraka za siri za taifa-Je kama huyo Judith ni jasusi? enewei!

Majina ambayo yamo humu ni ya wasichana yaani Tabu, Jamila, Jesca,Eshter mlokole, na Judith mmalawi. Vijana majina yao yakowapi? Wapi hizo data?

Wajitokeze tu au ndio wote wahamiaji? na kama ndio hivyo Uhamiaji uingie kuona kama kuna ringi ya kuleta wahamiaji na kama huyo mama na marafiki zake wa mbezi(sijui mbezi ipi hii)wanahusika?

Kwa kweli sijui anasema nini bungeni lakini kama anasema na kufanya contrary na anayoyafanya au kuongea basi asurutishwe huko bungeni pia!

Haya ni maswali kwa mlengwa... Mhh?

"Je unaweza kusema hapa juu ya haki za watumishi hawa ambao kwa mateso na manyanyaso yakiwemo ya kuwazuia ku practice imani yao kisa wewe ulibadili dini kuwa Muislam basi unatamka wazi wazi kwamba Wakristo si watu na walio watu wa dini hiyo kwako they should stop practising it wakiwa watumishi wako ?"

"Hebu tueleze ya wachache ya hawa ulivyo wanyanyasa na kuwalipa kiasu cha shiling 100,000 tena siku unapo wafukuza ama wanapo amua kuondoka siku ya mwisho maana huwalipi miashahara yao bali una limbikiza na mwisho unawazika?"

Na haya pia...

"Kuna huyu Tabu alitoka Morogoro kakimbia majuzi na malipo yamekuwa ya maajabu.
Jesca kaondoka majuzi kwa kero ya kumzuia kwenda Kanisani na hata kutaja Yesu akiwa katika eneo lako. Umemnyanyasa hadi kutishia kumpeleka polisi ?"

"Kuna Jamila,Esther Mlokole ambaye amepambana na kuwa mtiifu kwako lakini kashindwa kwa manyanyaso ?"

Sasa kuna huyu Judith ambaye ameapa kwamba hata kwenda kanisani na sasa tunangoja kuona utafanya nini . Lakini kwa nini wewe ndugu waziri nawe uingie katika mkumbo wa kunyanyasa watumishi wako wa ndani na hata vijana wote wanakimbia ?Naomba unieleze juu ya Kibali cha Judith .Nauliza hivi nikiwa na data kibao ambazo nangoja ujibu hoja ama watu wako wakujibie nizimwage ili watanzania wakujue kwamba ni mtu mwenye chuki na hata wafanya kazi wenzio kiasi kwamba unaogopa hata kula chakula ofisini unaogopa kupewa sumu ukidai kwamba wanakuchukia . Jiulize kwa nini wanakuchukia kabla huja anza kuwa mtu wa vituko.[/QUOTE]

Inaonekana wazi una yako pamoja na kwamba kuna yakuangalia...Simu, Data, Vijana wanakosekana humu!
 
Mimi nasema anaye pinga kwamba haya ni majungu means anajua the other side of the story na madai haya .Sasa paint it clean ama counter attack madai yangu badala ya Bi Salha . Kama huwezi kuja na version ya ambayo utadai ina ukweli basi kaa kimya hadi ajibu hizi Tuhuma .Na si tuhuma pekee ni ukweli maana nina mengi zaidi ya haya nangoja ajibu halafu niyamwage hapa . Majina pekee niliyo yataka Bi Salha anapataka kichaa maana wote wamekuwa watumishi wake hadi kabakiwa sasa na Mmalawi.

Nilifikiri una data bado ni shutuma hizi? Usijiumeume!

"Majina pekee niliyo yataka Bi Salha anapataka kichaa"
Kwa hiyo ndiyo uliyoyataka haya, apate Kichaa?
 
Pili, Huyo Judith kavunja sheria...ni jukumu lake kuona ana nyaraka za kuingia nchini na zakufanya kazi!- Kama huyo Mama alijua haya au walizungumza kufanya hivyo basi wote wamevunja sheria mbali mbali.

