Kama ni mwanachuo fanya utafute line za wanachuo, ila za kawaida ni around 1000.line ya halotel bei gani inauzwa?
wakileta 4g sipati picha kabsa makampuni mengine watatupa mitambo waingie mitini maana itakuwa zaidi ya fedheha. .hapa tuu 3g fedheha tiari nyinyi halotel wabaya nyinyiii. .kizuri chaji za jmani alafu hawana hata maneno mengi kama tigo sjui airtel voda wanaongeaa usanii mtupu hakna lolote ..wenzao kimyakimya wanachukua sokoNa hiyo ni 3G tu je na wao wakileta 4G...
Kuna benefits zipi kwa hizo laini za chuo?Kama ni mwanachuo fanya utafute line za wanachuo, ila za kawaida ni around 1000.
Kifurushi cha mia tano line ya mwanachuo unapewa mb500 kwa wikiKuna benefits zipi kwa hizo laini za chuo?
Ukumbuke wao hawatumii satelite kama hao wakongwe, halotel kitu mkongo wa taifaNgoja Watu wajae tutarudi wemyewe tu kwemye Mitandao Kongeee..
Line yao ya chuo kuipata mpaka kitambulisho cha chuo halafu after that unajiunga popotekwa bundle za internet *148*66# kwa bundle za chuo *148*55#
Mkuu halotel wanatumia mkongo wa taifa hawa, voda nao wameshtuka wameanza kutandaza cable zao kuunganisha na minarahivi hadi najiuliza huko wanapotekenya halotel spidi inakua kubwa wengne hawawez au ndo wameshikwa pabaya
I see!! Kama mtu unapata 1GB na dakika 150 kwa wiki na sio mtu wa ma-movies/series; then kwa staili hiyo maumivu ya gharama za mitandao ya simu unaweza usiyaone provided watu wako muhimu nao wapo Halotel. Yaani hapo kwa mwezi unaweza kutumia only TSh. 10KKifurushi cha mia tano line ya mwanachuo unapewa 500 kwa wiki
Wakati ya kawaida ni 200 kwa siku
1500 una pewa dk 150 halo to halo sms 1500 ma gb1 kwa wiki.
Na mengine mengi.
Kwa kifurushi gani mkuu gb 13Mi juzi nilishusha Gb 13 usiku nilimaliza movies zote
Night bandoKwa kifurushi gani mkuu gb 13
Labda anazungumzia kifurushi cha usiku park. 1500 gb18 500 gb1.2Kwa kifurushi gani mkuu gb 13
Night bando hiyo gb13 ni sh ngapiNight bando
1500 tuNight bando hiyo gb13 ni sh ngapi
kwa university bundle still Airtel wapo juu,I see!! Kama mtu unapata 1GB na dakika 150 kwa wiki na sio mtu wa ma-movies/series; then kwa staili hiyo maumivu ya gharama za mitandao ya simu unaweza usiyaone provided watu wako muhimu nao wapo Halotel. Yaani hapo kwa mwezi unaweza kutumia only TSh. 10K