Dr. Ayub Rioba atoa Mwelekeo wa TBC kwa Mwaka 2018. Kufikisha viwango vya juu kiwango cha BBC

Kipindi nimekikutia katikati.

Amesema amepania kuipaisha TBC katika viwango vya kimataifa kama BBC.

P.
Usipoteze muda wako kuhusu huyo ndugu TIDO MHANDO aliifanya TBC ieleweke hayo anayolalamikia yakiwepo tena hiyo Mwakani ndio atavurunda kabisa sababu watawala wanajiandaa na Uchaguzi
 
Labda waachane na siasa ya chama lao... na mpango wa kuwafuta kwenye king'amuzi hawana tija kwenye maisha yangu hawa jamaa

Pamoja na matatizo ambayo TBC inaweza kuwa nayo lakini kwangu mimi mpaka sasa hakuna kituo cha televisheni nchini kinachoweza kuifikia TBC kwa weledi....
 
Wanabodi,

Angalia TBC Live, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayoub Rioba atoa mwelekeo wa TBC for 2018.

Kipindi nimekukitia katikati,
Dr. Rioba amesema amepania kuipaisha TBC kwa kuifanyia maboresho mabalimbali hadi kufikia katika viwango vya kimataifa kama vya BBC.

Dr Rioba kwa hali ilivyo sasa, TBC imejitahidi sana, lakini amekiri TBC kukabiliwa na changamoto mbalimbali kwa sababu TBC ina operate katika mazingira magumu sana, hivyo amewashukuru sana wafanyakazi wa TBC kwa kujituma na moyo wa kujitolea licha kufanya kazi katika mazingira magumu ya kazi na huku wakilipwa maslahi duni. Kwa mwaka 2018 atajitahidi sana kuboresha maslahi kwa kuanzia na malipo ya posho ambazo tayari zimeisha kuwa approved na bodi.

Kuhusu kutaka kufanya baadhi ya mambo na kujikuta anakwamishwa na urasimu wa serikali, Dr Rioba, amepigilia misumari kuwa ili TBC ipae na kufikia viwango vya BBC, ziko sheria, taratibu na kanuni za serikali lazima zinadilishwe, ili ziendane na mabadiliko tarajiwa, amekiri urasimu na baadhi ya taratibu za kiserikali zinamuwekea usiku, kuikimbiza TBC kubadilika, hivyo kushindwa kufanya mambo makubwa on time kwa wakati tarajiwa. Ametolea mfano ili kufanya baadhi ya mambo ni lazima uandike barua huku na kule, kuna baadhi ya idara barua inakaa hadi miezi miwili haijajibiwa!, amesema yeye akipokea barua zote huzijibu pale pale!, amesisitiza huu urasimu usio wa lazima katika baadhi ya maeneo serikalini lazima uishe!, ili tupate maendeleo ya kweli, lazima serikali ibadilike the way it does some things.

Dr. Rioba ameulizwa swali kuhusu TBC kufanya upendeleo kwa CCM na serikali

Hapa namuona Dr. Rioba akikumbwa na kigugumizi...
Akitolea mfano matangazo ya mkutano Mkuu wa CCM, amesema TBC inachokifanya ni kutanguliza tuu mbele kitu kinachoitwa Public Interest, hivyo TBC ndio ilikuwa ya mwisho kuamua kuutangaza mkutano wa CCM, hata hivyo amesema CCM imelipa!.

Amesema hata Chadema wakiomba TBC kuwatangazia mkutano wake Mkuu, TBC itawatangaza tuu ili mradi walipe.

Dr. Rioba atoboa siri kuwa TBC imekuwa ikiwaita viongozi wakuu wa vyama vya upinzani, kushiriki kwenye mijadala mbalimbali TBC, lakini wao ndio huwa hawatokei, wanaikimbia!.

Rioba amesema TBC inataka kufanya kazi na watu wote na vyama vyote bila ubaguzi, bila upendeleo.