Ignorance is no defence, she should have verified with reputable sources.
 
Naona sasa mnaacha mjadala mnaleta ubishi .Sasa hapa shida iko wapi ama upinzani huu unaanzia wapi ?
Ni kitu gani ambacho hakijasemwa hapa ? Mbona huyo mtuhukiwa hajajitokeza kujibu ili mtoa tuhuma aweze kutoa data zaidi ?
 
duu inaonekana kuna waandishi wanapita humu..walikuwa kwenye kuaga mwili wa losurutia pale muhimbili..pale kanisa katoliki ,kamera imemvuta huyu binti [batilda] akajaa..du kala ndita kinoma ..watu wakiwa wanaimba [ukizingatia alikuwa mkristo hadi alipobadili ukubwani]..at least angepiga tafu kuimba ili kuwa prove wrong watu wanaosema hapendi ukristo....anyway kwa majukumu yake ya chief whip au waziri wa ofisi ya waziri mkuu [bunge na uratibu] ...pale alikuwa kazini na analazimika kutoa huduma kama hizi kila mara ...
 
Sijatumwa... ila nilisema mie kibogoyo!

MwanaHaki kwa bahati nzuri sana mimi ni masikini jeuri sihitaji kumtafuta mtu ili nile sina uhusiano na siasa za Bongo wala sijahitaji kazi nikanyimwa na yeye .Nimekuwa mtumishi wa Seikali hii miaka mingi sana na huyu hajawahi hata kuwa boss wala wa rafiki yangu .Mimi nime andika kwa hisia kali maana walio athrika mbele ya huyu Mama ni pamoja na Mama yake mzazi ukiwasikia wanasema hutaamini . Mama yake mzazi hajawahi kusema nami ila wale walionipa habari wamesema hata Mama yake ilibidi siku moja aliye kwa kuwambiwa kwamba kampa ruhusa Esther kwenda Kanisani wakati kwake hakuna kitu kama hicho , mama yale alianza kulia sana akiomba kusamehewa na kwamba hataruhusu tena mtu kwenda Kanisani .

Unataka kusema mimi ninatumiwa ama wewe ndiye unatumiwa kuja kubadilisha habari hii ?
 
kwa nini hizo data usizimwage maana kama huna uthibitisho ni bora usiongee muongea pekee siku zote huwa mshindi, na wewe Dr buriani kama unaona unonewa jibu madongo hayo yatakuumiza bure
 
kwa nini hizo data siuzimwage maana kama huna uthibitisho ni bora usiongee muongea pekee siku zote huwa mshindi, na wewe Dr buriani kama unaona unonewa jibu madongo hayo yatakuumiza bure
 
Hapa kuna waandishi kuanzia kwa mwanakijii hadi wa TZ mbona hawajaenda kuulizia juu ya huu uvumi na yeye Salha aseme kama analo la kusema ama ndiyo wako chini ya payroll ya RA na style mpya ya CCM kumeza mfupa ?
 
Ndugu zangu wa JF,

Baada ya muda mrefu wa ukimya naomba nafasi nitoe dukuduku langu kuhusiana na muenendo wa uchangiaji humu katika baraza letu hili.

Kwa ujumla inaelekea wengi wetu humu ni wale waitwao SIMPLE MINDS...tunapenda kujadili watu zaidi ya kutumikisha vichwa vyetu kujadili masuala yaliyomuhimu na yasiyo muhimu. Ukiangalia threads zote zilizopata umaarufu humu ndani utakuta zinahusu watu na sio masuala ama issues. Na mbaya zaid ni zile zenye kulenga ubaya ama shutuma za ubaya wa watu hao. Halafu tunajidai kuwa sisi ndio tumeonda mwanga na tuna usongo wa kubadili hali ya Tanzania yetu. Tujiulize ndugu zang!!!!!

