BOWTHRUSTER
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 397
- 174
Kusoma vitabu kuna raha ya pekee ila wabongo hawana utamaduni huo.Someni vitabu badala ya kushinda kwenye tv tuu
Kusoma vitabu kuna raha ya pekee ila wabongo hawana utamaduni huo.Someni vitabu badala ya kushinda kwenye tv tuu
Vipi kuhusu channel za bure kama sina hela mwezi huo?Hapo mwanzo ilikua ukitaka channel za kulipia za kawaida ni 12000 na ukitaka za. Michezo ni 15000 jumla. 27000 lakini sasa hv kwa 15000 unapata zote za michezo na za kawaida, mkuu hata hili la kushusha gharama pia ni shida??
Channel za ndani zapatikan bure bila hela yeyote, mimi sijalipia since mwezi wa 12 but bado napata huduma km. KawaidaVipi kuhusu channel za bure kama sina hela mwezi huo?
Muongo mkubwa wewe, kama umetumwa basi fanyia kazi mabwana zako upate ujira na watoto waende chooniChannel za ndani zapatikan bure bila hela yeyote, mimi sijalipia since mwezi wa 12 but bado napata huduma km. Kawaida
Mkuu shukran sana, Hujawekea bastola usoni utumie king'amuzi cha Azam, kitupe chooni sikiliza redio tuu utapata taarifa zote,Muongo mkubwa wewe, kama umetumwa basi fanyia kazi mabwana zako upate ujira na watoto waende chooni
Hili suala la kukatwa kwa local channels kwenye king'amuzi cha Azamu limenishangaza kiasi.
Hapa wakulaumiwa ni TCRA kwasababu wao walitoa mwongozo, kwamba local channels zitaonekana free, sasa hili la suala la Azam Tv wanalitazama pasi kulitolea ufafanuzi KWANINI?
ndugu tigo wana sehemu na sehemu tunaujua huo mtandao na tumeutumian sana before ya kubadilikawatu kwa kujipa moyo hawajambo huku nilipo 4g ya tigo downloading speed inagonga 3mbps lakini halotel wanacheza 300 mpaka 500 kbps sasa hapo sidhani hata waweza fananisha na hata Dar pia ilikuwa hivyohivyo kwangu.
umetumia 4g ya tigo? hii ndio feedback tunayotaka sababu watu wengi hawajaitumia au unakuta vifaa vyao hata 4g havina lakini wanatoa feedback mbovundugu tigo wana sehemu na sehemu tunaujua huo mtandao na tumeutumian sana before ya kubadilika
ndo maana ukaambiwa mtandao Wa kariakoo huo,4g yenyewe unayoizungumzia ipo sehemu Na sehemu mtu ambaye hayupo hiyo sehemu yako unamuambia habari ya 4g atakuelewa???au unataka wote tuje maeneo yako mkuu???umetumia 4g ya tigo? hii ndio feedback tunayotaka sababu watu wengi hawajaitumia au unakuta vifaa vyao hata 4g havina lakini wanatoa feedback mbovu
mi naishi Tanga wala sio mkazi wa dar na kwetu tuna 4g. na sababu kwenu hakuna 4g haimaanishi kwamba 4g ndio mbaya unapomshauri mtu inabidi ujue kwanza eneo alipo.ndo maana ukaambiwa mtandao Wa kariakoo huo,4g yenyewe unayoizungumzia ipo sehemu Na sehemu mtu ambaye hayupo hiyo sehemu yako unamuambia habari ya 4g atakuelewa???au unataka wote tuje maeneo yako mkuu???
nimetumia 4G ya tigo haina speed kama Halotelumetumia 4g ya tigo? hii ndio feedback tunayotaka sababu watu wengi hawajaitumia au unakuta vifaa vyao hata 4g havina lakini wanatoa feedback mbovu