Kuhusu tuhuma za TBC kuhonga watu ili kumsifia Magufuli, Dr. Rioba amekanusha vikali.
"Mimi ni muumini wa uhuru wa watu kujieleza, lakini hakuna haki isiyokuwa na wajibu, uhuru tunaoutumia kwenye mitandao, tuhuma za TBC kutoa rushwa ili kuandaa Kipindi cha kumsifia Magufuli"

TBC inaamini katika haki, hakuna rushwa kabisa katika TBC

Pia amezungumzia fake news, amekiri TBC kufanya kosa, kuhusu uwepo wa fake news, amesema amezama deep namna bora ya ku deal na fake news ni kuboresha mafunzo, amemshukuru mhe rais kuwasamehe wahusika wa fake news ya TBC, yeye aliishawafukuza jumla.

Amesema alikasirika kwa sababu TBC ndio taasisi yanye pool kubwa kabisa ya waandishi walioelimika kwa viwango vya juu, kabisa, wenye weledi, hivyo kwa mwaka 2017, TBC itaboresha Zaidi contents.

Pia Dr. Rioba amezungumzi TBC TaIfa, TBC FM na TBC international, TBC kuwa TBC itaendeleza dhima ya RTD, ameagiza magari 9, TBC itawafuata wananchi kule vijijini.

TBC pia itafanya kazi ya watchdog to the society, TBC kama chombo cha habari, ikifanya kazi yake ipasavyo, TBC itaisaidia sana serikali kubaini maeneo ya mapungufu kwa kuyaibua, sio kusubiri hadi rais, waziri Mkuu au serikali ndio ikaibue madudu.

Kumbe Dr. Rioba ndie Makamo raia wa Vyombo wa Utangazaji Kusini mwa Africa, SABA, uliochini ya SADC, hivyo amezungumzia umaajumui wa Afrika, kuwa TBC itashiriki.

Amemalizia kwa kusisitiza kuwa TBC inajipanga kujitegemea kwa kuzindua mpango kabambe. TBC kuwa na makao makuu Dodoma, kwa kuanzia itahamishia watumishi 15 Dodoma

Kipindi kimemalizika.

My Take.
  1. Kwanza Dr. Ayoub Rioba huyu aliyeongea leo, ndiye yule Ayoub Rioba tuliomfahamu sisi kama Ayoub Rioba, kabla hawajawa Mkurungenzi wa TBC, sijui ni nini kilimpata hapa katikati, lakini sasa huyu ndiye Ayoub tuliyemfamu ni mwandishi nguli, mbobebezi na mzalendo mwenye kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na Watanzania, hivyo sasa Dr. Rioba anakwenda kui transform TBC kutoka kuwa ni TV ya serikali, Government TV Station na kuwa ni Public Broadcasting Station
  2. Kitendo cha kuipania TBC kujitegemea, ni cha kuungwa mkono kwa asilimia 100%, serikali iendelee kuigharimia TBC kama wajibu wake, lakini TBC ibuni vyanzo vingine vya mapato. Hii itaifanya TBC iwe independent, swali ni jee serikali itaikubalia TBC kuwa independent?. Kwa sababu the more TBC inavyojitegemea ndivyo serikali inavyo losse grip kwenye TBC!.
  3. Kwa vile Dr. Rioba amepania kuipaisha TBC kufikia levels za BBC, lazima set up na funding ya TBC iwe ki BBC, Tanzania tuanzishe broadcasting levy, TBC ipatiwe fungu lake linalojitegemea kwa kugharimiwa na umma, nakumbuki nikiwa UK, kila mtu anakatwa Fedha kuigharimia BBC, mimi nakalalamika kuwa nikiwa UK sitaangalia BBC, wala sitasikiliza BBC radio, nikaambiwa usikilize, usisikize as long as umechuma pesa in UK, lazima uligharimie BBC. Kama ilivyo kwa Fedha za SDL.
  4. Ili TBC iweze kuwa kama BBC kwenye programing, lazima sasa TBC ikubali kupokea Vipindi vya nje, kutoka kwa independent produces, hii ni fursa kwa production houses, ku produce good programs zenye maudhui mazuri na good quality kuitumia TBC kurusha diverse opinion.
  5. Kitendo cha Dr. Rioba kupania kuijengea uwezo TBC kuisaidia serikali kwa kuwa a watchdog to society kwa TBC kutosubiri hadi rais Magufuli afanye ziara za kushtukiza ndipo kuibua madudu, sasa TBC itapenya na kuibua madudu, serikali itafuatilia. Hii maana yake TBC sasa itakuwa na Vipindi vya Investigation Journalism, kama ilivyo kwa Jicho Pevu.
  6. Dr. Rioba amesema TBC haina upendeleo kwa CCM, itatenda haki kwa vyama vyote, kumbe vingozi wa upinzani huwa wanaalikwa TBC lakini wanaingia mitini!, mwaka 2018, tutegemee kuona more political programs zenye balanced representation.
  7. Kwa vile mimi ni mtu wa broadcast journalist, kuna mambo mengine ya TBC ni not for public consumption, hivyo nitamtafuta Dr. Rioba on one on one.
All the Best kwa TBC 2018.

