Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,606
- 93,323
Ili msipoteze muda wenu kujadili watu mafala hebu angalieni mfano huu mdogo hata kichaa atajuwa kwamba tendwa ni karani wa CCM.
Ni hivi msajili wa kwanz wa vyama vya siasa, marehemu Jaji Liundi alipostaafu tu akagombea uongozi CCM na wakampiga chini, Mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali Robert Mboma ALOPOSTAAFU AKAGOMBEA UBUNGE HUKO HUKO ccm NAE AKAPIGWA CHINI, IGP mstaafu Omari Mahita nae alitaka ubunge kwa tiketi ya CCM akaambiwa kama pesa zinakuwasha ingia uone shughuli yake, haya RPC Tibaigana nae alipostaafu huyo kagombea ubunge CCM nae kapigwa chini. sasa hawa Mafala kama Tendwa wasiwapotezee muda wenu hawa wote wana kadi za CCM tangu enzi ya chama kimoja wakati huo makazini kulikuwa na matawi ya CCM, sasa kinachofanyika wakitoka tu kwenye nafasi za utumishi wa umma wanazifufuwa kadi zao wanakwenda kugombea, ila hapa kuna jambo moja lazima niwasifu wanaCCM, wakishakutumia halafu baadae ukaja kujiunga rasmi na mfumo wa chama chao hapo ndio utawafahamu vyema, hawa wote wamepigwa chini walipogombea vyeo ndani ya CCM licha ya kwamba walitumiwa sana na chama hicho wakati wakiwa watumishi wa UMMA. kwahiyo na Tendwa mwacheni haijuwi CCM watakavyomfanya atakumbuka shuka kumeshakuchwa.
Ukitaka ushaidi wa hivi karibuni muulize Tambwe Hiza, yeye kila cheo cha kugombea akigombea anapigwa chini, kwahiyo inabidi ategemee vyeo vya uteuzi ambavyo havina tija katika ulimwengu wa dotcom, eti naibu mkuu wa kitengo cha propaganda, kama mwanaume mzima si kuzalilishwa huku ni nini hii?