vp kwa symbian?
mbona nkiclick hii link inanipeleka kwenye google play lkn siion hii applcation?
Problem la kuweka picha limejirudia tena... Can't put pictures
Umeona eeh!?..ukiunistall halafu ukainstall tena picha zinakaa, lakini ikipita masaa 48 picha hazikai. Unaambiwa eti hujalogin wakati ukicomment hawakwambii hujalogin. Siwaelewi kabisa hawa watu. Mia
Young Master ,
Mkuu hii app mbona kuna pic nyingine zinagoma kufunguka zinaload alaf zinaonyesha kama kabox kamekatik ktkt
Sijakuelewa unachomaanisha mkuu...unaweza kuweka screenshot mahali ambapo unakumbana na hilo tatizo?
Mkuu simu yangu me ni tecno p3 Android 2.3.5 Gingerbread mbona na jaribu kudownload hii application inanigomea au haina uwezo huo?Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.