Dr. Ayub Rioba atoa Mwelekeo wa TBC kwa Mwaka 2018. Kufikisha viwango vya juu kiwango cha BBC

Pia Dr. Rioba amezungumzi TBC TaIfa, TBC FM na TBC international, TBC kuwa TBC itaendeleza dhima ya RTD, ameagiza magari 9, TBC itawafuata wananchi kule vijijini.

TBC pia itafanya kazi ya watchdog to the society, TBC kama chombo cha habari, ikifanya kazi yake ipasavyo, TBC itaisaidia sana serikali kubaini maeneo ya mapungufu kwa kuyaibua, sio kusubiri hadi rais, waziri Mkuu au serikali ndio ikaibue madudu.

P.
Stories? Hata wakiona jambo lolote hawataruhusiwa kulitangaza kama wao. Wataambiwa waandae kipindi live cha ziara aje mkubwa 'AGUNDUE' hayo mambo. Inaekeweka utaratibu wa sasa. Ayubu akifanya tofauti, ya Muhando yatamkuta.
 
Dr Rioba amekiri TBC kukabiliwa na changamoto mbalimbali kwa sababu TBC ina operate katika mazingira magumu sana, hivyo amewashukuru sana wafanya wa TBC kwa kujituma na kujitolea. licha ya kulipwa maslahi duni.

P.
Tatizo la Huyu Dr Rioba ameajiri watu wengi wa MKATABA bila Serikali kuu kujua matokeo yake Wafanyakazi hawalipwi OT's zao kwani Pesa hizo anawalipa aliowaajiri kwa Mkataba na kwa sasa idadi ya Wafanyakazi wa mkataba wapo wengi usipime........!!! TBC kuna njaa ya KUFA Mtu.............!!! Hakuna Overtime, Vituo vingi vya Kanda Havina Usafiri, Wafanyakazi wengi ni Wababaishaji Serikali inaingia Gharama kubwa kununua MITAMBO ambayo huja kufa muda mfupi kwa sababu tu MAMBULULA WALIOPO HAPO TBC.........!!!!

Mkuu Pascal Mayalla Mshauri mwana Taaluma mwenzio........kuwa Dr na Mwalimu wa Chuo cha Habari pekee haitasaidia Kuivusha TBC, Muulize je bado ana uwezo wa kuwalipa OVERTIME wafanyakazi wake.............?????

Mitambo inafungwa MIPYA karibu kila kanda Dr Rioba tupe Lifespan ya hiyo Mitambo.......?? siyo kesho na keshokutwa utuambie imekufa.............!!! Hatutakuelewa na Mafundi wako MAMBULULA.............
 
Eti mipango yao kabambe ni kujenga jengo jipya dodoma hivyo huduma zao zitaboreka!!.. Jengo?? Ha haaa

Cc: joseph Kusaga
Cc: Ruge Mutahaba
Hii Dodoma sasa imekuwa kero, kila mtendaji inabidi aitaje tu ilimradi mkubwa amsikie. Hakuna continuity kwenye shughuli nyingi za Serikali.
 
Mi nadhani Kati ya tidoh na rioba aliekuwa analeta mabadiliko kwa speed ya 4g tbc Ni tidoh na kidogo ilianza kurudisha heshima kipinsi cha tidoh na baada ya tidoh kuondolewa kaondoka na ubora WA tiibiisii..rioba Hana jipya tokea alivoingia hamna mabalaliko
 
Wanabodi,

Angalia TBC Live, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayoub Rioba atoa mwelekeo wa TBC for 2018.

Amemalizia kwa kusisitiza kuwa TBC inajipanga kujitegemea kwa kuzindua mpango kabambe. TBC kuwa na makao makuu Dodoma, kwa kuanzia itahamishia watumishi 15 Dodoma

Kipindi kimemalizika.

