Dr. Ayub Rioba atoa Mwelekeo wa TBC kwa Mwaka 2018. Kufikisha viwango vya juu kiwango cha BBC

Kamilisha mtajo huu kadri unavyoona inafaa;
Tido na Rioba = Nuru na ............
Chagua jibu sahihi
a. Ukungu
b. Utando
c. Giza Nene
d. Vacuum\ombwe

Hapa napo kuna wakubwaaa watakosaa hilo limtajo.

Jaman shule zifunguliwe, walimu wa darasa la tatu tumemisi mambo yetu aiseh!!!
 
Dr Rioba amekiri TBC kukabiliwa na changamoto mbalimbali kwa sababu TBC ina operate katika mazingira magumu sana, hivyo amewashukuru sana wafanya wa TBC kwa kujituma na kujitolea. licha ya kulipwa maslahi duni.

P.
Naona kijana mwenzio labda anaweza kukukumbuka kwenye ufalume wake
 
Kwa ushamba wangu wa mambo ya media naona kuna kitu hakipo sawa kwenye sauti na picha. Kuna wakati walisema wamenunua vifaa vya kisasa kutoka china likiwepo gari la matangazo la nje ambalo walisema kwa Afrika ni la 2. Sasa naona kamera zao picha zinazoonekana zimefubaa na sauti ipo kama ( mono) sio sterio ( nimeongea kimtaani mtaani ijapokuwa maana sahihi ya mono na sterio nafahamu)
 
Dr Rioba, amepigilia misumari kuwa ziko sharia, taratibu na kanuni za serikali lazima zinadilishwe, zinamuwekea usiku, kushindwa kufanya mambo kwa wakati. Ametolea mfano urasimu usio wa lazima katika baadhi ya maeneo, lazima serikali ibadilike the way it does things.

P.
Tbccm Kutwa imekalia kuonyesha SIZONJElive yuko wapi leo..
Lakini kuonyesha bungelive ni sawa nakuruhusu UKUTA au mikutano ya hadhara
 
Bad timing! Sio kwa utawala huu wa mzee Magufuli. I'm sure he will not dare to see TBC covering a live CHADEMA general meeting! Not him.
 
Yaaani huyu jamaa amemuona Mh. Raiiiis ni bweeege anaependa kusifiwaaaa tuuuu!
Aya bhana mwache atetee kibalua chake
Ila akumbuke kunachombo kinaitwa SBC huko A.Kusini hakijafikia hata nusu ya BBC
 
Wanabodi,

Angalia TBC Live, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayoub Rioba atoa mwelekeo wa TBC for 2018.

Kipindi nimekukitia katikati,
Dr. Rioba amesema amepania kuipaisha TBC kwa kuifanyia maboresho mabalimbali hadi kufikia katika viwango vya kimataifa kama vya BBC.

Dr Rioba kwa hali ilivyo sasa, TBC imejitahidi sana, lakini amekiri TBC kukabiliwa na changamoto mbalimbali kwa sababu TBC ina operate katika mazingira magumu sana, hivyo amewashukuru sana wafanyakazi wa TBC kwa kujituma na moyo wa kujitolea licha kufanya kazi katika mazingira magumu ya kazi na huku wakilipwa maslahi duni. Kwa mwaka 2018 atajitahidi sana kuboresha maslahi kwa kuanzia na malipo ya posho ambazo tayari zimeisha kuwa approved na bodi.

