mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,053
- 4,825
Mbona mzee TIDO alijaribu kuihuisha hii taasisi wange jaribu kufanya awe consultant wao ila itabaki kuwa old wine in a new bottle
Dr.aache kulialia TBC is state funded cha msingi waache partisan coverageDr Rioba amekiri TBC kukabiliwa na changamoto mbalimbali kwa sababu TBC ina operate katika mazingira magumu sana, hivyo amewashukuru sana wafanya wa TBC kwa kujituma na kujitolea. licha ya kulipwa maslahi duni.
P.
Mkuu Wakudadavua, ni kweli kabisa Dr. Rioba ni mwanahabari na mbobezi wa ukweli ila pia ni msomi, yaani an academician, tatizo la wasomi wetu na ma academicians ni watu wa theory nyiingi ila practical hakuna, ili TBC iweze kufanikiwa na kupiga hatua za kweli za mabadiliko ya kweli, Dr. Rioba aendelee kuwepo as a theorist leader, lakini chini yake anahitaji wasaidizi wabobezi katika practical, vinginevyo maboresha hayo yataishia kwenye makaratasi, TBC inahitaji a political will kutoka serikalini on both way, from TBC point of view TBC iache kuwa mtoto wa mama kwa kuitegemea serikali kwa kila kitu, it has to stand alone on its own fit kwa serikali kuiwezesha na TBC ijitegemee, na from government poit of view, iache the mothers apron strings tendency za kuing'ang'ania TBC na kujiona TBC kama ni TV ya serikali. wakati in reality TBC ni TV ya umma na sio TV ya serekali, refer to public broadcasting station vs government media.Huyu Dr. Rioba ni mbobezi, atainyanyua TBC
Kutangaza mikutano ya ccm si public interest ila ni sectarian interest.Dr Riyoba hata afanye nini, yeye ni switch ya kuwasha taa tu, mwenye nyumba ataibonyeza kuwasha taa zake za sitting room.Switch ya sitting room hiwezi kusema kwamba itawasha taa za uani koteAkitolea mfano matangazo ya mkutano Mkuu wa CCM, amesema TBC inachokifanya ni kutanguliza tuu kitu kinachoitwa Public Interest, hivyo TBC ndio ilikuwa ya mwisho kuamua kuutangaza mkutano wa CCM, CCM imelipa.
Chadema wakiomba TBC itawatangaza.
TBC ,bado sana Pale waondoe wazee,na wale vijana waliokuwepo wabadili mtazamo,vinginevyo watabaki walivyo, utayarishaji mbovu,upigaji picha mbovu,uhariri mbovu,graphics mbovuMkuu Wakudadavua, ni kweli kabisa Dr. Rioba ni mwanahabari na mbobezi wa ukweli ila pia ni msomi, yaani an academician, tatizo la wasomi wetu na ma academicians ni watu wa theory nyiingi ila practical hakuna, ili TBC iweze kufanikiwa na kupiga hatua za kweli za mabadiliko ya kweli, Dr. Rioba aendelee kuwepo as a theorist leader, lakini chini yake anahitaji wasaidizi wabobezi katika practical, vinginevyo maboresha hayo yataishia kwenye makaratasi, TBC inahitaji a political will kutoka serikalini on both way, from TBC point of view TBC iache kuwa mtoto wa mama kwa kuitegemea serikali kwa kila kitu, it has to stand alone on its own fit kwa serikali kuiwezesha na TBC ijitegemee, na from government poit of view, iache the mothers apron strings tendency za kuing'ang'ania TBC na kujiona TBC kama ni TV ya serikali. wakati in reality TBC ni TV ya umma na sio TV ya serekali, refer to public broadcasting station vs government media.
Paskali
Kwa kuonyesha nyimbo za kipaahkuna za Ccm na kukwepa kuonuesha mambo muhimu kama bunge ndio kweli itakuwa kama BBC. Bbc tukio likitokea duniani baada ya muda mfupi liko hewani. Wao Tbc mpaka vikao vya Chama vikae kuamua ni lopi lirushweKipindi nimekikutia katikati.
Amesema amepania kuipaisha TBC katika viwango vya kimataifa kama BBC.
P.