Dr. Angella Mabula (The Lady) atoa somo zito

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,080
Reaction score
12,300
Naibu waziri wa makazi na mbunge wa Ilemela katoa somo zito la kukabiliana na msongamano Mwanza. Kasema ili kukabiliana na msongamano wa magari, Barabara ya Airport Igombe kayenze Sangabuye Kongolo hadi Magu inapaswa kuwekwa lami, Ili abiria wanaoshuka na ndege waendao Magu Lamadi Bunda hadi Musoma hawatahitaji kupita mjini kati.

Barabara ya Ilemela Kiseke hadi Buswelu nayo inapaswa kuwekewa lami, hii itasaidia watu watokao Ilemela na Airport kwenda Buswelu na Igoma haitawalazimu kwenda mjini kati, kwa kweli huyu mama anaona mbali sana, sasa tunaomba wakuu hebu wayafanyieni kazi mawazo ya huyu mbunge wetu.

Pia, Kasema serikali inapaswa kuharakisha kukamilisha uwanja wa mwanza ili uwe International, watalii sasa wapitie Mwanza badala ya KIA kwani kutoka mwanza hadi serengeti ni km 160 tu wakati kutoka KIA hadi serengeti ni 360km, hii itawapunguzia sana gharama watalii na kuwafanya kutopoteza muda mwingi barabarani. Hongera sana.
 
Kwa hiyo unataka kusema Matown planners hawakuliona hilo!!?
 
Iron lady,
Mwanza imekuwa na foleni barabara zote kuu.
Kwanza hata hii ya airport hizi njia bado tatizo ingekuwa poa wahamie na upande wa kushoto waweke mbili jumla ziwe sita.

Shukrani mhe.waziri
 
Sikujua kama anaitwa Dr. Angela Mabula! au mnataka baadaye mmweke kwenye kashfa ya kuforge vyeti? Maana katika nchi hii watu wengi sana wanapenda kutambuliw akwa sifa zao za vyeti, na sijawahi kusikia hata siku moja akijitambulisha kwa sifa hiyo.
 
Huyu mama Professionally nadhani ni Mhasibu. Kuwa Naibu waziri wa Ardhi na Makazi ni Ubakaji wa Ajira za watu bure.

Kwanza mawazo yake hapo yapo Kijimbo zaidi tu (Ilemela) si Kimji wa Mwz mzima. Huto tudege tuwili tuna abiria gani wa kuweka Jam Mwz? Ni wa Watanzania wangapi hupanda ndege hadi kuweka Jam? Acheni utoto!!!

Jiji la Mwz ni la hovyo ktk kupangwa!!! Viwanja havijapimwa karibia 70% ya mji wote. Milimani uoto wa asili unaondoka kwa uvamizi huku maliasili na mipango miji wakitizama tu. No toilets ; No water to those areas!!
Kwa nafasi yake kwa kushirikiana na Waziri Mchapa kazi (Lukuvi) Mwz lingekuwa Jiji bora baadae. Tutambue kuwa hapa ndio Rais hutua na kulala na hata kamazi yake nadhani yapo hapa. Boresheni heshima ya Jiji la pili.

Mwanza itakuwa na Jam, Dar cha mtoto.
Kuna barabara kuu Kisesa-Mjini-Usagara ina paswa kuwa njia 6 au Zaidi. Ndio main road pekee kwa mwz.

Barabara ya Mkuyuni-Nyakurunduma- Buzuruga ijengwe kwa lami. Mkuyuni -Kanyerere -Igoma iwekewe Lami.

Barabara ya Buhongwa-Igoma iwekewe lami.
Barabara ya Pepsi-Bugando-Town ipanuliwe.

Barabara ya town -Rick CityMall (Ghana) ipanuliwe iwe njia 6.

Barabara ya Town - Kisesa ipanuliwe iwe njia 6.

Ma afisa ardhi na Mipango miji wa Jiji la mwz wahamishwe wote, wamegeuka madalali na wapiga hela tu hapa mjini.
 
Hii mbona ukipita mwanza ukamuuliza yeyote yule hata wale watoto wa mitaani wanajua?
 
Great observation. Naunga mkono mawazo yako.
 
Back
Top Bottom