DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

Kesi kama za wakina lipumba hazina kichwa wala miguu ilikua ni kusumbua watu tu

Kwani kusumbua watu tu mkuu. Hizo pesa zinazotumiwa na vyombo vya ulinzi na mahakama kwa kesi zilizokuwa hazina mbele wala nyuma.

Ikiwa watu wanafanya maandamano bila kibali, lengo la kuwazuwia wasiendelee na maandamano likishakumalika basi inatosha. Ndio, inajulikana kama wamevunja sheria au walikuwa na nia ya kuvunja sheria, lakini tujiulize jee kuwashitaki na lets say kuwapeleka jela, hili taifa litafaidika na nini? Au nikuonesha ubabe tu kama ni onyo kwa wengine wasijaribu kufanya maandamano kwa siku za mbele.

Hasara yake ni kubwa kuliko faida. Mamilioni ya pesa yatakayotumika tokea kukamatwa kwao na kuiendesha kesi pamoja na kuwaweka rumande na kulipia ulinzi ni hasara kubwa kwa taifa ambalo watoto wadogo wanakufa kwa utapia mlo. Wachilia mbali chuki zinazowajaa washitakiwa na wafuasi wao pamoja na familia zao dhidi ya vyombo vya usalama.

Hizi kesi za kipumbavu zikomeshwe kuokowa pesa katika Taifa letu badala yake tutumie hizo pesa kulinda mipaka yetu na kutoa elimu kwa wananchi juu ya matatizo yanayowakabili jirani zetu ya Ugaidi. Prevention is better than cure.
 
Nataman babu seya awalambe miguu wakubwa ili kesi iitwe mahakamani upya na kutolewa hukumu........hahahhaaaaaa wapiiiiiii tundu lisu maaana alishasema utawala wa kimahakama bureeeeee.yani nacho ni kama chombo cha siasa tu
 
Ile kesi ya kukutana bila kibali iliyokuwa inamkabiri prof; lipumba na wenzake leo hii imefutwa baada ya ofisi ya dpp kuona haina haja ya kuendelea na kesi hiyo.
 
Ilikuwa kesi ya chuki tu wakati huo ingawa na yye alikuja kuwasaliti cuf katika mapmbano kwa ahadi za kupewa uteuzi.
 
Kwetu ni heri kwa sababu tunahitaji watu wenye uwezo ili tusonge mbele. Wapo wengi sana mtaani.
 
Back
Top Bottom