Dr. Ayub Rioba atoa Mwelekeo wa TBC kwa Mwaka 2018. Kufikisha viwango vya juu kiwango cha BBC

Dr Rioba amekiri TBC kukabiliwa na changamoto mbalimbali kwa sababu TBC ina operate katika mazingira magumu sana, hivyo amewashukuru sana wafanya wa TBC kwa kujituma na kujitolea. licha ya kulipwa maslahi duni.

P.
Dr.aache kulialia TBC is state funded cha msingi waache partisan coverage
 
Kwa kawaida nakuheshimu sana uncle Pascal Mayalla ila naomba tu hata kama umemquote Mkurugenzi wa TBC, ni ngumu sana TBC kujinasua kutok katika linaloonekana kuwa "upendeleo", kwanza taasisi hii ipo kwa ruzuku ya serikali na haijaweza kujitegemea nadhani hata kwa 40%..... Tido alijaribu ila alikoishia wote tunapakumbuka. So hata kama Dr Ayoub Ryoba anatamani kuwa "huru" na Kuipaisha TBC, nadhani minyororo ambayo TBC imefungwa na chama tawala kupitia serikali yake haiwezi kufunguliwa kwa weledi na taaluma hii ya habari... Wataishia kubaya!!!!!
 
Muda mfupi tu mawazo ya Dr yameshanana na aliowakuta TBC. Unawezaje kufikiria TBC kufikia viwango vya BBC bila ya kufikir kuleta ushindani kwanza ndani?
Please kwa level ya TBC inatakiwa itageti kuwa kama AZAM, ITV au Clouds TV kwanza!
 
Huyu Dr. Rioba ni mbobezi, atainyanyua TBC
Mkuu Wakudadavua, ni kweli kabisa Dr. Rioba ni mwanahabari na mbobezi wa ukweli ila pia ni msomi, yaani an academician, tatizo la wasomi wetu na ma academicians ni watu wa theory nyiingi ila practical hakuna, ili TBC iweze kufanikiwa na kupiga hatua za kweli za mabadiliko ya kweli, Dr. Rioba aendelee kuwepo as a theorist leader, lakini chini yake anahitaji wasaidizi wabobezi katika practical, vinginevyo maboresha hayo yataishia kwenye makaratasi, TBC inahitaji a political will kutoka serikalini on both way, from TBC point of view TBC iache kuwa mtoto wa mama kwa kuitegemea serikali kwa kila kitu, it has to stand alone on its own fit kwa serikali kuiwezesha na TBC ijitegemee, na from government poit of view, iache the mothers apron strings tendency za kuing'ang'ania TBC na kujiona TBC kama ni TV ya serikali. wakati in reality TBC ni TV ya umma na sio TV ya serekali, refer to public broadcasting station vs government media.

Paskali
 
Akitolea mfano matangazo ya mkutano Mkuu wa CCM, amesema TBC inachokifanya ni kutanguliza tuu kitu kinachoitwa Public Interest, hivyo TBC ndio ilikuwa ya mwisho kuamua kuutangaza mkutano wa CCM, CCM imelipa.

Chadema wakiomba TBC itawatangaza.
Kutangaza mikutano ya ccm si public interest ila ni sectarian interest.Dr Riyoba hata afanye nini, yeye ni switch ya kuwasha taa tu, mwenye nyumba ataibonyeza kuwasha taa zake za sitting room.Switch ya sitting room hiwezi kusema kwamba itawasha taa za uani kote
 
TBC+CCM=TBCCM
POLISI+CCM=POLCCM
BUNGE+CCM=BUNGECCM

anyway kesho atapangiwa kazi nyingine kabla hajaipaisha juu kama alivyojinadi.
TBC ya Doctor tido muhando ndo TBC ya ukweli na uhakika lkn hii ya sasa ni TBC ya uongo na kujipendekeza.
Asante kwa news hii ndg pascal mayala.
 
Mkuu Wakudadavua, ni kweli kabisa Dr. Rioba ni mwanahabari na mbobezi wa ukweli ila pia ni msomi, yaani an academician, tatizo la wasomi wetu na ma academicians ni watu wa theory nyiingi ila practical hakuna, ili TBC iweze kufanikiwa na kupiga hatua za kweli za mabadiliko ya kweli, Dr. Rioba aendelee kuwepo as a theorist leader, lakini chini yake anahitaji wasaidizi wabobezi katika practical, vinginevyo maboresha hayo yataishia kwenye makaratasi, TBC inahitaji a political will kutoka serikalini on both way, from TBC point of view TBC iache kuwa mtoto wa mama kwa kuitegemea serikali kwa kila kitu, it has to stand alone on its own fit kwa serikali kuiwezesha na TBC ijitegemee, na from government poit of view, iache the mothers apron strings tendency za kuing'ang'ania TBC na kujiona TBC kama ni TV ya serikali. wakati in reality TBC ni TV ya umma na sio TV ya serekali, refer to public broadcasting station vs government media.

Paskali
TBC ,bado sana Pale waondoe wazee,na wale vijana waliokuwepo wabadili mtazamo,vinginevyo watabaki walivyo, utayarishaji mbovu,upigaji picha mbovu,uhariri mbovu,graphics mbovu
 
Kipindi nimekikutia katikati.

Amesema amepania kuipaisha TBC katika viwango vya kimataifa kama BBC.

P.
Kwa kuonyesha nyimbo za kipaahkuna za Ccm na kukwepa kuonuesha mambo muhimu kama bunge ndio kweli itakuwa kama BBC. Bbc tukio likitokea duniani baada ya muda mfupi liko hewani. Wao Tbc mpaka vikao vya Chama vikae kuamua ni lopi lirushwe
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom