Download Speed: Shkamoo Halotel

Download Speed: Shkamoo Halotel

mi natumia simu Natumia file la mobdro
sijawahi cheki exactly resolution wanayotumia modbro ila nahisi ni around 240p hadi 360p ukieka kwenye tv au simu/tablet/laptop yenye kioo chenye resolution kubwa haitaonesha vizuri.
 
1gb per match kwa hd? Tatizo hivi vifurushi vina bei kubwa na Mbs ni kidogo.
tunahitaji broadband mkuu nchi zote duniani zilizoendelea broadband ndio hutumika sana na bei zake ni nafuu. kwa vitu kama hivi mobile data ni matatizo
 
Duh.. Naikubali halotel lakini kwa hili nabisha

Na sasa hivi hapa Tabata naona Vodacom wamevuta Optic Fibre cable kwenda kwenye minara yao yote sasa nasubiria waweke mambo sawa tuone mkongwe atavyo wafunika wote hadi halotel
Mimi nina 4g ya tigo nimetumia kwenye xperia Z2 but majanga speed haivuki 400KBps tena nime enable lte only.
Hapo ni Manzese Dsm Kaka.
Njoo halotel kitu kinapanda hadi 2MBps download speed.
 
Nikiwa DIT hapa dsm speed ya tigo 4G average speed ni 38mbps kwa hiyo hao halotel wanawapa shida watu wanaotumia 3G tuu ila kwa tigo 4G wanasubiri
Teremka hadi Jangwani,Magomeni still itakuwa bado iko vizuri.
Fanya usogee maeneo ya Kigogo na Manzese mbona utatamani kuitupa hiyo 4g
 
Night pack... Movies zenye ukubwa wa 8GB kuanzia muda huo wa saa sita usiku mpk mida ya sita hivi... Nilikuwa nafanya seeding tu, speed yao inatisha haelezeki kabisa.
Kwa kifurushi gani,sbb mimi nililipia kifurushi cha bila kikomo cha elfu 25 kwa cku 30?nilitumia kwa speed nzuri kwa km cku 4 tu wakanitumia msg muda wangu wa kuwa na internet yenye speed umekwisha,tangu hapo episode 1 ya mb 200 nadownload kwa cku 2!
 
Huu mtandao bado ni mpya kwa hiyo haujawa looderd.
leta ushahidi wa kitaalamu kwamba

Vodacom
Airtel
Tigo


zantel....
walipokuja nchini mtandao wao ulikua na kasi ya kusifika kama halotel na sasa speed imepungua kwa sababu tu watumiaj wamekuwa wengi
 
Kwa kifurushi gani,sbb mimi nililipia kifurushi cha bila kikomo cha elfu 25 kwa cku 30?nilitumia kwa speed nzuri kwa km cku 4 tu wakanitumia msg muda wangu wa kuwa na internet yenye speed umekwisha,tangu hapo episode 1 ya mb 200 nadownload kwa cku 2!
Kifurushi hicho ni cha usiku, gharama yake ni 1500Tsh wanakupa 18GB zenye kasi isiyoelezeka kwenye lugha ya kawaida.... Muda wa kujiunga ni shart iwe saa sita usiku na unaanza kutumia hapo hapo mpk alfajiri... Kipo kwenye code hizi *148*66# then utachagua 5 (internet) utaselect 4 (usiku) ukifika hapo jichagulie mwenyewe..
 
Mbona kwangu ipo slow sana? Yaani kudownload app ya fb inachukua dkk 15
unatumia ka itel mkuu?
au umeweka ktk mode ya only 2G?

manake hiyo speed tunatarajia kuiona kwa airtel na tigo na sio halotel
 
unatumia ka itel mkuu?
au umeweka ktk mode ya only 2G?

manake hiyo speed tunatarajia kuiona kwa airtel na tigo na sio halotel
Natumia Samsung S5. Ila tigo 4G ilikua poa sana
 
Back
Top Bottom