Paskali

Pascal,
Ayoub Rioba amesema aliyoyasema kwa sababu tu kapata hiyo fursa; kamwe hataweza kuleta mabadiliko yoyote chanya hapo TBC. Na hili analifahamu vizuri. Eti Tido alifanya nini TBC na nini kilimkuta?

Ni kweli TBC inapaswa kuwa public service broadicater lakini kiuhalisia sivyo ilivyo. TBC ni mouthpiece ya CCM/Serikali na itaendelea kuwa hivyo katika mazingira ya kiutawala yaliyopo nchini. Na kazi kubwa ya Rioba ni kuhakikisha hii taasisi inabaki katika huo mstari.

Hivyo kiuhalisia TBC ni chombo cha kusambaza propaganda ya CCM na serikali yake. Na ikumbukwe katika propaganda suala la professionalism halipo. Kwa hiyo si ajabu kwamba TBC imebobea katika kutangaza uongo, upotoshaji (disinformation, misinformation) na fake news.

Kwa mfano, hapo umemsikia Rioba akiwatuhumu unjustifiably viongozi wa upinzani kwa "kuingia mitini wanapoalikwa studio". Hapa utakubalina na mimi kuwa ni makosa makubwa kutoa tuhuma kama hii kama wanaotuhumiwa hawakupewa fursa ya kujitetea katika forum hiyo hiyo. Lakini tujiulize, kwa nini kuingia huku mitini kwa wapinzani hakukuwepo wakati wa enzi ya Tido?
 
Akitolea mfano matangazo ya mkutano Mkuu wa CCM, amesema TBC inachokifanya ni kutanguliza tuu kitu kinachoitwa Public Interest, hivyo TBC ndio ilikuwa ya mwisho kuamua kuutangaza mkutano wa CCM, CCM imelipa.

Chadema wakiomba TBC itawatangaza.

Hii kauli naifananisha na ya kwamba hata wapinzani wanaweza kuomba ukumbi Ikulu wakafanyia mikutano yao kama ccm wanavyofanya....

Please msitufanye wote matutusa kama wadodoma ,haiwezekan na haitawezekana.

Tbc kwa unafki wao wanaweza kuwaalika viongozi upinzani kwa mada zile negative kama vile wanavyorusha habari zao negative pia .
 
Wanabodi,

Angalia TBC Live, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayoub Rioba atoa mwelekeo wa TBC for 2018.

Kipindi nimekukitia katikati,
Dr. Rioba amesema amepania kuipaisha TBC kwa kuifanyia maboresho mabalimbali hadi kufikia katika viwango vya kimataifa kama vya BBC.

Dr Rioba kwa hali ilivyo sasa, TBC imejitahidi sana, lakini amekiri TBC kukabiliwa na changamoto mbalimbali kwa sababu TBC ina operate katika mazingira magumu sana, hivyo amewashukuru sana wafanyakazi wa TBC kwa kujituma na moyo wa kujitolea licha kufanya kazi katika mazingira magumu ya kazi na huku wakilipwa maslahi duni. Kwa mwaka 2018 atajitahidi sana kuboresha maslahi kwa kuanzia na malipo ya posho ambazo tayari zimeisha kuwa approved na bodi.

