Kwa wale wanaotumia devices ambazo zinatumia operating system ya Android iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo Jamii Forums | The Home Of Great Thinkers ili kuweza kudownload JF Application for Android na kuinstall kwenye kifaa chako cha Android ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Android market na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
dah! mkuu Young Master mbona nimefuata hii link leo ila naambiwa not found?? nilikuwa nayo hii app ila nili-restore simu kwa sababu fulani fulani sasa muda huu navyorudishia applications ndio naambiwa kuwa URL haipo. Msaada mkuu maana nilikuwa ilikuwa imenirahisishia kweli matumizi yangu ya JF tangu nihamie Android world. Thanks in advance mkuu
Wakuu trplmike, Kingdom, LORDVILLE, Kaizer na wengine wote ambao walikuwa wanapata matatizo katika kutumia app za JF, uongozi wa JF unapenda kuwafahamisha kuwa app ya JF for android imeshafanyiwa marekebisho na kuboreshwa zaidi. Fanya update ya app yako na uendelee kufurahia kuperuzi mtandao wa JF kwenye smartphone au tablet yako. Thanks to Maxence Melo
nashkuru sana kwa taarifa!! sasa ntai update vp?? nii unstall na kuiweka upya au??Wakuu trplmike, Kingdom, LORDVILLE, Kaizer na wengine wote ambao walikuwa wanapata matatizo katika kutumia app za JF, uongozi wa JF unapenda kuwafahamisha kuwa app ya JF for android imeshafanyiwa marekebisho na kuboreshwa zaidi. Fanya update ya app yako na uendelee kufurahia kuperuzi mtandao wa JF kwenye smartphone au tablet yako. Thanks to Maxence Melo
Thanks for the update ila kuna tatizo moja nalipata .... Siwezi weka picha kwenye post
Wakuu trplmike, Kingdom, LORDVILLE, Kaizer na wengine wote ambao walikuwa wanapata matatizo katika kutumia app za JF, uongozi wa JF unapenda kuwafahamisha kuwa app ya JF for android imeshafanyiwa marekebisho na kuboreshwa zaidi. Fanya update ya app yako na uendelee kufurahia kuperuzi mtandao wa JF kwenye smartphone au tablet yako. Thanks to Maxence Melo
Mkuu sijui ndo umefanyaje. Naona kama umeharibu coz siwezi kuweka picha tena kama zamani. Kulikoni mkuu?. mia
Kweli @figganiga hata mimi siwezi kuweka picha.. pia hata washikaji zangu wawili waana'face same tatizo. Na nimeshawaambia wahusika hapo juu lkn hamna mrejesho wowote
Cc Young Master
Tulisharekebisha. Update your app to the latest release.
Ukiwa unaandika post, kuna sehemu ipo kama Camera; bonyeza hapo na endelea.