Download Speed: Shkamoo Halotel

Download Speed: Shkamoo Halotel

Tatizo watumiaji wachache subiri mjae mtanya'anyana hz speed
 
Ni peed kubwa au wana subsribers wachache?
Ni speed kubwa..na pia kutokana bado subscribers sio weng sana...
Coverage yao pia ni kubwa huez fananisha labda na tigo ambaye 3g kwake shida..tigo leo ukisema hata subscribers wabaki 10 tu kuna sehem speed itakua mbovu vile vile maana no coverage hasa vijijini na baadh ya miji mingi tu.
 
Mm kila nikifungua data wala hata haioneshi 3G yaan kifupi siwez kufanya access ya internet nahis tatizo litakuwa ni setting ndo inaleta shida anayeweza kufanya setting anifahamishe
 
  • Thanks
Reactions: Lee
si kweli nimetumia mitandao yote miwili na 4g ya tigo ina speed zaidi, una simu ya 4g? umetumia wapi hio 4g ya tigo?

3g kuwa slow inamaana watu wengi wanatumia 3g na uwezo wa miundombinu ni mdogo, mtandao unapoanzisha 4g inamaana watu baadhi wataondoka 3g kwenda 4g hivyo hii itawasaidia wote watumiaji wa 3g na 4g sababu wakipungua watu wa 3g speed itaongezeka ya wa 4g pia watapata speed nzuri
Kaka Maeneo ya Manzese ninakoishi hadi Kigogo 3G ya tigo ovyo kabisa,ukienda huko Toangoma ndiyo hata network upati.
wiki iliyopita niliswap kwenda 4G lakini hakuna jipya maana lte yao inakata kata ovyo speed haizidi 500KBps, streaming inagoma goma.
Ukiangalia 3G ya halotel napata zaidi ya 1MBps+ live stremig bila ya kukata niwe Manzese,Kigogo,Toangoma na hata Buza kwa wazee mwendo ni huo huo.
 
Mi nishawah download kwakutia hallotel episode moja ya mb 300 kwa dakika tatu tu sikuamini na ilikuwa mchana tu wakati tgo inaweza ikawa hata masaa manne ku download episode moja mchana salute hallotel
 
Ivi awa Halotel kumbe ni sereous eeh, Maana hakuna anae lalamika kwake spidi ndogo, me nilizani mbwembwe!
 
kwa university bundle still Airtel wapo juu,
-kwanza unapewa dakika chache za mitandao yote, kama sjakosea ni tano
-pili hauhitaji line ya mwanafunzi, line yoyote inafaa just ununue tu vocha za mwanafunzi
-Gb zao wanazotoa ni nyingi kwa 600 unapata 1.2gb na lisaa 1 la kuongea na sms za kutosha pia whatsapp/fb/twitter ni bure

hivyo ukifanya mahesabu kwa mwezi kama unanunua kifurushi cha siku 2 cha 600 hizi ndio gharama

-600 kwa siku 2 kwa mwezi utanunua mara 15
600x15=9,000
hivyo gharama yako ya mwezi itakuwa 9,000

-gb 1.2x15=18
utapata gb 18 kwa mwezi

-dakika 55 airtel kwenda airtel 55x15 = 825
-dakika 5 mitandao yote 5x15 = 75

so kwa 9000 utapata gb 18 dk 825 (airtel-airtel) na dk 75 mitandao yote. hakuna mtandao Tanzania unaoipita hii offer
modem zao za internet zikoje na bei gani?zinahitaji line zao au?
 
Back
Top Bottom