My Take.
  1. Kwanza Dr. Ayoub Rioba huyu aliyeongea leo, ndiye yule Ayoub Rioba tuliomfahamu sisi kama Ayoub Rioba, kabla hawajawa Mkurungenzi wa TBC, sijui ni nini kilimpata hapa katikati, lakini sasa huyu ndiye Ayoub tuliyemfamu ni mwandishi nguli, mbobebezi na mzalendo mwenye kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na Watanzania, hivyo sasa Dr. Rioba anakwenda kui transform TBC kutoka kuwa ni TV ya serikali, Government TV Station na kuwa ni Public Broadcasting Station
  2. Kitendo cha kuipania TBC kujitegemea, ni cha kuungwa mkono kwa asilimia 100%, serikali iendelee kuigharimia TBC kama wajibu wake, lakini TBC ibuni vyanzo vingine vya mapato. Hii itaifanya TBC iwe independent, swali ni jee serikali itaikubalia TBC kuwa independent?. Kwa sababu the more TBC inavyojitegemea ndivyo serikali inavyo losse grip kwenye TBC!.
  3. Kwa vile Dr. Rioba amepania kuipaisha TBC kufikia levels za BBC, lazima set up na funding ya TBC iwe ki BBC, Tanzania tuanzishe broadcasting levy, TBC ipatiwe fungu lake linalojitegemea kwa kugharimiwa na umma, nakumbuki nikiwa UK, kila mtu anakatwa Fedha kuigharimia BBC, mimi nakalalamika kuwa nikiwa UK sitaangalia BBC, wala sitasikiliza BBC radio, nikaambiwa usikilize, usisikize as long as umechuma pesa in UK, lazima uligharimie BBC. Kama ilivyo kwa Fedha za SDL.
  4. Ili TBC iweze kuwa kama BBC kwenye programing, lazima sasa TBC ikubali kupokea Vipindi vya nje, kutoka kwa independent produces, hii ni fursa kwa production houses, ku produce good programs zenye maudhui mazuri na good quality kuitumia TBC kurusha diverse opinion.
  5. Kitendo cha Dr. Rioba kupania kuijengea uwezo TBC kuisaidia serikali kwa kuwa a watchdog to society kwa TBC kutosubiri hadi rais Magufuli afanye ziara za kushtukiza ndipo kuibua madudu, sasa TBC itapenya na kuibua madudu, serikali itafuatilia. Hii maana yake TBC sasa itakuwa na Vipindi vya Investigation Journalism, kama ilivyo kwa Jicho Pevu.
  6. Dr. Rioba amesema TBC haina upendeleo kwa CCM, itatenda haki kwa vyama vyote, kumbe vingozi wa upinzani huwa wanaalikwa TBC lakini wanaingia mitini!, mwaka 2018, tutegemee kuona more political programs zenye balanced representation.
  7. Kwa vile mimi ni mtu wa broadcast journalist, kuna mambo mengine ya TBC ni not for public consumption, hivyo nitamtafuta Dr. Rioba on one on one.
All the Best kwa TBC 2018.

Paskali
Hakuna kitu hapo wanatumia TBC1 kisiasa unategemea nini?bunge hamuonyeshi ila mikutano ya ccm ziara za ccm mnaonyesha
 
Kiufupi, TBC itakua inaonesha habari za Ccm tu.
 
Kumbe Dr. Rioba ndie Makamo raia wa Vyombo wa Utangazaji Kusini mwa Africa, SABA, uliochini ya SADC, hivyo amezungumzia umaajumui wa Afrika, kuwa TBC itashiriki.

Mkuu Paskali ninashukuru kwa kutuletea muelekeo huo wa TBC. Napenda nikuambie hayo malengo ya Ayub Rioba ni ndoto za mchana kweupe, kwani hata alipoingia hapo pia alikuwa na mtazamo huo. Hayo malengo aliyotangaza sio yeye tu, hayo ni kama mazoea kwa taasisi zote zinapoanza mwaka kuwa na malengo ya hivyo lakini utendaji kubaki ni uleule. Aliyeibadilisha hiyo TBC alikuwa Tido Muhando na yalimkuta yaliyomkuta. Ukiona na Rioba mwambie Tindo wa jf kamwambia hizo ndoto zake apeleke shirika jingine la utangazaji, ila kwa hapo TBC apiganie mshahara wake tu.
 
Back
Top Bottom