Kuhusu Dada Batilda naamini kabisa kuwa aliyeleta hili jungu ana chuki binafsi. Ama kwa kuwa Batilda ni CCM, ama ni mwanamke anayeonyesha kung'ara kisiasa ama kwa kubadilika kwake kuwa Salha.

Kwa kuangalia mzusha jungu huyu NAKANDAMIZA KIBARA anavyosisitiza kutumia jina la Bi Salha na sio Batilda kama anavyojulikana ni wazi kuwa amelenga kumpandikizia chuki ya udini dada yetu huyu. Sasa kama ni chuki zinazolenga kuvuruga mafanikio yake kisiasa ama kutokana na kuasi dini ya kikristo na kuwa muislamu basi hilo litajulikana karibuni.

Kama ni kubadilika kwake kutoka Batilda hadi Salha ndio sababu kwa kweli sishangai sana maana mara nyingi nimekuwa nikisema kuwa watanzani tuna ubaguzi sana na haswa katika uduni na ukabila. Tofauti na wenzetu ni kuwa watanzania tumekubuhu kwa unafiki na kupenda kuangalia matatizo kama haya ni ya wenzetu na sio kwetu. Ukiangalia mtiririko wa mawaziri wanashikiwa kidedea kuwa watupu ni Sofia, Hawa, Zakia, na sasa Salha. Wapo walioanza kudai Warda-Asharose Migiro mtupu...Ban Ki Moon akawanyamazisha....

FMES umeshakuwa mtu mzima mno ndugu yangu...acha kupenda udaku. Haya maneno ya LOWASSA na BATILDA ni uzushi kama ule uliowahi kuusimamia kidete kuhusu Mama Zakia Meghji na Rostam Aziz wakati unarely na sources za kimajungu. Ndio maana napenda kukuasa...kama unataka kumfukuza mwizi nyumbani rudi ndani ya nyumba na ubweke na sio kupigia kelele nje ya uzio huko uliko.

Kitu kimoja ninachoweza kukubaliana na jungu hili ni kuwa Batilda ama Salha kama ambavyo Mtengeneza Jungu NAKANDAMIZA KIBARA anavyosisitiza kutumia ni VERY TOUGH endeed. Anajiamini na haoni taabu kuchukua majukumu ya kiuongozi. Tatizo ni kuwa nafasi yake ya sasa ya kutetea maslahi ya CCM ambayo yanapingana na maslahi ya mtanzania ndio inamfanya ajenge maadui wengi.

Wakati akiwa wizara ya wanawake na watoto alikuwa kipenzi wa kila mtu bungeni lakini tangia achaguliwe kulinda maslahi ya CCM na nyakati nyingi maslahi ya kina LOWASSA ambao ni mabosi wake ni wazi majukumu yake kiutendaji yanampasa kuwa adui wa watanzania wengi wanaochukia mfumo fisadi na kandamizi wa CCM. Hata hivyo inapokuja katika masuala ya Batilda kama yeye ninaweza kusimama na kusema kinachofanyika hapa ni majungu na chuki binafsi. Na tusipoangalia inawezekana ni ugomvi wa kifamilia ama wa kiitikadi.

Mwisho napenda kuwaasa tena, tuache kuwa simple minds...Tanzania needs and deserves more than that.

Tanzanianjema
 
Kwa kuangalia mzusha jungu huyu NAKANDAMIZA KIBARA anavyosisitiza kutumia jina la Bi Salha na sio Batilda kama anavyojulikana ni wazi kuwa amelenga kumpandikizia chuki ya udini dada yetu huyu.

