DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

So tutegemee tangazo la uteuzi wa ubunge kwa Lipumba soon....may be tommorow
 
Safi sana JPM kweli wewe hujali chama, dalili njema kwa leprofeseri
 
Tulilitegemea hilo kwani ilikuwa ni moja ya makubaliano kabla ya kupewa vile vibilioni na mwenzake wa karatu
 
Mods ahsanteni sana leo nmefurahia kuwa mwanajamii forum
Mui verify account yangu sasa
 
Kweli prof:Lipumba kwenye kasi hii ya mh: Magufuli anafaa sana, ila tatizo ni katiba ya nchi ile isemayo chama kushika hatamu, hapa raisi wetu si mbaya ukifumba macho kwa ajiri ya manufaa ya wananchi.
 
Haaa haaa safari ya Ikulu ilikuwa na mambo makubwa.
 
BREAKING NEWS:

MAJINA YA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI YAVUJA.

Mwigulu Lameck Nchemba(fedha na uchumi).

Cosato Chumi(ofisi ya rais-utawala bora).

Adadi Rajabu(ulinzi na jkt).

Ridhiwani Kikwete(tamisemi).

Anthony Mavunde(nishati na madini).

Angela Kairuki(maliasili na utalii).

Dr.Charles Tizeba(ujenzi na uchukuzi).

Saada Mkuya(ofisi ya makamu wa rais-muungano).

Ummy Mwalimu(katiba na sheria).

Dr.Dalali Kafumu(ofisi ya makamu wa rais-mazingira).

Eng.Gerson Lwenge(mawasiliano,sayansi na teknolojia).

Bonnah Kaluwa(jinsia,wanawake na watoto).

Nape Nnauye(ofisi ya waziri mkuu-sera,uratibu na bunge).

Shamsi Vuai Nahodha(ofisi ya rais-mahusiano na uratibu).

Dr.Hussein Mwinyi(afya na ustawi wa jamii).

Magreth Sitta(elimu na mafunzo ya ufundi stadi).

Herman Kapufi(afrika mashariki).

Dk.Charles Kitwanga(mambo ya ndani ya nchi).

Dk.Faustine Ndungulile(kilimo,chakula na ushirika).

Janeth Mbene(viwanda,biashara na masoko).

Itaendelea.......

mwenye uhakika atujuze nimeichota sehemu
 
Kwa hiyo atateuliwa kuwa mbunge wa ccm au?
 
Jembe lingine hilo linaingia, mjengoni Ni Kazi tu. Ngoja tuone.
 
Waiverify na majina yako ya ajabu? Angalia verified users kama wana majina ya vichakani.

Nirudi kwa mada.

Lipumba nategemea awe wazir wa fedha

Mkuu mbona unaninyanyapaa kiongozi wangu hayo ndo majina yangu mkuu
 
Mods ahsanteni sana leo nmefurahia kuwa mwanajamii forum
Mui verify account yangu sasa

Katika waliotia Fola kwenye hii thread basi ni wewe, watu wana majina yao halisi na wanajulikana lakini bado hawajawa Verfied uwe na jina lako utafikiri Mchawi wa Mkwere...labda mimi sijui maana ya kuwa Verfied...mnisaidie jamani.
 
Lipumba ni waziri katika wizara mpya ya mipango na matumizi.
 
Katika waliotia Fola kwenye hii thread basi ni wewe, watu wana majina yao halisi na wanajulikana lakini bado hawajawa Verfied uwe na jina lako utafikiri Mchawi wa Mkwere...labda mimi sijui maana ya kuwa Verfied...mnisaidie jamani.

Mkuu hahaa umeninanga duuh
Mi niko active halafu najua tu mods wananiona shughuli zangu za ujenzi WA UHURU WA KUJIELEZA

D.P.P kafanya wema sana tume y haki za binadamu ilisema waachiwe naona agizo limetekelezwa leo
 
gazeti la al-huda limeandika magufuli amempa lipumba kazi ya kuandika andiko la hali ya uchumi nchini.
 
BREAKING NEWS:

MAJINA YA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI YAVUJA.

Mwigulu Lameck Nchemba(fedha na uchumi).

Cosato Chumi(ofisi ya rais-utawala bora).

Adadi Rajabu(ulinzi na jkt).

Ridhiwani Kikwete(tamisemi).

Anthony Mavunde(nishati na madini).

Angela Kairuki(maliasili na utalii).

Dr.Charles Tizeba(ujenzi na uchukuzi).

Saada Mkuya(ofisi ya makamu wa rais-muungano).

Ummy Mwalimu(katiba na sheria).

Dr.Dalali Kafumu(ofisi ya makamu wa rais-mazingira).

Eng.Gerson Lwenge(mawasiliano,sayansi na teknolojia).

Bonnah Kaluwa(jinsia,wanawake na watoto).

Nape Nnauye(ofisi ya waziri mkuu-sera,uratibu na bunge).

Shamsi Vuai Nahodha(ofisi ya rais-mahusiano na uratibu).

Dr.Hussein Mwinyi(afya na ustawi wa jamii).

Magreth Sitta(elimu na mafunzo ya ufundi stadi).

Herman Kapufi(afrika mashariki).

Dk.Charles Kitwanga(mambo ya ndani ya nchi).

Dk.Faustine Ndungulile(kilimo,chakula na ushirika).

Janeth Mbene(viwanda,biashara na masoko).

Itaendelea.......

mwenye uhakika atujuze nimeichota sehemu

Mmh mbona la kawaida sana hili baraza km ndo hili yani LUKUVI NA JUHUDI ZAKE PALE ARDHI BADO HATOSHI??
 
Lipumba Waziri wa fedha na uchumi. Naibu wake Mwigulu Nchemba
 
Back
Top Bottom