Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Hahahaaahaaa
Tigo hata wakiwa na 6G hakuna kitu
Tigo hata wakiwa na 6G hakuna kitu
Nimeweka bando la siku hapa...nimepata 600MB.....lakini haioneshi 3G tatizo liko wapi mdau?Daaaah huu mtandao walah ni nomaaaa, nashusha movies fasta kama nadownload image.. Hongereni sana Halotel
WEKA LINE YAKO KWENYE POT INAYOSAPOTI CDMANimeweka bando la siku hapa...nimepata 600MB.....lakini haioneshi 3G tatizo liko wapi mdau?
Asante....ngoja nijaribu maana Mimi si mtaalam sana wa haya mamboWEKA LINE YAKO KWENYE POT INAYOSAPOTI CDMA
Unatumia application gani mkuu kustream live kucheki mpirahalotel
inaniwezesha kustream epl, la liga online.
ni sheeeda
Kijij ganHuu mtandao ni hatari kwa kweli ,yaani hadi vijijini unaandika 3G
Kimahesabu, hata night bundle ya Airtel ni very cheap compared to Halotel ingawaje practically, hususani kama unatumia vocha za kukwangua za Airtel na haupo makini, unaweza kukuta end result ya Airtel inakuwa expensive zaidi kulinganisha na Halotel. Uzuri wa Halotel kwa upande wangu, zile 18GB za night offer huwa zinaisha kutokana na speed yake lakini zile 10GB za Airtel huwa aziishi! What I don't understand kwa Airtel ni kwamba, nikichukua night bundle ya 1GB speed inakuwa kubwa lakini 10 GB inakuwa ndogo-- am not sure kwamba inatokana siku na siku kutegemea na idadi ya watu waliojiunga na bundle husika or ni mbinu za kibiashara!

Kuhusu usiku speed ya Halotel kuwa ndogo, hata hapa kwangu ni hivyo hivyo. Hata hivyo nasema ndogo nikilinganisha na mchana. Mchana speed yake inakuwa kufuru ukilinganisha na usiku lakini hata hiyo speed ndogo ya usiku, inaniwezesha kumaliza zile 18GB.mimi kwangu ni vice versa namaliza bundle ya tigo peke yake usiku nikiwa na 4g au 3g. ila halotel speed usiku inakuwa ovyo na ukiwa na line ya chuo ndio kabisa mwisho ni 300KB/s
Menu ni: *148*66# Halafu unachagua namba 6 (Internet bila kikomo). Bei ni Sh. 1500 .Night offer ya halotel ni bei gani mkuu? Vipi kuhusu menu yake?
Wao kwao hakuna cha kujaa, hawapitishi internet yao kwenye njia kama za hao wengine, hawa wako kivyao kabisa through fiber.Ngoja Watu wajae tutarudi wemyewe tu kwemye Mitandao Kongeee..
Kwani wewe ndiye HALOTEL?Marahaba hujambo!
Unajua swala la kujaa sio kesi..issue ni coverage tu mkuu, jamaa coverage nzuri sana..Mbona hata tigo kuna maeneo ni poa ila shida ndo coverage yao sasa.Ngoja Watu wajae tutarudi wemyewe tu kwemye Mitandao Kongeee..
Kibaya zaidi hizo 4g ziko kwenye vi miji vyao..wakati halotel wanagonga kotekote kuanzia mtambaswala mpaka holili,kigamboni mpaka nanyamba...internet hata isome "E" GPRS..spidi ni hatareeee!Tigo hata wakiwa na 6G hakuna kitu
tutakua tunatelezea ganda la ndizi na parachichi itakua balaa sana halotelNa hiyo ni 3G tu je na wao wakileta 4G...
mi nawa enjoy tuu hawa tuu huleta matusi mambo yakisha haribika!Kwani wewe ndiye HALOTEL?