Dr. Ayub Rioba atoa Mwelekeo wa TBC kwa Mwaka 2018. Kufikisha viwango vya juu kiwango cha BBC

Dr Rioba amekiri TBC kukabiliwa na changamoto mbalimbali kwa sababu TBC ina operate katika mazingira magumu sana, hivyo amewashukuru sana wafanya wa TBC kwa kujituma na kujitolea. licha ya kulipwa maslahi duni.

P.
kuna reporter nipo nae jirani na mkoa ninakoishi hapa mbona she is enjoying kabisa maisha anajenga majumba ya nguvu na juzi tu alitoka vietnam kikazi aisehh!
 
paschal Ukimpata muulize na haya utupe mrejesho
Anafananishaje TBC ya Tido na yake?
Hivi ni nini kitamfanya mtu aangalie TBC 1?
Inakuwaje hata kipindi vya muziki wanashindwa na station binafsi kama TvE,nk
Unawezaje kuweka kipindi lukuki vya kumsifu Makufuli kana kwamba ni Kim Jong Un na Radio North Korea?
 
Mziki was magu ni kuua upinzani; ambao ni muhimu sana kwa ustawi was demokrasia na jamii kwa ujumla. Swami langu ni nini dr Rioba atafanya kukwepa mziki was Magu wa kuua upinzani?
 
Kuhusu tuhuma za TBC kuhonga watu ili kumsifia Magufuli, Dr. Rioba amekanusha vikali.
"Mimi ni muumini wa uhuru wa watu kujieleza, lakini hakuna haki isiyokuwa na wajibu, amesema watu wengine wanautumia vibaya uhuru wa maoni kwenye mitandao, tuhuma za TBC kutoa rushwa ili kuandaa Kipindi cha kumsifia Magufuli ni uongo na uzushi mtupu"

TBC inaamini katika haki, hakuna rushwa kabisa katika TBC

P.

Eti TBC ifikie viwango vya BBC?! Hili linawezekana ila sio kwa utawala huu wa ki-imla kaka Paskal. Ili wawe kam bbc fikra huru zinatakiwa. Waachane na unafiki na uzandiki, waukumbatie ukweli tu, na habari zao zisiwe na upendeleo. Leo hii mtu akiikosoa serikali tbc wakaripot, nafikiri mhariri na reporter wote hawana kazi. Kuipaisha tbc ni ndoto za alinacha hizi mkuu! Sio kwa utawala huu usiopenda ukweli hata tone!! Wafanye simple research kujua ni watu wangapi wanaangalia tbc, then ndo waje na huo mkakati wao
 
Mkuu Wakudadavua, ni kweli kabisa Dr. Rioba ni mwanahabari na mbobezi wa ukweli ila pia ni msomi, yaani an academician, tatizo la wasomi wetu na ma academicians ni watu wa theory nyiingi ila practical hakuna, ili TBC iweze kufanikiwa na kupiga hatua za kweli za mabadiliko ya kweli, Dr. Rioba aendelee kuwepo as a theorist leader, lakini chini yake anahitaji wasaidizi wabobezi katika practical, vinginevyo maboresha hayo yataishia kwenye makaratasi, TBC inahitaji a political will kutoka serikalini on both way, from TBC point of view TBC iache kuwa mtoto wa mama kwa kuitegemea serikali kwa kila kitu, it has to stand alone on its own fit kwa serikali kuiwezesha na TBC ijitegemee, na from government poit of view, iache the mothers apron strings tendency za kuing'ang'ania TBC na kujiona TBC kama ni TV ya serikali. wakati in reality TBC ni TV ya umma na sio TV ya serekali, refer to public broadcasting station vs government media.

Paskali
Mkuu Paskali umenena vyema ya kuwa ''Dr. Rioba aendelee kuwepo as a theorist leader, lakini chini yake anahitaji wasaidizi wabobezi katika practical, vinginevyo maboresha hayo yataishia kwenye makaratasi'' Tatizo linalojitokeza ni kutokuaminiana ndani ya TBC kila Mtu na TEAM yake Full kuhujumiana..................!!!! na Kosa alilolifanya Doctor kuwaajiri watu wababaishaji sijui analetewa Vimemo................!!!???

Na kuhusu TBC bado iendelee kubaki kwenye Tumbo la Mama yake..........Unayakumbuka ya Wachina....? HAPA KAZI IPO Mikataba mingine Bhanaa...............!!!!
 
Eti TBC ifikie viwango vya BBC?! Hili linawezekana ila sio kwa utawala huu wa ki-imla kaka Paskal. Ili wawe kam bbc fikra huru zinatakiwa. Waachane na unafiki na uzandiki, waukumbatie ukweli tu, na habari zao zisiwe na upendeleo. Leo hii mtu akiikosoa serikali tbc wakaripot, nafikiri mhariri na reporter wote hawana kazi. Kuipaisha tbc ni ndoto za alinacha hizi mkuu! Sio kwa utawala huu usiopenda ukweli hata tone!! Wafanye simple research kujua ni watu wangapi wanaangalia tbc, then ndo waje na huo mkakati wao
Hivi unafikiri hata hao BBC wanauhuru wa kutangaza chochote kinachohusu uingereza? Lah hasha! Uhuru wao ni kutangaza negatives za nchi nyingine mahasimu au wanyonge wa uingereza.
 
Wawo wanafikiri majuu ni bora liende, wakumbushe ile issue ya Facebook ya Mtz mwenzetu aliyetupia picha za maiti, alifuta, akafungwa!
Kule tena ndio balaa kwenye sheria, ukitangaza kitu kisichokuwa na uhakika bonge la faini na ikiwezekana kufungiwa..
Issue za watu kushtakiwa sababu ya kutukana ndio kwao, hawana kuremba kule..
Siri za dola zabakia siri, zikitangazwa dola imetaka ama sivyo mtu lazima alambe mvua tu..
 
Eti TBC ifikie viwango vya BBC?! Hili linawezekana ila sio kwa utawala huu wa ki-imla kaka Paskal. Ili wawe kam bbc fikra huru zinatakiwa. Waachane na unafiki na uzandiki, waukumbatie ukweli tu, na habari zao zisiwe na upendeleo. Leo hii mtu akiikosoa serikali tbc wakaripot, nafikiri mhariri na reporter wote hawana kazi. Kuipaisha tbc ni ndoto za alinacha hizi mkuu! Sio kwa utawala huu usiopenda ukweli hata tone!! Wafanye simple research kujua ni watu wangapi wanaangalia tbc, then ndo waje na huo mkakati wao
Hivi unafikiri hata hao BBC wanauhuru wa kutangaza chochote kinachohusu uingereza? Lah hasha! Uhuru wao ni kutangaza negatives za nchi nyingine mahasimu au wanyonge wa uingereza.
 
Ryoba alikaa kimya sana au ulikuwa anasoma mchezo? Au anajipambanua tena ili atoke mazima hasa serikali ikigoma kukubali mapendekezo yake.....?
 
Hivi unafikiri hata hao BBC wanauhuru wa kutangaza chochote kinachohusu uingereza? Lah hasha! Uhuru wao ni kutangaza negatives za nchi nyingine mahasimu au wanyonge wa uingereza.

Kama BBC hawapo huru, sasa TBC wanataka wawafikie kwa lipi sasa mkuu?
 
Back
Top Bottom