Kuhusu kutaka kufanya baadhi ya mambo na kujikuta anakwamishwa na urasimu wa serikali, Dr Rioba, amepigilia misumari kuwa ili TBC ipae na kufikia viwango vya BBC, ziko sheria, taratibu na kanuni za serikali lazima zinadilishwe, ili ziendane na mabadiliko tarajiwa, amekiri urasimu na baadhi ya taratibu za kiserikali zinamuwekea usiku, kuikimbiza TBC kubadilika, hivyo kushindwa kufanya mambo makubwa on time kwa wakati tarajiwa. Ametolea mfano ili kufanya baadhi ya mambo ni lazima uandike barua huku na kule, kuna baadhi ya idara barua inakaa hadi miezi miwili haijajibiwa!, amesema yeye akipokea barua zote huzijibu pale pale!, amesisitiza huu urasimu usio wa lazima katika baadhi ya maeneo serikalini lazima uishe!, ili tupate maendeleo ya kweli, lazima serikali ibadilike the way it does some things.

Dr. Rioba ameulizwa swali kuhusu TBC kufanya upendeleo kwa CCM na serikali

Hapa namuona Dr. Rioba akikumbwa na kigugumizi...
Akitolea mfano matangazo ya mkutano Mkuu wa CCM, amesema TBC inachokifanya ni kutanguliza tuu mbele kitu kinachoitwa Public Interest, hivyo TBC ndio ilikuwa ya mwisho kuamua kuutangaza mkutano wa CCM, hata hivyo amesema CCM imelipa!.

Amesema hata Chadema wakiomba TBC kuwatangazia mkutano wake Mkuu, TBC itawatangaza tuu ili mradi walipe.

Dr. Rioba atoboa siri kuwa TBC imekuwa ikiwaita viongozi wakuu wa vyama vya upinzani, kushiriki kwenye mijadala mbalimbali TBC, lakini wao ndio huwa hawatokei, wanaikimbia!.

Rioba amesema TBC inataka kufanya kazi na watu wote na vyama vyote bila ubaguzi, bila upendeleo.

Kuhusu tuhuma za TBC kuhonga watu ili kumsifia Magufuli, Dr. Rioba amekanusha vikali.
"Mimi ni muumini wa uhuru wa watu kujieleza, lakini hakuna haki isiyokuwa na wajibu, uhuru tunaoutumia kwenye mitandao, tuhuma za TBC kutoa rushwa ili kuandaa Kipindi cha kumsifia Magufuli"

TBC inaamini katika haki, hakuna rushwa kabisa katika TBC

Pia amezungumzia fake news, amekiri TBC kufanya kosa, kuhusu uwepo wa fake news, amesema amezama deep namna bora ya ku deal na fake news ni kuboresha mafunzo, amemshukuru mhe rais kuwasamehe wahusika wa fake news ya TBC, yeye aliishawafukuza jumla.

Amesema alikasirika kwa sababu TBC ndio taasisi yanye pool kubwa kabisa ya waandishi walioelimika kwa viwango vya juu, kabisa, wenye weledi, hivyo kwa mwaka 2017, TBC itaboresha Zaidi contents.

Pia Dr. Rioba amezungumzi TBC TaIfa, TBC FM na TBC international, TBC kuwa TBC itaendeleza dhima ya RTD, ameagiza magari 9, TBC itawafuata wananchi kule vijijini.

TBC pia itafanya kazi ya watchdog to the society, TBC kama chombo cha habari, ikifanya kazi yake ipasavyo, TBC itaisaidia sana serikali kubaini maeneo ya mapungufu kwa kuyaibua, sio kusubiri hadi rais, waziri Mkuu au serikali ndio ikaibue madudu.

Kumbe Dr. Rioba ndie Makamo raia wa Vyombo wa Utangazaji Kusini mwa Africa, SABA, uliochini ya SADC, hivyo amezungumzia umaajumui wa Afrika, kuwa TBC itashiriki.

Amemalizia kwa kusisitiza kuwa TBC inajipanga kujitegemea kwa kuzindua mpango kabambe. TBC kuwa na makao makuu Dodoma, kwa kuanzia itahamishia watumishi 15 Dodoma

Kipindi kimemalizika.