Kuhusu kutaka kufanya baadhi ya mambo na kujikuta anakwamishwa na urasimu wa serikali, Dr Rioba, amepigilia misumari kuwa ili TBC ipae na kufikia viwango vya BBC, ziko sheria, taratibu na kanuni za serikali lazima zinadilishwe, ili ziendane na mabadiliko tarajiwa, amekiri urasimu na baadhi ya taratibu za kiserikali zinamuwekea usiku, kuikimbiza TBC kubadilika, hivyo kushindwa kufanya mambo makubwa on time kwa wakati tarajiwa. Ametolea mfano ili kufanya baadhi ya mambo ni lazima uandike barua huku na kule, kuna baadhi ya idara barua inakaa hadi miezi miwili haijajibiwa!, amesema yeye akipokea barua zote huzijibu pale pale!, amesisitiza huu urasimu usio wa lazima katika baadhi ya maeneo serikalini lazima uishe!, ili tupate maendeleo ya kweli, lazima serikali ibadilike the way it does some things.

Dr. Rioba ameulizwa swali kuhusu TBC kufanya upendeleo kwa CCM na serikali

Hapa namuona Dr. Rioba akikumbwa na kigugumizi...
Akitolea mfano matangazo ya mkutano Mkuu wa CCM, amesema TBC inachokifanya ni kutanguliza tuu mbele kitu kinachoitwa Public Interest, hivyo TBC ndio ilikuwa ya mwisho kuamua kuutangaza mkutano wa CCM, hata hivyo amesema CCM imelipa!.

Amesema hata Chadema wakiomba TBC kuwatangazia mkutano wake Mkuu, TBC itawatangaza tuu ili mradi walipe.

Dr. Rioba atoboa siri kuwa TBC imekuwa ikiwaita viongozi wakuu wa vyama vya upinzani, kushiriki kwenye mijadala mbalimbali TBC, lakini wao ndio huwa hawatokei, wanaikimbia!.

Rioba amesema TBC inataka kufanya kazi na watu wote na vyama vyote bila ubaguzi, bila upendeleo.

Kuhusu tuhuma za TBC kuhonga watu ili kumsifia Magufuli, Dr. Rioba amekanusha vikali.
"Mimi ni muumini wa uhuru wa watu kujieleza, lakini hakuna haki isiyokuwa na wajibu, uhuru tunaoutumia kwenye mitandao, tuhuma za TBC kutoa rushwa ili kuandaa Kipindi cha kumsifia Magufuli"

TBC inaamini katika haki, hakuna rushwa kabisa katika TBC

Pia amezungumzia fake news, amekiri TBC kufanya kosa, kuhusu uwepo wa fake news, amesema amezama deep namna bora ya ku deal na fake news ni kuboresha mafunzo, amemshukuru mhe rais kuwasamehe wahusika wa fake news ya TBC, yeye aliishawafukuza jumla.

Amesema alikasirika kwa sababu TBC ndio taasisi yanye pool kubwa kabisa ya waandishi walioelimika kwa viwango vya juu, kabisa, wenye weledi, hivyo kwa mwaka 2017, TBC itaboresha Zaidi contents.

Pia Dr. Rioba amezungumzi TBC TaIfa, TBC FM na TBC international, TBC kuwa TBC itaendeleza dhima ya RTD, ameagiza magari 9, TBC itawafuata wananchi kule vijijini.

TBC pia itafanya kazi ya watchdog to the society, TBC kama chombo cha habari, ikifanya kazi yake ipasavyo, TBC itaisaidia sana serikali kubaini maeneo ya mapungufu kwa kuyaibua, sio kusubiri hadi rais, waziri Mkuu au serikali ndio ikaibue madudu.

Kumbe Dr. Rioba ndie Makamo raia wa Vyombo wa Utangazaji Kusini mwa Africa, SABA, uliochini ya SADC, hivyo amezungumzia umaajumui wa Afrika, kuwa TBC itashiriki.

Amemalizia kwa kusisitiza kuwa TBC inajipanga kujitegemea kwa kuzindua mpango kabambe. TBC kuwa na makao makuu Dodoma, kwa kuanzia itahamishia watumishi 15 Dodoma

Kipindi kimemalizika.

My Take.
  1. Kwanza Dr. Ayoub Rioba huyu aliyeongea leo, ndiye yule Ayoub Rioba tuliomfahamu sisi kama Ayoub Rioba, kabla hawajawa Mkurungenzi wa TBC, sijui ni nini kilimpata hapa katikati, lakini sasa huyu ndiye Ayoub tuliyemfamu ni mwandishi nguli, mbobebezi na mzalendo mwenye kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na Watanzania, hivyo sasa Dr. Rioba anakwenda kui transform TBC kutoka kuwa ni TV ya serikali, Government TV Station na kuwa ni Public Broadcasting Station
  2. Kitendo cha kuipania TBC kujitegemea, ni cha kuungwa mkono kwa asilimia 100%, serikali iendelee kuigharimia TBC kama wajibu wake, lakini TBC ibuni vyanzo vingine vya mapato. Hii itaifanya TBC iwe independent, swali ni jee serikali itaikubalia TBC kuwa independent?. Kwa sababu the more TBC inavyojitegemea ndivyo serikali inavyo losse grip kwenye TBC!.
  3. Kwa vile Dr. Rioba amepania kuipaisha TBC kufikia levels za BBC, lazima set up na funding ya TBC iwe ki BBC, Tanzania tuanzishe broadcasting levy, TBC ipatiwe fungu lake linalojitegemea kwa kugharimiwa na umma, nakumbuki nikiwa UK, kila mtu anakatwa Fedha kuigharimia BBC, mimi nakalalamika kuwa nikiwa UK sitaangalia BBC, wala sitasikiliza BBC radio, nikaambiwa usikilize, usisikize as long as umechuma pesa in UK, lazima uligharimie BBC. Kama ilivyo kwa Fedha za SDL.
  4. Ili TBC iweze kuwa kama BBC kwenye programing, lazima sasa TBC ikubali kupokea Vipindi vya nje, kutoka kwa independent produces, hii ni fursa kwa production houses, ku produce good programs zenye maudhui mazuri na good quality kuitumia TBC kurusha diverse opinion.
  5. Kitendo cha Dr. Rioba kupania kuijengea uwezo TBC kuisaidia serikali kwa kuwa a watchdog to society kwa TBC kutosubiri hadi rais Magufuli afanye ziara za kushtukiza ndipo kuibua madudu, sasa TBC itapenya na kuibua madudu, serikali itafuatilia. Hii maana yake TBC sasa itakuwa na Vipindi vya Investigation Journalism, kama ilivyo kwa Jicho Pevu.
  6. Dr. Rioba amesema TBC haina upendeleo kwa CCM, itatenda haki kwa vyama vyote, kumbe vingozi wa upinzani huwa wanaalikwa TBC lakini wanaingia mitini!, mwaka 2018, tutegemee kuona more political programs zenye balanced representation.
  7. Kwa vile mimi ni mtu wa broadcast journalist, kuna mambo mengine ya TBC ni not for public consumption, hivyo nitamtafuta Dr. Rioba on one on one.
All the Best kwa TBC 2018.

