DPP kuiadhibu CHADEMA?

Ili msipoteze muda wenu kujadili watu mafala hebu angalieni mfano huu mdogo hata kichaa atajuwa kwamba tendwa ni karani wa CCM.
Ni hivi msajili wa kwanz wa vyama vya siasa, marehemu Jaji Liundi alipostaafu tu akagombea uongozi CCM na wakampiga chini, Mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali Robert Mboma ALOPOSTAAFU AKAGOMBEA UBUNGE HUKO HUKO ccm NAE AKAPIGWA CHINI, IGP mstaafu Omari Mahita nae alitaka ubunge kwa tiketi ya CCM akaambiwa kama pesa zinakuwasha ingia uone shughuli yake, haya RPC Tibaigana nae alipostaafu huyo kagombea ubunge CCM nae kapigwa chini. sasa hawa Mafala kama Tendwa wasiwapotezee muda wenu hawa wote wana kadi za CCM tangu enzi ya chama kimoja wakati huo makazini kulikuwa na matawi ya CCM, sasa kinachofanyika wakitoka tu kwenye nafasi za utumishi wa umma wanazifufuwa kadi zao wanakwenda kugombea, ila hapa kuna jambo moja lazima niwasifu wanaCCM, wakishakutumia halafu baadae ukaja kujiunga rasmi na mfumo wa chama chao hapo ndio utawafahamu vyema, hawa wote wamepigwa chini walipogombea vyeo ndani ya CCM licha ya kwamba walitumiwa sana na chama hicho wakati wakiwa watumishi wa UMMA. kwahiyo na Tendwa mwacheni haijuwi CCM watakavyomfanya atakumbuka shuka kumeshakuchwa.
Ukitaka ushaidi wa hivi karibuni muulize Tambwe Hiza, yeye kila cheo cha kugombea akigombea anapigwa chini, kwahiyo inabidi ategemee vyeo vya uteuzi ambavyo havina tija katika ulimwengu wa dotcom, eti naibu mkuu wa kitengo cha propaganda, kama mwanaume mzima si kuzalilishwa huku ni nini hii?
 
CCM wanatumia kila silaha, na mbinu zote at their disposal. Msajili anatimiza jukumu kama kada wa C**
 
Tendwa is very stupit, utaanzaje kumattack mtu personaly badala ya nafasi yake ktkt chama. Anajidai yeye ni Mungu mtoa hukumu, mbona yeye ndio kaharibu kwa Mungu na wanadamu kwa udhalimu wake wa kisiasa Tz? Tendwa ur political death is comming
 


Lakini Tendwa alisema hashangazwi na jambo lolote linalozungumzwa au litakalozungumzwa na Dk. Slaa, kwa madai kuwa anayafahamu matatizo yake ya kuropoka hovyo kutokana na kukosa busara. .
Kheeee heeeee heeee...EEeH!
 
Mimi ninachoshangaa mtu akivunja sheria kuna haja ya kutishia kumshtaki? Au watu wanaoshtakiwa mahakamani wanapelekwa sababu wakubwa wameridhia ? Je DPP hawezi kuwachukulia hatua viongozi wa kisiasa hadi apate kibali cha msajili wa vyama?
 
He he he he Tendwa alipandishwa mzuka siwezi kuamini Tendwa ni Jaji,Jaji hawezi kutumia lugha aliyotumia katika taarifa hii ,huyu ndio tuna mwita mlezi wa vyama mbona mwendawazimu kabisa na gazeti lenyewe la Habari Leo liko uchi kabisa utatundikaje matusi ya aina hiyo halafu Chadema wakisema munasema wanavurugu hii nchi tuendako kubaya kweli wana CCM wanahasira sio kifani hawajijui kabisa
 
