Duh km nd hvy ngj nijitahid next month nichukue device ya 4g maana hpa nna malink ya mamovie mpk kerooooTuseme on average speed ya tigo 4g ni 3MBps ikikaa hivyo bila tatizo lolote (siunawajua tigo wanavyozingua) yaweza chukua dakika 5..
Tusubirie voda, airtel au halotel walaunch 4g na uhakika itakuwa funika
Tatizo la tigo ni sehemu chache utapata speed nzuri. Ila Halotel nchi nzima tunafurahia kwa speed nzuri iwe katikati ya Miji hata nje ya mji unapata speed nzuriwatu kwa kujipa moyo hawajambo huku nilipo 4g ya tigo downloading speed inagonga 3mbps lakini halotel wanacheza 300 mpaka 500 kbps sasa hapo sidhani hata waweza fananisha na hata Dar pia ilikuwa hivyohivyo kwangu.
Mkuu Sharo, hamna cha aina ya simu hapa Halotel mbona haichagui simu? , kazi ni moja tu kuweka MB! na kuanza kushusha data!Tatizo humu kila mtu anaelezea experience yake na mtandao anaotumia bila kutaja aina ya simu inayotumika.
simu zina network bands tofauti, mfano aina mbili za simu ie nokia na sony zinaweza zikapata speed tofauti ya internet chini ya mnara mmoja japo line zafanana ie zote ziwe na 4g ya tigo.
kila moja kwenye speed test itasoma tofauti!
so ukiona line furani inafanya vizuri kwenye eneo lako na kwenye simu yako haitakuwa sawa na mwenye line nyingine kwa eneo lake na simu yake. pia ina tegemea na signal za hapo ulipo
pitia hapa kuna mabadiliko kidogo lakini vifurushi vimeshuka mbNaomba kujuzwa kuhusu vifurushi vya internet vya hawa halotel.
Nataka kufahamu the maximum amount ya data nnaweza kupata kwa
1. Siku
2. Wiki
3. Mwezi
Na bei ya vifurushi hivyo
sababu halotel hana 4g. mitandao yote ukitoa smart kwenye 3g wanatumia band 2100 lakini kuanzia 4g kila mtandao na band yake so si kila simu inasuport 4g.Mkuu Sharo, hamna cha aina ya simu hapa Halotel mbona haichagui simu? , kazi ni moja tu kuweka MB! na kuanza kushusha data!
Kwan haiwezekan kwa 4g kutumia band moja km 3G?sababu halotel hana 4g. mitandao yote ukitoa smart kwenye 3g wanatumia band 2100 lakini kuanzia 4g kila mtandao na band yake so si kila simu inasuport 4g.
Kwan haiwezekan kwa 4g kutumia band moja km 3G?
mimi nina Digitek sina habari za kulipia chanel za nyumbani.