Hapa kakosea wapi? Si jina alilochukua? Mimi nadhani wale wanaotumia Batilda ndio wanaokosea maana mwenye jina aliishalikana(au bado analikubali?). Inawezekana kabisa kuwa huyu aliyeanzisha mada hii ana chuki binafsi. Hii ni www na ni pori, unaingia kwa tahadhari. Kinachoweza kufanyika ni wale wanaomfahamu Mheshimiwa kusema kuwa hayo yanayosemwa ni uongo na hakuna aliyetendewa hivyo. Hao wanaodaiwa kunyanyaswa bado wako kazini na hapajawahi kuajiriwa mgeni. Hilo tuu. Naamini wako wanaomjua vizuri mheshimiwa kwa undani. Sasa mbona wanakuwa mabubu? Kwa kukaa kimya ndiko kunakozidi kumpa nguvu aliyeanzisha mada na kumtimizia hilo lengo mnalomtupia la kumchafulia jina Mheshimiwa.
 
hito ya Lowassa na Bi buriani ni soo,ila inawezekana,manaake huko Dom dom mambo huwa i moto moto na damu huwa zinchemka ile mbaya.
Tanzania Njema,sio kila habari ambayo wewe hauijui iwe udaku?wewe umekuwa Kiranja wa kujua yote?Basi tuambie ukweli kuhusu Ndanda na huyu Bi salha?
 
Wabongo hata wakipata cheo hawabadiliki kifikra. Kabla hajawa waziri alikwaje? Hata hivyo politics za Wanawake Tz zinaleta mambo. Wanaleta sera za ajabu ajabu tu , ndivyo wanavyofanya hata huko majumbani mwao. Wengi wapigwa vibuti na wazee wao kwa jinsi walivyolewa madaraka wakajipatia seperiority complexity,zikachanganyika na feminism. >>Confusion.

I dont't mean I hate them. I mean they still can,nt yet.
 
Wana JF sasa tumeanza kuishiwa vya kuongea maana hii sasa inavuka mipaka mambo ya mtu binafsi sisi yanatuhusu nini? JF sio Civil Society Organization wala Political party sasa masuaala ya watu mara Batilda mara mengi sijui kaachana na mkewe hayatusaidi kabisa. Lets talk about constructive things na sio kuingilia privacy za watu.
 
Kiongozi wa kitaifa ni kioo kwa jamii, hivyo tabia na mienenendo yao inatakiwa iwe ya mfano.
 
Allegation za ku-employ illegal immigrant na domestic worker abuse, including infringement on constitutional rights to worship are issues and not personal attacks.

If there is a counter argument/rebuttal in mheshimiwa's defense it should be made public, otherwise silence will be taken as lack of counter argument/complacent attitude/ deaf ears.

Muhimu zaidi muheshimiwa aandikiwe barua /baruapepe ili apate nafasi ya kujibu kwani inawezekana anashambuliwa unfairly wakati mwenyewe hajui.Waandishi wa habari wako wapi?

There could be some lower than the belts hits here and there, but there are central issues of integrity and simple ethical adherence to leadership code.

Do not even try to downplay the accusations as immaterial, hapa ni JF tunaweka standards mpya katika uongozi Tanzania.
 
kama kweli hii tuhuma ipo kwa huyu dada,basi kuna mengi mabaya tusiyo yajua,hata binti wa kazi naye tuna import toka majuu,sasa bungeni wanamdanganya nani kuhusu ajira kwa wageni? haya sio mambo binafsi ni kiongozi wa nchi huyo mdada. 2010 tuwaige ANC huko bondeni,sijui huko jirani kwa wajaluo mambo yakoje!!! kazi ipo.
 
Ndugu zangu wa JF,

Baada ya muda mrefu wa ukimya naomba nafasi nitoe dukuduku langu kuhusiana na muenendo wa uchangiaji humu katika baraza letu hili.

Kwa ujumla inaelekea wengi wetu humu ni wale waitwao SIMPLE MINDS...tunapenda kujadili watu zaidi ya kutumikisha vichwa vyetu kujadili masuala yaliyomuhimu na yasiyo muhimu. Ukiangalia threads zote zilizopata umaarufu humu ndani utakuta zinahusu watu na sio masuala ama issues. Na mbaya zaid ni zile zenye kulenga ubaya ama shutuma za ubaya wa watu hao. Halafu tunajidai kuwa sisi ndio tumeonda mwanga na tuna usongo wa kubadili hali ya Tanzania yetu. Tujiulize ndugu zang!!!!!

