Safi sana JPM kweli wewe hujali chama, dalili njema kwa leprofeseri
ahaaaa!!!!!Makamba asitegemee lolote ktkt Serikali yaMagufuli. amemsema raid eti anachafua kapeti alilopitia. yeye alifikiri huyu Ni sawa na kikwete no. huyu Ni Man of God
Safi sana JPM kweli wewe hujali chama, dalili njema kwa leprofeseri
tofaut nying tu,kama london na dar
Mbona Shekh Ponda naye kaachiwa huru juzi, tutegemee nini kwa Sherk Ponda soon?So tutegemee tangazo la uteuzi wa ubunge kwa Lipumba soon....may be tommorow
Mbona Shekh Ponda naye kaachiwa huru juzi, tutegemee nini kwa Sherk Ponda soon?
na kazi ya kupiga kelele mjengon wamuachie nani??kama kweli ni mzalendo amteue lissu kuwa waziri wa sheria na katiba. pia amteue halima mdee awe naibu waziri wa ardhi hapo nitaamini kwamba yeye ni mzalendo...