DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

Kumbe ndicho kilichompeleka pale Ikulu Juzi?
 
Ilikua ni lazima kesi hii ifutwe ili kutekeleza ule mkataba wake wa siri uliopelekea yeye kujitoa UKAWA.
 
Eti Mwigulu Nchemba! Hivi watu mnamwelewa huyu tapeli wa kisiasa alivyo au mnachotwa tuu na laghai zake? Haya yote yanayoibuliwa sasa hivi si yeye alikuwa naibu waziri wa fedha alifanya nini? Ni kumdharau Magufuli kama mnadhani yeye hajui kuwa Mwigulu ni tapeli aliyekuwa anastahili serikali ya kitapeli iliyopita na sio yake.
 
BREAKING NEWS:

MAJINA YA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI YAVUJA.

Mwigulu Lameck Nchemba(fedha na uchumi).

Cosato Chumi(ofisi ya rais-utawala bora).

Adadi Rajabu(ulinzi na jkt).

Ridhiwani Kikwete(tamisemi).

Anthony Mavunde(nishati na madini).

Angela Kairuki(maliasili na utalii).

Dr.Charles Tizeba(ujenzi na uchukuzi).

Saada Mkuya(ofisi ya makamu wa rais-muungano).

Ummy Mwalimu(katiba na sheria).

Dr.Dalali Kafumu(ofisi ya makamu wa rais-mazingira).

Eng.Gerson Lwenge(mawasiliano,sayansi na teknolojia).

Bonnah Kaluwa(jinsia,wanawake na watoto).

Nape Nnauye(ofisi ya waziri mkuu-sera,uratibu na bunge).

Shamsi Vuai Nahodha(ofisi ya rais-mahusiano na uratibu).

Dr.Hussein Mwinyi(afya na ustawi wa jamii).

Magreth Sitta(elimu na mafunzo ya ufundi stadi).

Herman Kapufi(afrika mashariki).

Dk.Charles Kitwanga(mambo ya ndani ya nchi).

Dk.Faustine Ndungulile(kilimo,chakula na ushirika).

Janeth Mbene(viwanda,biashara na masoko).

Itaendelea.......

mwenye uhakika atujuze nimeichota sehemu
Ili lilikuwa la mzee wa Mtama, aliyekuwa wakipishana angani kama nchi inaungua vile!
 
Taarifa zilizopatikana ni kuwa ile kesi ya prof Lipumba na wenzake imefutwa.

Nini tafsiri ya hii kitu wakuu?

=============

Update

Kesi iliyokuwa inamkabili Prof Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila kibali imefutwa hii leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, kumbuka kesi hii Ilitakiwa isomwe Jan. 15.2016, ikarudishwa nyuma na kusikilizwa leo asubuhi ambapo imefutwa rasmi.

Nyota ya lipumba inawaka sana mkuu. Huenda akawa mmoja ya washauri wakuu wa rais. Kumbuka ndiyo mtu maarufu pekee mpaka leo hii aliyeenda Ikulu rasmi. Hata wanaCCM bado hawajafika Ikulu ya Magufuli
 
Hivi ndivyo vyombo vyetu vya sheria,CCM inapokabwa kooni vyombo vya sheria vinaweka haki pembeni vinafanya kazi ya CCM,CCM wakipata ahueni vyombo vya sheria vinaanza kutenda haki, baada ya uchaguzi kupita na CCM kushinda sheikhe Ponda kaachiwa huru na Lipumba kafutiwa kesi.
 
gazeti la al-huda limeandika magufuli amempa lipumba kazi ya kuandika andiko la hali ya uchumi nchini.

Duuh ila inawezekana hivyo anatakiwa awe na utulivu wa akili mara hivi mara vile
 
Safi... Tusubirie

Hana kesi kwani alishakiri mbele ya umma wa Watanzania ! Kumbuka Nafsi ilimsuta....alifanya maamuzi SAHIHI....sasa ni count down to the pay back..... by the way! He is a reputable economist and Politician with intergrity...hauwezi kumlinganisha na MZEE WA KUBADILISHIA GEAR ANGANI!
 
Magufuli akiamua kutumia vichwa bora kabisa kwenye nyanja zao kama Prof. Lipumba bila kujali mambo ya siasa, atafanikiwa sana.
 
kesi iliyokuwa inamkabili prof Ibrahimu lipumba imefutwa rasmi .kesi ya lipumba ilikuwa imepangwa kusikilizwa tar 15 jan 206 hivyo imesitishwa kwa dharula leo na kufutwa, Je?prof Lipumba anaweza kupewa kitengo na magufuli
 
ni kubana matumizi yasiyo ya lazima...kuendesha keshi isiyoingiza hata senti!!!
 
BREAKING NEWS:

MAJINA YA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI YAVUJA.

Mwigulu Lameck Nchemba(fedha na uchumi).

Cosato Chumi(ofisi ya rais-utawala bora).

Adadi Rajabu(ulinzi na jkt).

Ridhiwani Kikwete(tamisemi).

Anthony Mavunde(nishati na madini).

Angela Kairuki(maliasili na utalii).

Dr.Charles Tizeba(ujenzi na uchukuzi).

Saada Mkuya(ofisi ya makamu wa rais-muungano).

Ummy Mwalimu(katiba na sheria).

Dr.Dalali Kafumu(ofisi ya makamu wa rais-mazingira).

Eng.Gerson Lwenge(mawasiliano,sayansi na teknolojia).

Bonnah Kaluwa(jinsia,wanawake na watoto).

Nape Nnauye(ofisi ya waziri mkuu-sera,uratibu na bunge).

Shamsi Vuai Nahodha(ofisi ya rais-mahusiano na uratibu).

Dr.Hussein Mwinyi(afya na ustawi wa jamii).

Magreth Sitta(elimu na mafunzo ya ufundi stadi).

Herman Kapufi(afrika mashariki).

Dk.Charles Kitwanga(mambo ya ndani ya nchi).

Dk.Faustine Ndungulile(kilimo,chakula na ushirika).

Janeth Mbene(viwanda,biashara na masoko).

Itaendelea.......

mwenye uhakika atujuze nimeichota sehemu

Litakuwa baraza la hovyo kuwahi kutokea, of all the people, katiba na sheria & Nishati na madini & bunge!
 
kesi iliyokuwa inamkabili prof Ibrahimu lipumba imefutwa rasmi .kesi ya lipumba ilikuwa imepangwa kusikilizwa tar 15 jan 206 hivyo imesitishwa kwa dharula leo na kufutwa, Je?prof Lipumba anaweza kupewa kitengo na magufuli

Mhhh hii ni historia au? mwaka 206 ni BC? joking
 
Back
Top Bottom