Kuhusu Dada Batilda naamini kabisa kuwa aliyeleta hili jungu ana chuki binafsi. Ama kwa kuwa Batilda ni CCM, ama ni mwanamke anayeonyesha kung'ara kisiasa ama kwa kubadilika kwake kuwa Salha.

Kwa kuangalia mzusha jungu huyu NAKANDAMIZA KIBARA anavyosisitiza kutumia jina la Bi Salha na sio Batilda kama anavyojulikana ni wazi kuwa amelenga kumpandikizia chuki ya udini dada yetu huyu. Sasa kama ni chuki zinazolenga kuvuruga mafanikio yake kisiasa ama kutokana na kuasi dini ya kikristo na kuwa muislamu basi hilo litajulikana karibuni.

Kama ni kubadilika kwake kutoka Batilda hadi Salha ndio sababu kwa kweli sishangai sana maana mara nyingi nimekuwa nikisema kuwa watanzani tuna ubaguzi sana na haswa katika uduni na ukabila. Tofauti na wenzetu ni kuwa watanzania tumekubuhu kwa unafiki na kupenda kuangalia matatizo kama haya ni ya wenzetu na sio kwetu. Ukiangalia mtiririko wa mawaziri wanashikiwa kidedea kuwa watupu ni Sofia, Hawa, Zakia, na sasa Salha. Wapo walioanza kudai Warda-Asharose Migiro mtupu...Ban Ki Moon akawanyamazisha....

FMES umeshakuwa mtu mzima mno ndugu yangu...acha kupenda udaku. Haya maneno ya LOWASSA na BATILDA ni uzushi kama ule uliowahi kuusimamia kidete kuhusu Mama Zakia Meghji na Rostam Aziz wakati unarely na sources za kimajungu. Ndio maana napenda kukuasa...kama unataka kumfukuza mwizi nyumbani rudi ndani ya nyumba na ubweke na sio kupigia kelele nje ya uzio huko uliko.

Kitu kimoja ninachoweza kukubaliana na jungu hili ni kuwa Batilda ama Salha kama ambavyo Mtengeneza Jungu NAKANDAMIZA KIBARA anavyosisitiza kutumia ni VERY TOUGH endeed. Anajiamini na haoni taabu kuchukua majukumu ya kiuongozi. Tatizo ni kuwa nafasi yake ya sasa ya kutetea maslahi ya CCM ambayo yanapingana na maslahi ya mtanzania ndio inamfanya ajenge maadui wengi.

Wakati akiwa wizara ya wanawake na watoto alikuwa kipenzi wa kila mtu bungeni lakini tangia achaguliwe kulinda maslahi ya CCM na nyakati nyingi maslahi ya kina LOWASSA ambao ni mabosi wake ni wazi majukumu yake kiutendaji yanampasa kuwa adui wa watanzania wengi wanaochukia mfumo fisadi na kandamizi wa CCM. Hata hivyo inapokuja katika masuala ya Batilda kama yeye ninaweza kusimama na kusema kinachofanyika hapa ni majungu na chuki binafsi. Na tusipoangalia inawezekana ni ugomvi wa kifamilia ama wa kiitikadi.

Mwisho napenda kuwaasa tena, tuache kuwa simple minds...Tanzania needs and deserves more than that.

Tanzanianjema

Acha kulia lia,
Jibu tuhuma za abuse over uhuru wa kuabudu wa mtoto wa kazi!
 
Acha kulia lia,
Jibu tuhuma za abuse over uhuru wa kuabudu wa mtoto wa kazi!

Safi sana Mzalendo ukizngatia hapa JF ni kumkoma nyani mchana kweupeeee!!

Kama majungu shusha upande wa ukweli! Vinginevyo yeye ni kiongozi wa jamii ambaye anapaswa kusimamia haki za msingi za watu, sasa yeye akiwa wa kwanza kuzivunja haingii akilini kabisa!
 
Back
Top Bottom