Bobbyray
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 1,378
- 1,782
Unatakiwa kuwa software inaitwa utorrent baada ya hapo ingia website hizi extratorrent,Kickass.to,Piratesbay utaweza kudownloadnaomba nielekeze jinsi ya kudowload movies kwenye pc pls
Unatakiwa kuwa software inaitwa utorrent baada ya hapo ingia website hizi extratorrent,Kickass.to,Piratesbay utaweza kudownloadnaomba nielekeze jinsi ya kudowload movies kwenye pc pls
2016 hakuna haja ya kujifunga kununua modem ili utumie mtandao mmoja, nunua modem ambayo una uhakika utaweza kui unlock itumie mitandao yote au kama unaona ngumu nenda dukani kanunue universal modem zinazotumia line zote bei ni hio hio around 30,000. then utaeka line unayoipenda na kujiunga kifurushi unachokipendamodem zao za internet zikoje na bei gani?zinahitaji line zao au?
lovely,,,hazisumbui kusoma network?2016 hakuna haja ya kujifunga kununua modem ili utumie mtandao mmoja, nunua modem ambayo una uhakika utaweza kui unlock itumie mitandao yote au kama unaona ngumu nenda dukani kanunue universal modem zinazotumia line zote bei ni hio hio around 30,000. then utaeka line unayoipenda na kujiunga kifurushi unachokipenda
Unatakiwa kuwa software inaitwa utorrent baada ya hapo ingia website hizi extratorrent,Kickass.to,Piratesbay utaweza kudownload
modem ni hizo hizo ikiwa ya tigo au airtel au halotel haijalishi zote zinakuwa aina zile zilelovely,,,hazisumbui kusoma network?
full kuteremusha series yaaan movies znashuka kwa escape velocityDaaaah huu mtandao walah ni nomaaaa, nashusha movies fasta kama nadownload image.. Hongereni sana Halotel
*148*55# line ya university promo ni special inauzwa buku tatu.za kawaida buku. 9999 unapata 7gb kwa mweziNaomba kujua jinsi ya kupata menu ya halotel bundles,pamoja na University bundle na jinsi ya kujiunga na kifurush cha usiku
Leo nilipita kwenye ofisi za halotel pale mwenge wakaniambia modem zao unaweza kutumia kwa mitandao yyt2016 hakuna haja ya kujifunga kununua modem ili utumie mtandao mmoja, nunua modem ambayo una uhakika utaweza kui unlock itumie mitandao yote au kama unaona ngumu nenda dukani kanunue universal modem zinazotumia line zote bei ni hio hio around 30,000. then utaeka line unayoipenda na kujiunga kifurushi unachokipenda
unayo aina yake na bei? tuziangalie kama ni nzuriLeo nilipita kwenye ofisi za halotel pale mwenge wakaniambia modem zao unaweza kutumia kwa mitandao yyt
Kwa leo pale nilikuta zimeisha,so sikufanikiwa kununua,wanaziuza kwa elfu 35,pamoja na bundle ya elfu 25 kwa gb 5 kwa mwezi inakuwa elfu 60unayo aina yake na bei? tuziangalie kama ni nzuri
Alafu........Ingia kwenye setting ya net nenda kwenye network operator halafu nenda point name acess
Mkuu hizo package unapataje?? Mbona mi nikichek napata 500mb kwa tsh500 pekeake akuna package nyingine.*148*55# line ya university promo ni special inauzwa buku tatu.za kawaida buku. 9999 unapata 7gb kwa mwezi
Pale kwenye name andika halotel na kwenye APN andika internet...kwa herufi ndogo kama nilivyoandika.Alafu........
Mkuu hizo package unapataje?? Mbona mi nikichek napata 500mb kwa tsh500 pekeake akuna package nyingine.
ukishabonyeza hio namba chagua 6 utapata cha gb 10 kimeandikwa yatosha nytsChief-Mkwawa Naomba code za Airtel 10gb per night maana nimeunga *149*99# wamenipa 1gb tu kwa tsh 400
Hz ofa za ucku naweza kuzipata kwa kutumia modem?ukishabonyeza hio namba chagua 6 utapata cha gb 10 kimeandikwa yatosha nyts
ndio unaweza kuzipataHz ofa za ucku naweza kuzipata kwa kutumia modem?
uko maeneo gani hapa dar mkuu mkweli wa mambo; ?Daaaah huu mtandao walah ni nomaaaa, nashusha movies fasta kama nadownload image.. Hongereni sana Halotel
Night offer GB ngapi mkuuMe mwenyee nilkua naskia mnisfia halotel kwa speed yake daah nakaenda kununua laini nikajiunga na night offer daah naamka asubuhi nakuta GB 12 zimeishaa daah halotel ni sheed