Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 458
- 192
Hivi hawa jamaa wana 3G hadi vijijini?
Kimahesabu, hata night bundle ya Airtel ni very cheap compared to Halotel ingawaje practically, hususani kama unatumia vocha za kukwangua za Airtel na haupo makini, unaweza kukuta end result ya Airtel inakuwa expensive zaidi kulinganisha na Halotel. Uzuri wa Halotel kwa upande wangu, zile 18GB za night offer huwa zinaisha kutokana na speed yake lakini zile 10GB za Airtel huwa aziishi! What I don't understand kwa Airtel ni kwamba, nikichukua night bundle ya 1GB speed inakuwa kubwa lakini 10 GB inakuwa ndogo-- am not sure kwamba inatokana siku na siku kutegemea na idadi ya watu waliojiunga na bundle husika or ni mbinu za kibiashara!kwa university bundle still Airtel wapo juu,
-kwanza unapewa dakika chache za mitandao yote, kama sjakosea ni tano
-pili hauhitaji line ya mwanafunzi, line yoyote inafaa just ununue tu vocha za mwanafunzi
-Gb zao wanazotoa ni nyingi kwa 600 unapata 1.2gb na lisaa 1 la kuongea na sms za kutosha pia whatsapp/fb/twitter ni bure
hivyo ukifanya mahesabu kwa mwezi kama unanunua kifurushi cha siku 2 cha 600 hizi ndio gharama
-600 kwa siku 2 kwa mwezi utanunua mara 15
600x15=9,000
hivyo gharama yako ya mwezi itakuwa 9,000
-gb 1.2x15=18
utapata gb 18 kwa mwezi
-dakika 55 airtel kwenda airtel 55x15 = 825
-dakika 5 mitandao yote 5x15 = 75
so kwa 9000 utapata gb 18 dk 825 (airtel-airtel) na dk 75 mitandao yote. hakuna mtandao Tanzania unaoipita hii offer
3G MPAKA VIJIJINIIII KALIUA URAMBO MPANDA, KASULU USHIIROMBO N.K ILEJE MAENEO YOTE YA NDANI NDANI YAMEFIKIWAHivi hawa jamaa wana 3G hadi vijijini?
Kwaheri airtel kwaheri tigo kwaheri voda lakin kwaheri pia tccl3G MPAKA VIJIJINIIII KALIUA URAMBO MPANDA, KASULU USHIIROMBO N.K ILEJE MAENEO YOTE YA NDANI NDANI YAMEFIKIWA
anapenda kitongaKijana acha kupenda slope
Haaah haaaah kumbe wanaielewa Vodacomhawa akina voda walikuwa na nafasi nzuri ya kujiimarisha hadi vijijin lakin kiburi chao ndo hicho ndo kimewafanya wasipeleke huduma vijijin et kwa kuwa hamna wateja . sasa watashika adabu wenzao wameona fursa wakaitumia na sasa wananchi wameenza kuielewa vodacom kuliko mtandao mwingine wowote
Mkuu vip unatokea ushirombo nin3G MPAKA VIJIJINIIII KALIUA URAMBO MPANDA, KASULU USHIIROMBO N.K ILEJE MAENEO YOTE YA NDANI NDANI YAMEFIKIWA
Hata upewe GB laki, tatizo speedkwa university bundle still Airtel wapo juu,
-kwanza unapewa dakika chache za mitandao yote, kama sjakosea ni tano
-pili hauhitaji line ya mwanafunzi, line yoyote inafaa just ununue tu vocha za mwanafunzi
-Gb zao wanazotoa ni nyingi kwa 600 unapata 1.2gb na lisaa 1 la kuongea na sms za kutosha pia whatsapp/fb/twitter ni bure
hivyo ukifanya mahesabu kwa mwezi kama unanunua kifurushi cha siku 2 cha 600 hizi ndio gharama
-600 kwa siku 2 kwa mwezi utanunua mara 15
600x15=9,000
hivyo gharama yako ya mwezi itakuwa 9,000
-gb 1.2x15=18
utapata gb 18 kwa mwezi
-dakika 55 airtel kwenda airtel 55x15 = 825
-dakika 5 mitandao yote 5x15 = 75
so kwa 9000 utapata gb 18 dk 825 (airtel-airtel) na dk 75 mitandao yote. hakuna mtandao Tanzania unaoipita hii offer
Kuna line za wanachuo pekee???.....hizi za buku hazipati Bando la chuo?Kama ni mwanachuo fanya utafute line za wanachuo, ila za kawaida ni around 1000.
Muwa mtamu lakini una mafundoLine yao ya chuo kuipata mpaka kitambulisho cha chuo halafu after that unajiunga popote
Tumechokakwa university bundle still Airtel wapo juu,