DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

Mkuu sheikh ponda hajaachiwa ila kashinda kesi

Na hukumu yake ilikua imeandaliwa tarehe 18/18/2015 hata kabla uchaguzi haujafanyika kaka uwe unaongea na ushahidi

Rekebisha tarehe kabla hatujakuhisi muongo
 
Watu wanaosema Lipumba ni mxuri katika mipango na uchumi, ilikuwaje akashindwa kuipaisha CUF kiuchumi na kimaendeleo? Au mpaka apewe nafasi serikalini ndipo aweze kuonesha umahiri wake?

Duhhh mkuu umesema ukweli mweupeeeeeeeee ambao nimeusema siku zote.
Bingwa wa uchumi mfukoni mwake?
 
Lipumba njoo ACT fasta ...siku hizi cuf wanahamia chadema na kurudi cuf ( babu duni) kulingana na upepo wa madafu
 
Ajitoe ufahamu tu achukue kadi yetu ya ccm then tumpe uwaziri wa fedha au ugavana.
 
Wakuu juzi kati media zilimuonesha Pro Lipumba ikulu ambako alimt na JPM..leo mwendesha mashitaka wa polisi amesema hana tena nia ya kupursue charges against him..vp is t a coincedence..?
 
Katiba inampa mamlaka DPP kufuta muda wowote na hata rais hawezi kuhoji
 
jina lake (Lipumba) ukimalizia na VU inajenga uhalisia wa tabia ya huyu porofesa.

yupo kihadaa hadaa zaidi.
 
Kapewa Kazi ya kuandika Pepa kuelezea State of Macro and Micro economy in Tanzania. kumpa ABC ya uchumi Mh.Rais sio kazi ndogo hatopata muda wa kwenda mahakmani
 
Kwani Lipumba hana haki ya kufutiwa mashtaka?kwani siyo Mtanzania?.Hivi akipewa uwaziri au whatever nafasi ya kuwatumikia Watanzania kuna kosa gani?Tanzania ya kwetu wote .Acheni ubaguzi wa kijinga
 
Back
Top Bottom