My Take.
  1. Kwanza Dr. Ayoub Rioba huyu aliyeongea leo, ndiye yule Ayoub Rioba tuliomfahamu sisi kama Ayoub Rioba, kabla hawajawa Mkurungenzi wa TBC, sijui ni nini kilimpata hapa katikati, lakini sasa huyu ndiye Ayoub tuliyemfamu ni mwandishi nguli, mbobebezi na mzalendo mwenye kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na Watanzania, hivyo sasa Dr. Rioba anakwenda kui transform TBC kutoka kuwa ni TV ya serikali, Government TV Station na kuwa ni Public Broadcasting Station
  2. Kitendo cha kuipania TBC kujitegemea, ni cha kuungwa mkono kwa asilimia 100%, serikali iendelee kuigharimia TBC kama wajibu wake, lakini TBC ibuni vyanzo vingine vya mapato. Hii itaifanya TBC iwe independent, swali ni jee serikali itaikubalia TBC kuwa independent?. Kwa sababu the more TBC inavyojitegemea ndivyo serikali inavyo losse grip kwenye TBC!.
  3. Kwa vile Dr. Rioba amepania kuipaisha TBC kufikia levels za BBC, lazima set up na funding ya TBC iwe ki BBC, Tanzania tuanzishe broadcasting levy, TBC ipatiwe fungu lake linalojitegemea kwa kugharimiwa na umma, nakumbuki nikiwa UK, kila mtu anakatwa Fedha kuigharimia BBC, mimi nakalalamika kuwa nikiwa UK sitaangalia BBC, wala sitasikiliza BBC radio, nikaambiwa usikilize, usisikize as long as umechuma pesa in UK, lazima uligharimie BBC. Kama ilivyo kwa Fedha za SDL.
  4. Ili TBC iweze kuwa kama BBC kwenye programing, lazima sasa TBC ikubali kupokea Vipindi vya nje, kutoka kwa independent produces, hii ni fursa kwa production houses, ku produce good programs zenye maudhui mazuri na good quality kuitumia TBC kurusha diverse opinion.
  5. Kitendo cha Dr. Rioba kupania kuijengea uwezo TBC kuisaidia serikali kwa kuwa a watchdog to society kwa TBC kutosubiri hadi rais Magufuli afanye ziara za kushtukiza ndipo kuibua madudu, sasa TBC itapenya na kuibua madudu, serikali itafuatilia. Hii maana yake TBC sasa itakuwa na Vipindi vya Investigation Journalism, kama ilivyo kwa Jicho Pevu.
  6. Dr. Rioba amesema TBC haina upendeleo kwa CCM, itatenda haki kwa vyama vyote, kumbe vingozi wa upinzani huwa wanaalikwa TBC lakini wanaingia mitini!, mwaka 2018, tutegemee kuona more political programs zenye balanced representation.
  7. Kwa vile mimi ni mtu wa broadcast journalist, kuna mambo mengine ya TBC ni not for public consumption, hivyo nitamtafuta Dr. Rioba on one on one.
All the Best kwa TBC 2018.

Paskali
Na AKILI hawaandai wao ,TBC wazee wengi
Rioba kusema kweli tunaheshimu Sana weledi wako katika tasnia ya habari lakini baada tu ya kupokea huo uteuzi tukajua basi tena weledi wako wote umeshaikabidhi ikulu wakuhifadhie kwenye makabati name sasa uko katika kutekeleza sera za aliyekuteua za kubana uhuru wa habari, kuuonesha na kutangaza vile tu ambavyo system inataka watu wajui haiwezekani hata cku moja tbc ikawa huru kama BBC ingawa vyote ni vyombo vya umma, ikiwa sasa hata vyombo vya habari binafsi vinashindwa kufanya kazi kwa uhuru seuzi hiyo tbc iliyoko chini ya uongozi wa ccm .rejea hutuba ya mwenyekiti wa ccm aliyoitoa dodoma.aliposema viongozi wote aliyewateua yeye wa serikali lazima wawasikilize na wawaheshimu viongozi WA ccm kwa sababu hao ndio waliomuweka yeye. Sasa ndugu yangu rioba utafurukuta vp hapa hata uweze kuifanya tbc iwe huru wakati Shaka wa uvccm akitaka mkutano wake uoneshwe laiv huwezi kuwakatalia.
 
Lip service... asitupotezee muda hapa!
 
Kipindi nimekikutia katikati.

Amesema amepania kuipaisha TBC katika viwango vya kimataifa kama BBC.

P.

Mkuu kuna kipindi cha kukaa chini na kujifunza na kuona tatizo liko wapi na utaboresha vipi, so alipokuwa kimya he was right

ninachojua akiweza kufikisha malengo yake hata kwa asilimia 50 tu, ataondolewa TBC..ataletwa mwingine

Ayubu hatakuwa amepoteza, cv yake nzuri kufanya kazi popote pale

akoma kuibadilisha TBC....sio kazi rahisi kabisa
 
Anaweza kuwa na nia njema sana tu Dr Rioba..

My worry mabadiliko anayoyataka kuyafanya kiukweli pale TBC yanaweza kuwa very POSITIVE kwetu Wananchi ambao ndio wadau wakubwa wa Taasisi hii ya Habari ya umma lakini yakawa so NEGATIVE kwa Watawala..

Atasalimika??

Hapo ndipo napokumbuka yaliyomkuta Nguli wa Habari Ndg Dunstan Tido Mhando alipokuwa Mkurugenzi hapo TBC.

hawezi kusalimika!!
 
Rioba kusema kweli tunaheshimu Sana weledi wako katika tasnia ya habari lakini baada tu ya kupokea huo uteuzi tukajua basi tena weledi wako wote umeshaikabidhi ikulu wakuhifadhie kwenye makabati name sasa uko katika kutekeleza sera za aliyekuteua za kubana uhuru wa habari, kuuonesha na kutangaza vile tu ambavyo system inataka watu wajui haiwezekani hata cku moja tbc ikawa huru kama BBC ingawa vyote ni vyombo vya umma, ikiwa sasa hata vyombo vya habari binafsi vinashindwa kufanya kazi kwa uhuru seuzi hiyo tbc iliyoko chini ya uongozi wa ccm .rejea hutuba ya mwenyekiti wa ccm aliyoitoa dodoma.aliposema viongozi wote aliyewateua yeye wa serikali lazima wawasikilize na wawaheshimu viongozi WA ccm kwa sababu hao ndio waliomuweka yeye. Sasa ndugu yangu rioba utafurukuta vp hapa hata uweze kuifanya tbc iwe huru wakati Shaka wa uvccm akitaka mkutano wake uoneshwe laiv huwezi kuwakatalia.

weka paragraph

akiamua anaweza, kikubwa taratibu zibadilishwe...kama mtu wa ccm anataka airtime, ipie sawa na wa chadema tu

ana nia nzuri, japo hofu ni kueleweka ataeleweka?

I wish him the best
 
Akitolea mfano matangazo ya mkutano Mkuu wa CCM, amesema TBC inachokifanya ni kutanguliza tuu kitu kinachoitwa Public Interest, hivyo TBC ndio ilikuwa ya mwisho kuamua kuutangaza mkutano wa CCM, CCM imelipa.

Chadema wakiomba TBC itawatangaza.
Mkuu public interest ipi chief nahic amekengeuka hapa
Mustakabali wa taifa letu ni zaid ya mkutano wa Ccm nadhani wanatakiwa kujitathimin wap walipo loose truck
Mie nadhan bunge lina public interest zaid kuliko haruc ya mtu yoyote
 
TV ya Taifa iliyogeuzwa TV ya chama yaani tv ya mafisadi ambao viti wanavyovikalia ni vya mabao ya mikono..
tv inayokesha kwenye mikutano ya CCM..
wapiga risasi
watekaji..
 
Back
Top Bottom