truckdriver
JF-Expert Member
- May 7, 2012
- 562
- 264
Someni vitabu badala ya kushinda kwenye tv tuu

Kwenye Dish lazima ulipie ila ukitaka vya bure kanunue mtambo wa skrach startimes.kwa kweli sasa hiki kingamuz co siri, kimeanza kuwa mzigo kwa watanzania we
ngi. hivi sasa kile kingamuz kimeongeza sh 3000 kwa kila kifurushi. hyo kingamuz cha chin kwa sass ni sh 15000. vile vile walikuwa wanatoa channel za ndani bureee, lakin kwa sasa channel zote zimetolewa na imebaki TBC tu. sasa najiuliza kwanin hsya mabadiliko yametokea kwa ghafla mno.? wengine wanasema eti mambo ya magufuli yamesababisha haya mabadiliko, na tcra nao wapo kimya licha ya mwanzon kusema kwamba channel za ndani ztakuwa bure. sasa kingamuz gani kitakuwa na unafuu kwa sasa, kwani sikioni. wengine wanasema ni startimes ....
zuku nackia 18000. dstv wenyewe mnajua...
na kwenye tangazo lao wanavyojinasibu eti azam kwa sasa we acha tu. nami nasema kwa kweli kwa sasa azam TV ni cha kuacha tu, kwani hakuna namna. wajuvi tujuzane...
Sijalipia miezi mitatu sana lakini local channels napata bila wasiwasi ten siku nyengine wanatoa free channels za kulipia, sasa sijui kina tatizo gani huko kwakokwa kweli sasa hiki kingamuz co siri, kimeanza kuwa mzigo kwa watanzania we
ngi. hivi sasa kile kingamuz kimeongeza sh 3000 kwa kila kifurushi. hyo kingamuz cha chin kwa sass ni sh 15000. vile vile walikuwa wanatoa channel za ndani bureee, lakin kwa sasa channel zote zimetolewa na imebaki TBC tu. sasa najiuliza kwanin hsya mabadiliko yametokea kwa ghafla mno.? wengine wanasema eti mambo ya magufuli yamesababisha haya mabadiliko, na tcra nao wapo kimya licha ya mwanzon kusema kwamba channel za ndani ztakuwa bure. sasa kingamuz gani kitakuwa na unafuu kwa sasa, kwani sikioni. wengine wanasema ni startimes ....
zuku nackia 18000. dstv wenyewe mnajua...
na kwenye tangazo lao wanavyojinasibu eti azam kwa sasa we acha tu. nami nasema kwa kweli kwa sasa azam TV ni cha kuacha tu, kwani hakuna namna. wajuvi tujuzane...
Hapo mwanzo ilikua ukitaka channel za kulipia za kawaida ni 12000 na ukitaka za. Michezo ni 15000 jumla. 27000 lakini sasa hv kwa 15000 unapata zote za michezo na za kawaida, mkuu hata hili la kushusha gharama pia ni shida??kwa kweli sasa hiki kingamuz co siri, kimeanza kuwa mzigo kwa watanzania we
ngi. hivi sasa kile kingamuz kimeongeza sh 3000 kwa kila kifurushi. hyo kingamuz cha chin kwa sass ni sh 15000. vile vile walikuwa wanatoa channel za ndani bureee, lakin kwa sasa channel zote zimetolewa na imebaki TBC tu. sasa najiuliza kwanin hsya mabadiliko yametokea kwa ghafla mno.? wengine wanasema eti mambo ya magufuli yamesababisha haya mabadiliko, na tcra nao wapo kimya licha ya mwanzon kusema kwamba channel za ndani ztakuwa bure. sasa kingamuz gani kitakuwa na unafuu kwa sasa, kwani sikioni. wengine wanasema ni startimes ....
zuku nackia 18000. dstv wenyewe mnajua...
na kwenye tangazo lao wanavyojinasibu eti azam kwa sasa we acha tu. nami nasema kwa kweli kwa sasa azam TV ni cha kuacha tu, kwani hakuna namna. wajuvi tujuzane...
Zamu yako bado hata mimi ilikua hivyo lakini juzi wameng`oa zote wameacha lichaneli lao la TbcSijalipia miezi mitatu sana lakini local channels napata bila wasiwasi ten siku nyengine wanatoa free channels za kulipia, sasa sijui kina tatizo gani huko kwako
Sikiliza redio mkuuazam tv sio ya Tanzania ni Tv ya nje....haiwezekani ikaisaliti nchi yake yenyewe kwa kuzifungia local channels, nilikuwa siamini mwanzo ila nilikwenda kwa rafiki yang nikakuta kweli locals zote zimefungwa.......
Kwahiyo Azam wanachagua wengine wawakatie matangazo ya ndani wengine waendelee?Zamu yako bado hata mimi ilikua hivyo lakini juzi wameng`oa zote wameacha lichaneli lao la Tbc
Habari,digiteck king'amuzi cha kawaida naona chanell hazipo siku izi,ama kuna mabadiliko except tbc,ch10 tu ndo nazipataDigitek;
kwa sasa tunatumia Frequency ya 3644 MHZ Polarization RCP Symbol rate 8545 FEC 2/3. Ambapo utapata channnels za local, Bado hatujaweka package yetu yote kwenye satelite.