Paskali
Pascal ebu acha kabisa kusema hilo kesho Magufuli na Bashite wakasema wanaanza kutoz a kodi ya tv kwa kuanzia mkoa wa dar. Kwasababu wachina watatufungia satellite mpya na ya kisasa. Ili TBC ichangiwe na kila mtanzania ni lazima kwanza iwe fair yaani itoke serikalini iachane na upendeleo. Iache kuambiwa ya kuandika au kutangaza, iache kujitangaza kuwa ni tv ya CCM au serikali. Kwasababu serikali iliyopo siyo ya watanzania hapana wanavyojua wao na wanavyosema watu wa serikali wakuu wa mikoa, wilaya wote wanasema Serikali ya MAGUFULI/CCM. Hivyo katika Tanzania huwezi kusikia kuwa serikali ni ya watanzania. Hivyo kupendekeza watanzania walipie broadcasting levy. Itawanufaisha baadhi ya watu na itawasaidia kukandamiza opposition na tv zingine.
Kwanza Rioba anaongea nini kwa sasa wakati kapewa TBC karibia mwaka na amefanya nini??? Pascal kama Rioba alikuwa anapata wakati mgumu kuandaa au kufanya mabadiliko TBC kwanini hakujiuzulu??? Mwaka 2018 ndio atapata power wapi ya kuicontrol TBC ili iwe kama BBC ya UK. Hivi anafikiria BBC inaingiliwa. Hizo ni maneno ya Rioba ambaye bado anayo mawazo kuwa baadhi ya watanzania bado ni wajinga na hasa wanaosikiliza hiyo TBC. Rioba ni mnafiki mwenye kupenda cheo angekuwa bado na ole hulka yake ya zamani angejiuzulu zamani. Lakini ndio tabia ya watanzania kupenda kutanua kupenda vyeo na kuwa kwenye magari yenye viyoyozi na kuabudiwa kwa morning boss anaogopa akirudi kwenye taaluma yake atalala njaa wakati ndio alikuwa akiishi kwa hiyo kz yake. Huyo Rioba sasa hivi hata kuongea na wewe atakuwa anaogopa. Eti TBC iache kutangaza au kuipendelea ccm Rioba ni nani??? Kama Tido aliyeishi nje na kufanya kz BBC alishindwa na kuachia ngazi Rioba ataweza??? Kwasasa wa kuweza kubadilisha chochote ndani ya serikali hii ya MAGUFULI ni wabunge tu wa ccm. Wakiamua tunaweza kupata Tanzania mpya lkn kwa wanavyopenda matumbo yao hilo haliwezi tokea. ILA NASEMA YANA MWISHO....IPO SIKU
 
Huyu Dr. Rioba ni mbobezi, atainyanyua TBC
Kutumiwa na ccm , chama ambacho kimeleta kila aina ya dhiki na udhalilishaji unaouona Tanzania ndio kaburi la TBC .

Ukitaka kumzika ndugu yako peke yako peleka Tangazo la kifo TBC , hakuna atakayepata taarifa maana wananchi hawaangalii hiyo TBC , Mungu ameitandika laana kutokana na kutumika na wakandamizaji , na haitasimama milele chini ya ccm
 
Wanabodi,

Angalia TBC Live, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayoub Rioba atoa mwelekeo wa TBC for 2018.

Kipindi nimekukitia katikati,
Kumbe Dr. Rioba ndie Makamo raia wa Vyombo wa Utangazaji Kusini mwa Africa, SABA, uliochini ya SADC, hivyo amezungumzia umaajumui wa Afrika, kuwa TBC itashiriki.

Paskali
Ndio cheo gani hicho?
 
Amemalizia kwa kusisitiza kuwa TBC inajipanga kujitegemea kwa kuzindua mpango kabambe. TBC kuwa na makao makuu Dodoma, kwa kuanzia itahamishia watumishi 15 Dodoma

Kipindi kimemalizika.