My my...what am I reading? Nimeanza na haya maneno ya tendwa...kisha nakutana na haya tena...AAAAAGHHHHRRRR!!!!:A S 13:
Hivi binadamu wote wana vichwa hapa juu ya shingo kweli?
Mfano hiki cha huyu msajili wa vyama,...ni kichwa au ni kitu kingine?..Nimekua nikimsikiliza mara nyingi naona tu kuna kitu hakipo sawa ila najaribu kujiaminisha kuwa ..."nooo...he must be meaning something else...it can't be....n.k"..Sasa ndo nathibitisha bwana hamna kitu pale duh!...I'm soooo dissapointed!!
Talking too much bila kutoa suluhisho la tatizo is one of the bla_bla. Bei ya vitu iko juu has chadema given any idea how to reduce it? You reduce by maandamano. Nani hajui kama maisha ni magumu. Nchi zote the life is tough. Is dowans the only resource we depend by means of fund. Pesa zinazotumika kupita mikoani shouting wangewapa mikopo wenye maisha ya kubahatisha. Otherwise they have to stop cheeting people. Nguvu ya umma wakati ni umma wa chadema pekee. Not all citizens like Chadema the way they behave.
Hizo frustration za uchaguzi. Wanajifariji sasa kwa kushawishi wananchi kuwa barabarani.
 
kwa uelewa wangu manno hayo ya hao watu ndo wanongeza umaarufu wa chadema siku hadi siku kama ccm wanasema wanawanchama milion 5 walio jiandikisha chadema mpaka sasa wana wanacham hai milion 30 na mpaka sasa tunaona CCM wengi ni wagonjwa wengi wa ukimwi na akili
 
Kuna ulazima,umuhimu na uharaka wa kupata msaada wa viongozi wa kuongoza nchi na taasisi nyeti kutoka ng'ambo kwani sisi miafrica tumejaa unafiki tu................tendwa mnafiki number1
 
Hii nchi porojo zimezidi...kama mtu anavunja sheria, hatua zichukuliwe bila kukimbilia maelezo kupiga siasa, si anafuata taratibu bila kumuonea haya mtu???
 
Matusi ya Tendwa ni mazito sana kwa mtu wa wadhifa wake.. Kaonyesha uhuni na utovu wa adabu na hakika hana busara wala hekima..
Ama kweli nyani haoni kundule!
 
Jamani< sasa sisi tutegemee nini kutoka kwa mtu ambae "baada ya kuharibu kwa Mungu" anataka kuja kutuharibia na sisi ya duniani!

Hiyo team ya Mafisadi wanatuharibia ya Duniani mbona ndo unao watumikia na huwasemi?
 
Bado natafakari kama Tendwa ni msajili wa vyama ama ni msukule mwingine wa ccm?? Sikutegemea kauli hizi kutoka mdomoni kwake,hivi ndio huo mdomo anaolia ama kuchambia?

Pumbavu zake, najua hizi hasira sio bure; nafasi yake kama msajili ipo matatani,ni muda tu tunangojea kuweka katiba itakayomtoa! Hili swala la katiba ni lazima lishughulikiwe, tusiongozwe na hii misukule inayofikiria kwa kutumia matumbo yao.

Kwakweli kama wataendelea kuja na majibu ya kunya namna hii,ni punde tu watajionea nguvu ya umma
 
Watanzania kwa mipasho tu hatujambo!

Msajili na Msajiliwa nao wameendeleza....

tukitoka hapo tunajisifia "TUNA VYAMA MAKINI NA WANASIASA WALIOBOBEA"
 
[Tendwa alisema hashangazwi na jambo lolote linalozungumzwa au litakalozungumzwa na Dk. Slaa, kwa madai kuwa anayafahamu matatizo yake ya kuropoka hovyo kutokana na kukosa busara.

“Tatizo la Dk. Slaa ni ufikiri mdogo na kukosa busara, hawakuwa na haki kwa lolote kule Arusha hivyo alipaswa anyamaze na kukishauri chama chake kufuata sheria

Sasa cha msingi akubali kufuata sheria ili mambo yaishe, vinginevyo hata kwa shetani nako kutamshinda .


Najiuliza huyu bwana Tendwa maneno haya alioongea kama nani?
  1. Mwanasheria
  2. Mwanasiasa
  3. Muhuni tu
  4. Mwana mipasho
  5. Kuwadi
  6. au kama nani?
Kama Msajili wa Vyama Vya Siasa Tanzania. Kumbuka Slaa alikuwa wa kwanza kusema Tendwa kapoteza sifa, sasa wewe ulitegemea Tendwa ajibu nini?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom