DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

Nyota ya lipumba inawaka sana mkuu. Huenda akawa mmoja ya washauri wakuu wa rais. Kumbuka ndiyo mtu maarufu pekee mpaka leo hii aliyeenda Ikulu rasmi. Hata wanaCCM bado hawajafika Ikulu ya Magufuli
Una uhakika gani labda wenzako wanafika jioni bila kelele
 
BREAKING NEWS:

MAJINA YA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI YAVUJA.

Mwigulu Lameck Nchemba(fedha na uchumi).

Cosato Chumi(ofisi ya rais-utawala bora).

Adadi Rajabu(ulinzi na jkt).

Ridhiwani Kikwete(tamisemi).

Anthony Mavunde(nishati na madini).

Angela Kairuki(maliasili na utalii).

Dr.Charles Tizeba(ujenzi na uchukuzi).

Saada Mkuya(ofisi ya makamu wa rais-muungano).

Ummy Mwalimu(katiba na sheria).

Dr.Dalali Kafumu(ofisi ya makamu wa rais-mazingira).

Eng.Gerson Lwenge(mawasiliano,sayansi na teknolojia).

Bonnah Kaluwa(jinsia,wanawake na watoto).

Nape Nnauye(ofisi ya waziri mkuu-sera,uratibu na bunge).

Shamsi Vuai Nahodha(ofisi ya rais-mahusiano na uratibu).

Dr.Hussein Mwinyi(afya na ustawi wa jamii).

Magreth Sitta(elimu na mafunzo ya ufundi stadi).

Herman Kapufi(afrika mashariki).

Dk.Charles Kitwanga(mambo ya ndani ya nchi).

Dk.Faustine Ndungulile(kilimo,chakula na ushirika).

Janeth Mbene(viwanda,biashara na masoko).

Itaendelea.......



mwenye uhakika atujuze nimeichota sehemu

haa haa naomba isiwe kweli vinginevyo ni hasara...
 
Ulipochemsha ni kumuweka ridhi na makonda sio type ya magu
 
Taarifa zilizopatikana ni kuwa ile kesi ya prof Lipumba na wenzake imefutwa.

Nini tafsiri ya hii kitu wakuu?

=============

Update

Kesi iliyokuwa inamkabili Prof Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila kibali imefutwa hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, kumbuka kesi hii Ilitakiwa isomwe Jan. 15.2016, ikarudishwa nyuma na kusikilizwa leo asubuhi ambapo imefutwa rasmi.

Mtu ashatinga Ikulu na masuti na briefcase kunongona na mzee wa kupasua majipu. Kwanza Lipumba sidhan kama kura yake alimpa E.Lowassa nina mashaka.
 
Mtu ashatinga Ikulu na masuti na briefcase kunongona na mzee wa kupasua majipu. Kwanza Lipumba sidhan kama kura yake alimpa E.Lowassa nina mashaka.

ile kwenda ikulu kabla ya kufuta ile kesi kumeondoa thamani ya ufutaji wa hiyo kesi....
 
take my Words......LIPUMBA anaenda kuwa GAVANA
 
nasikia ni waziri katika position fulani serikali hii ya JPM
 
Hatua ya kwanza kuelekea ktk uwaziri,bila shaka wizara ya fedha na uchumi.
 
Huyu ndiye mzalendo anajua wapo vichwa watamsaidia kulitoa taifa gizani.

kama kweli ni mzalendo amteue lissu kuwa waziri wa sheria na katiba. pia amteue halima mdee awe naibu waziri wa ardhi hapo nitaamini kwamba yeye ni mzalendo...
 
Hahahaaaa hii nchi bwana,wenyewe wanaitaga utawala wa sheria,alianza dr.tulia kuteuliwa kiselasela na jana lipumba kaitwa hukumu ya haraka ambayo wengi tulijua matokeo yake.haya bana sheria si ndo nyinyi mmekumbatiaaa
 
Back
Top Bottom