Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Abiria wa Ndege Mwanza wangapi kuleta Hiyo Traffic Jam
So bila ndege hakuna jam? Usituaibishe watu wa Mwanza
Abiria wa Ndege Mwanza wangapi kuleta Hiyo Traffic Jam
Dr sometimes inatumika kama heshima tu.... kwan magufuli ni Dr?
Excuse me... Nimetoa mfano irrelevant.... Kwan Mabula elimu yake ipojeMakubwa! ina maana hujui kuwa JPM ana PhD!!!!!
Amefanya mambo ganHuyo Mama Mabula ni mama mwenye bidii ana vision nzuri kuliko hata boss wake,mkatoriki aliyetukuka hawezi kufoji vyeti au kununua kama alipata Doctorate ni ya kweli