Download Speed: Shkamoo Halotel

Download Speed: Shkamoo Halotel

mi naishi Tanga wala sio mkazi wa dar na kwetu tuna 4g. na sababu kwenu hakuna 4g haimaanishi kwamba 4g ndio mbaya unapomshauri mtu inabidi ujue kwanza eneo alipo.
nani anayetaka Huduma za kuchagua locations???ntastay hapa hapa maana nimeridhika mkuu
 
Duh.. Naikubali halotel lakini kwa hili nabisha

Na sasa hivi hapa Tabata naona Vodacom wamevuta Optic Fibre cable kwenda kwenye minara yao yote sasa nasubiria waweke mambo sawa tuone mkongwe atavyo wafunika wote hadi halotel
mbeya wameweka hzo cable toka mwezi Wa kwanza lakini hamna jipya la kulinganisha Na Halotel
 
mbeya wameweka hzo cable toka mwezi Wa kwanza lakini hamna jipya la kulinganisha Na Halotel
Labda huko kwenu lakini hapa kwetu Vodacom utapata maximum 1.5MB/s download speed 1080p video unaagalia bila buffering yoyote so network ipo vizuri

Halotel napata maximum kwetu 1.2MB/s download speed nawapenda tu kwa sababu wana bundle nzuri.

Sasa hizo speed tunapata kwa sababu vodacom wanatumia technology za zamani wakiunganisha Optic fibre plus 4g network yao watayo launch soon (kama tetesi zinavyo indicate) watafunika.
 
nani anayetaka Huduma za kuchagua locations???ntastay hapa hapa maana nimeridhika mkuu
ndio kwetu ipo mkuu,

na hata kama 4g ingekuwa inapatikana km 10 toka kwetu ningekuwa radhi nipande daladala niifate siku za weekend. gap la speed ni kubwa sana almost mara 3 zaidi ya speed kubwa zaidi ya 3g.
 
Chief-Mkwawa kwenu ni wapi nije kukutembelea???
nataman kupajua kwenu niwape na wazazi wako pongez za kuwa na mtoto
 
Nikiwa DIT hapa dsm speed ya tigo 4G average speed ni 38mbps kwa hiyo hao halotel wanawapa shida watu wanaotumia 3G tuu ila kwa tigo 4G wanasubiri
 
Nikiwa DIT hapa dsm speed ya tigo 4G average speed ni 38mbps kwa hiyo hao halotel wanawapa shida watu wanaotumia 3G tuu ila kwa tigo 4G wanasubiri
Uzuri wa Halotel ni nchi nzima mi ninapoishi network za kuvizia lakini baada ya kuja Halo fulu nacheki mpira ninavyotaka mda wowote
 
Nikiwa DIT hapa dsm speed ya tigo 4G average speed ni 38mbps kwa hiyo hao halotel wanawapa shida watu wanaotumia 3G tuu ila kwa tigo 4G wanasubiri
4G tayar ni advanced kwa 3g .

sema covarage ya tigo yamagumashi magumashi
mie kigamboni 4G ya tigo ilikua inanipa 700KBs

ila ukija posta pale mambo sio mabaya.

kwa speed ya 4G kigamboni nilipokua nakaa nikaamua kuvunja lain yenyew .

atleast halotel wananipa had 2.5mbs
 
KWELI NIMEAMINI HALOTEL NA 3G YAO WAPO VIZURI IKIWA WANAPAMBANISHWA NA THE SO CALLED 4G YA TIGO?....
 
Back
Top Bottom