My Take.
  1. Kwanza Dr. Ayoub Rioba huyu aliyeongea leo, ndiye yule Ayoub Rioba tuliomfahamu sisi kama Ayoub Rioba, kabla hawajawa Mkurungenzi wa TBC, sijui ni nini kilimpata hapa katikati, lakini sasa huyu ndiye Ayoub tuliyemfamu ni mwandishi nguli, mbobebezi na mzalendo mwenye kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na Watanzania, hivyo sasa Dr. Rioba anakwenda kui transform TBC kutoka kuwa ni TV ya serikali, Government TV Station na kuwa ni Public Broadcasting Station
  2. Kitendo cha kuipania TBC kujitegemea, ni cha kuungwa mkono kwa asilimia 100%, serikali iendelee kuigharimia TBC kama wajibu wake, lakini TBC ibuni vyanzo vingine vya mapato. Hii itaifanya TBC iwe independent, swali ni jee serikali itaikubalia TBC kuwa independent?. Kwa sababu the more TBC inavyojitegemea ndivyo serikali inavyo losse grip kwenye TBC!.
  3. Kwa vile Dr. Rioba amepania kuipaisha TBC kufikia levels za BBC, lazima set up na funding ya TBC iwe ki BBC, Tanzania tuanzishe broadcasting levy, TBC ipatiwe fungu lake linalojitegemea kwa kugharimiwa na umma, nakumbuki nikiwa UK, kila mtu anakatwa Fedha kuigharimia BBC, mimi nakalalamika kuwa nikiwa UK sitaangalia BBC, wala sitasikiliza BBC radio, nikaambiwa usikilize, usisikize as long as umechuma pesa in UK, lazima uligharimie BBC. Kama ilivyo kwa Fedha za SDL.
  4. Ili TBC iweze kuwa kama BBC kwenye programing, lazima sasa TBC ikubali kupokea Vipindi vya nje, kutoka kwa independent produces, hii ni fursa kwa production houses, ku produce good programs zenye maudhui mazuri na good quality kuitumia TBC kurusha diverse opinion.
  5. Kitendo cha Dr. Rioba kupania kuijengea uwezo TBC kuisaidia serikali kwa kuwa a watchdog to society kwa TBC kutosubiri hadi rais Magufuli afanye ziara za kushtukiza ndipo kuibua madudu, sasa TBC itapenya na kuibua madudu, serikali itafuatilia. Hii maana yake TBC sasa itakuwa na Vipindi vya Investigation Journalism, kama ilivyo kwa Jicho Pevu.
  6. Dr. Rioba amesema TBC haina upendeleo kwa CCM, itatenda haki kwa vyama vyote, kumbe vingozi wa upinzani huwa wanaalikwa TBC lakini wanaingia mitini!, mwaka 2018, tutegemee kuona more political programs zenye balanced representation.
  7. Kwa vile mimi ni mtu wa broadcast journalist, kuna mambo mengine ya TBC ni not for public consumption, hivyo nitamtafuta Dr. Rioba on one on one.
All the Best kwa TBC 2018.

Paskali
Mikakati mizuri, na mawazo yako yatasaidia hapo, ila bila funding itakuwa kazi bure, funding inawezekana kabisa sababu ya free to air channels, raia lazima tulipie...
Nakubali ni mmoja wa watazamaji wa TBC na nitaendelea, ila reform za nguvu zatakiwa..
 
Namuona kama Ryoba amechoka hapo TBC hivyo anaamua kufanya kile wadau wengi walitarajia lakini akawaangusha.

Hali ngumu kumbe hadi TBC mi nikajua wao huko ni kuku kwa mrija tu.
 
Kwanini toka awamu ya uongozi wa TBC chini ya Ayubu Ryoba ndio TBC imekuwa MBOVU KUPITA MAELEZO.

Ayubu Ryoba ndio ametumika vizuri kuizika TBC kabisa. Ayubu Ryoba ni mtu wa kupuuzwa kabisa. Anatoa visababu na visingizio vya kitoto kabisa.

Embu tujiulize Tido Mhando aliwezaje kuiinua vyema TBC miaka Saba iliyopita?

Kwanini toka Tido Mhando aondoke tu TBC ghafla ikaanza kudorora?

Kwanini toka Mshana aondoke TBC na Ayubu Ryoba kuingia TBC imeendelea kudorora zaidi na zaidi ?
 
TBC inaendeshwa kwa pesa za Umma na hapo hapo anatengeneza pesa kupitia matangazo ya biashara, sasa inakuwaje Ayubu Ryoba anaishia kulalamika tu, eti ukata?

Azam media wanawezaje?
Clauds media wanawezaje?

Hivi suala la kutangaza habari za ukweli, uwazi na uhuru linashindikana kwa TBC ya Ayubu Ryoba?
 
Back
Top Bottom