Download Speed: Shkamoo Halotel

Download Speed: Shkamoo Halotel

Kifurushi cha mia tano line ya mwanachuo unapewa mb500 kwa wiki
Wakati ya kawaida ni 200 kwa siku
1500 una pewa dk 150 halo to halo sms 1500 ma gb1 kwa wiki.
Na mengine mengi.
hapo kwenye 500 ya chuo unapopata mb 500 kwa wiki kupitia line ya chuo uzuri wake ni kwamba unaweza hata kujiunga mara 1000 bila kuwa na limitations zozote,mimi huwa nanunua vocha za 3000 kwa wiki then najiunga mara 6 kwa kifurushi cha 500 kwa wiki then nakuwa na GB 3 zinanitosha ku'stream tv wiki zima,nani kama halotel...
 
masikini tGoo kila mtu anaiponda tu. enyi tigo badilikeniiiiiiii
 
Me mwenyee nilkua naskia mnisfia halotel kwa speed yake daah nakaenda kununua laini nikajiunga na night offer daah naamka asubuhi nakuta GB 12 zimeishaa daah halotel ni sheed
 
hivi hadi najiuliza huko wanapotekenya halotel spidi inakua kubwa wengne hawawez au ndo wameshikwa pabaya
Sure mkuu hilo swali ni lazima tujiulize... Kwann halotel tu na mispidi yote.
 
Juzi nilisafiri kwenda kijijini interior sana. Ila nilishangaa jinsi internet ya hawa Halotel iliyokuwa na kasi kana kwamba nipo Dar city center.
 
Halotel ni mkombozi. Huko vijijini kulikokuwa hakushiki mtandao wowote, halotel ipo. Maeneo ya Mbeya vijijini, Ileje na Chunya huwaambii kitu halafu net huko inasoma +H
 
si kweli nimetumia mitandao yote miwili na 4g ya tigo ina speed zaidi, una simu ya 4g? umetumia wapi hio 4g ya tigo?

3g kuwa slow inamaana watu wengi wanatumia 3g na uwezo wa miundombinu ni mdogo, mtandao unapoanzisha 4g inamaana watu baadhi wataondoka 3g kwenda 4g hivyo hii itawasaidia wote watumiaji wa 3g na 4g sababu wakipungua watu wa 3g speed itaongezeka ya wa 4g pia watapata speed nzuri
Issue itabak kuwa ni location yako tu..nipo kigamboni ila 4g ya tigo ni kimeo eneo hili.
 
mimi ninayo line ya Halotel, Tuache Uongo na Uzushi, ukijiunga Na Kifurushi Cha Internet ya GB 18 kuanzia saa 6:00 usiku Mpaka saa 12:00 Alfajiri kwa Elf 1500 Spidi ni Kama Konokono. Hakuna Jipya Mitandao Tanzania bado sana. Tuache ushabiki.
 
Halotel wako njema jamani, msema kweli mpenzi wa mungu. Ingawa sijajua ni kwa nini mitandao iliosalia huwa inaperform kulingana na location mf. Tigo ukiwa kigogo ni bofo ila ukienda magomeni inakimbiza vibaya. Ukiwa segerea majanga ila ukiwa kinyerezi iko fresh mno. Vile vile kasumba hio ipo katika mitandao km airtel,zantel na voda ingawa voda sio sana.
Kwa kifupi halotel haina tatizo la kuchagua location, popote kambi mzigo unanata na biti.
Wanatufaa for the mean time
 
mimi ninayo line ya Halotel, Tuache Uongo na Uzushi, ukijiunga Na Kifurushi Cha Internet ya GB 18 kuanzia saa 6:00 usiku Mpaka saa 12:00 Alfajiri kwa Elf 1500 Spidi ni Kama Konokono. Hakuna Jipya Mitandao Tanzania bado sana. Tuache ushabiki.
yes mimi mwenyewe nimetafuta Line yao Speed haijaizidi Zantel sema Zantel ipo dar tuu ila speed zantel
 
Back
Top Bottom